Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Uelewa wangu si pamoja na uhalisia wa hicho kitu?W
Kuthibitisha kupi tena? Mie nimekwambia kuwa endapo itatokea mtu akakuuliza swali kuwa je, Mungu yupo wewe kwa uelewa wako sasa utajibu nini?
Utajibu yupo,utajibu hayupo au hujui?
Na uhalisia nitaujuaje bila kudai uthibitisho kutoka kwa mtu aliyeniletea habari hizo mpya?
Nikikuambia Spiderman, Harry Potter, Batman wapo au hawapo. Utategemea utoe jibu gani?