Mungu wa Wayahudi "Yehova" hawezi hatambui Mwanamke kama Mchungaji, Nabii au mtume. Wanawake wanajiita wachungaji au manabii wana mungu mwingine.

Ester ni malkia sio Nabii.
1 Timotheo 3:2 Tit 1:6-8; Rum 12:13; 2Tim 2:24Basi, imempasa mwangalizi awe mtu asiye na lawama, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi, anayejitawala, anayeheshimika, mkarimu, ajuaye kufundisha, 33:3 2Tim 2:24; Lk 16:14; 1Pet 5:2asiwe mlevi, wala mkali bali awe mpole, asiwe mgomvi wala mpenda fedha. 43:4 Tit 1:6Lazima aweze kuisimamia nyumba yake mwenyewe vizuri na kuhakikisha kwamba watoto wake wanamtii na kuwa na heshima kwa kila njia. 53:5 1Kor 10:32(Kwa maana kama mtu hajui jinsi ya kusimamia nyumba yake mwenyewe, atawezaje kuliangalia kanisa la Mungu?) 63:6 1Tim 6:4Asiwe mtu aliyeokoka karibuni asije akajivuna na kuangukia kwenye hukumu ile ile ya ibilisi. 7
Mkuu unayoyasema ni kweli kabisa. Mwanamke ni mtu wa hisia, Hana mantiki katika maamuzi yake, ni mwoga na asiyejiamini. Mimi Kwa sababu za kiroho na maagano na YEHOVA, nilienda mahali nikakuta dhehebu limegawanyika, kukatokea tawi asilia jipya la kabisa,, MAMA mmoja akawekewa mikono kuwa mchungaji.Mama huyo yupo vema Kwa maombi na kufunga lakini linapokuja jambo zito hawezi kuamua. Hii imekuwa sababu ya Mimi kufanya maamuzi Kwa niaba yake HASA katika kusimamia mienendo ya washirika. Kuna muda nalazimika kuwa mkali kanisani hasa Kwa vijana na mashemasi Ili taratibu na kanisa zifuatwe. Yeye anaendesha kanisa kama mama na SI KIONGOZI , anategemea kuwa mambo yataenda sawa Kwa maombi. Anasahau kuwa Kuna hatua za kiimani Ili mtu asimame vema kiroho, mama hajui hayo ... NI KWELI UNAYOSEMA
 
Io unayoisema wewe sio injili ya Bwana Yesu.io ya mwanamke kuhubiri ni nyingine ya ibilisi

1 Timotheo 2:11-12
[11]Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.
Let the woman learn in silence with all subjection.
[12]Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
But I suffer not a woman to teach, nor to usurp authority over the man, but to be in sile

nce.
Ongeza na hii 1 wakorintho 14:34-35
 
wewe unasema siku hizi hakuna manabii, wakati Neno la Mungu linasema "na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri"

ndio nimekuuliza, unaueleweje mstari huo?
1Wakorintho 12:4 “Basi pana tofauti za KARAMA; bali Roho ni yeye yule.

5 Tena pana tofauti za huduma, na Bwana ni yeye yule.

6 Kisha pana tofauti za kutenda kazi, bali Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.

7 Lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa kufaidiana.

8 Maana mtu mmoja kwa Roho apewa NENO LA HEKIMA; na mwingine NENO LA MAARIFA, apendavyo Roho yeye yule;

9 mwingine IMANI katika Roho yeye yule; na mwingine KARAMA ZA KUPONYA katika Roho yule mmoja;

10 na mwingine MATENDO YA MIUJIZA; na mwingine UNABII; na mwingine KUPAMBANUA ROHO; mwingine AINA ZA LUGHA; na mwingine TAFSIRI ZA LUGHA;

11 lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, yeye yule, akimgawia kila mtu peke yake kama apendavyo yeye”.
MDO 2:17-21
Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto. Naam, na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri. Nami nitatoa ajabu katika mbingu juu, na ishara katika nchi chini, damu na moto, na mvuke wa moshi. Jua litageuka kuwa giza, na mwezi kuwa damu, kabla ya kuja ile siku ya Bwana iliyo kuu na iliyo dhahiri. Na itakuwa kila atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa.
HITIMISHO
Inayofanya kazi ni ile ROHO MTAKATIFU ya Mungu aliyowavuvuia watu wake WAUME kwa WANAWAKE na si jinsia yao.Binadamu hutazama mambo kibinadamu ,yasiyowezekana kwa mwanadamu kwa Mungu yanawezekana.Mtu yeyote awe ME au KE aliyejazwa ROHO wa Mungu,Roho ile ya Mungu itendayo kazi ndani yake inaweza kutenda kazi bila kujali jinsia yake,na moja ya kazi ni UNABII ,kwa maandiko haya mwanamke anaweza kuwa NABII.,walikuwepo ,wapo na wataendelea kuwepo manabii wa jinsia zote.
 
nadhani tupo pamoja, mimi sikubisha hilo.
 
Back
Top Bottom