SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
- Thread starter
- #261
No lakini Kuna story nyingi zinakinzana...katika kipindi hicho. Leo hii tunajua historia ya Misri kwa sababu ya ushahidi wa kihistoria ya matukio yake, Kuna mifupa, vyombo, michoro, maandiko etc. Kwa Nini umeamua kuamini kitabu kimoja ukaacha vingine buku na ukahitimisha kwamba ni vya uwongo na chako Cha kweli.Kwahiyo yote ambayo yanaelezwa kutokea kipindi ambacho hakukuwa na gazeti na camera tuseme si ya kweli kwa sababu hakuna camera na gazeti?