Mungu Yuko wapi?

Mungu Yuko wapi?

Mungu hayupo juu Sasa...juu watu wameenda hawajamkuta na hata Kama yupo kwa Nini ajali unavaaje au unamwaga wapi?
Nani amekwambia kuwa Mungu hayupo juu? Na hao unaowaita wanasayansi hawajaweza kuivuka hata hii mbingu ya kwanza katika mbingu saba alizoziumba Mungu.

Umbali wa mbingu moja mpaka nyingine ni mwendo wa miaka 500 . Hao wanasayansi wako hata wafanyaje hawawezi kuivuka hii mbingu ya kwanza
 
MwenyeziMungu yupo juu ya kila kitu (juu ya viumbe vyote) lakini yu karibu zaidi na mwanadamu kuliko mishipa yake ya shingo!
 
Ntamuuliza swali Mungu ni nini?
1. Mungu ni mwenye kuumba ulimwengu na vyote vilivyomo ndani yake.

2.mungu ni chochote kinachoabudiwa na binaadamu kwa kuamini kina uwezo wa kumsaidia mahitaji yake.
 
Yupo rohoni mwako, swali la kujiuliza roho iko wapi, jibu ni nafsi isiyo onekana.
Mwenyezi Mungu yuko zaidi ya Dimension ya 13 huko (Utakatifuni hasa), wakati sisi tupo Dimension ya 3 hapa (ulimwengu wa nyama) na zaidi tukifa kweli (tukifa kweli) tunarudi home hapo Dimension ya 4 (home sweet home). Ili uweze kufika Dimension ya 5 yakupasa kushinda mitihani kwelikweli hapa Duniani au kwenye sayari nyingine za nyama na uwe wa mwanga bila chembe ya shaka (positive energy).

Wale wanaibuka siku za hivi karibuni na kudai wamekutana na Yesu, si kweli kabisa maana wanakua wamekutana na viumbe danganyifu vya kiroho hapo kwenye Astral plane ndani ya Dimension hii ya 3.
 
1. Mungu ni mwenye kuumba ulimwengu na vyote vilivyomo ndani yake.

2.mungu ni chochote kinachoabudiwa na binaadamu kwa kuamini kina uwezo wa kumsaidia mahitaji yake.
Kuumba ni nini?

Una uthibitisho wowote kuonesha vilivyo ndani ya ulimwengu viliumbwa?

Na pia una uthibitisho wowote kuonesha huyo Mungu yupo?

Mbona unaji contradict sana, Mungu ni chochote kinachoabudiwa. So ukiniabudu mimi kuwa ni Mungu wako huoni kwamba nitakuwa napingana ma hoja yako namba 1 hapo juu?
 
Mtu akikuuliza Mungu yupo utamjibu nini?

Nimekupa maana mbili za neno Mungu/mungu kama linavyotumika.
 
Kama ndo hivi basi waliotunga biblia ni majiniasi balaaaah .Walishajua kwamba siku za mbeleni watu watahioji sana biblia na KUKOSA majibu.Hivyo tusene wakatia vifungu vya kutafakrisha sana, msome Paulo anavyo mwambia bidamu anaye muhoji Mungu juu ya kukasirikia viumbe vyake na juu ya uumbaji na jinsi anavyofanya huyu kuwa mwenyeheshima na huyo kuwa mbaya

Soma warumi sura ya nane na Tisa hapo utapata maswali kibao lkn ukienda Kwa wachungaji wanakutafsiria na hutaambiwa wewe huna roho mtakatfu hivyo omba upate roho hiyo
Kunasehemu pia katiaka injili inaelezea siku ya mwisho kwamba itakuwa kama mtego au kama mwizi ajavuo yaani ghafla bin vuu napia Yesu Kristo akasisitiza kuwa mwenye nyumba angelijua saa ambayo mwizi anakuja kuiba basi angekesha Ili nyumba yake isivunjwe
Dah ila kama Mungu hayupo kweli basi waliotunga biblia ni watu hatari maana vilivyoandikwa ndivyo vinaatimia na Sasa hivi watu wanajisahau balaa kuhusu uwepo. WA MWENYEZI MUNGU nami naona hii ni kwasababu Ili andiko kitimie kwamba siku ya mwisho ni kama mtego au mwizi ajavuo kuiba. YAANI KUNA TABIRI ZINATIMIA ALAFU KUNA WATU WANAJISAHAU YAANI HIVI NI VITU VINAVYO ENDA SAMBAMBA Sasa kweli ndo Kuna muhuni anatunga biblia namna hii kapangilia matukio alafu anayatimiza.

Ila katika yote Mungu awepo ASI wepo lazima tuishi kwa UPENDO maana ukimtukana,ukimpiga,ukimuibia mtu nakumfanyia vitu vinavyo fanania na hivyo sababu kuu ni kwasababu humpendi na wewe ukifanyiwa hivyo lazima unune tu kwahiyo tuishi kwa UPENDO( haki na usawa) na ndivyo vilivyo agizwa na Mungu anayeonekana kama hayupo hivi Bali katungwa.

SIKU YA MWISHO KAMA MTEGO/MWIZI AJAVYO--WATU WANAJISAHAU BALAAH KUHUSU UWEPO MUNGU ILI SIKU YA MWISHO IWAKUTE BILA KUTARAJIA
 
Huwezi ukajibu swali directly ambalo bado halijatolewa ufafanuzi unaokupa mwanga wa uhalisia wa hicho kitu kinacho zungumziwa

Kunipa maana mbili sio kuthibitisha

Nikikupa maana ya spiderman au unicorn je hiyo itathibitisha hivyo viumbe vipo kihalisia?
 
Kama unaamini kuna wahuni waliifanya sun day kuwa ya mungu wao,ambaye umemuita mungu jua,kinachokuzui kuamini kuna Mungu mweza wa yote JEHOVAH-ELOHIYM,ni kipi?
 
Quran: Al-Jathiyah 45:6

"Hizi Aya za Mwenyezi Mungu tunakusomea kwa haki; basi hadithi gani watakayo iamini baada ya Mwenyezi Mungu na Aya zake?"
Mwenyezi Mungu huo Hana kitabu...nipe hoja sio kitabu Cha waarabu. Mtu kaamka na vibe la kutawala watu kaita sheria zake ndo za Mungu katishia watu moto na kuuliwa imeisha hio nusu ya dunia mnaamini. Nipe hoja sio story za wajinga wa kale.
 
Nani amekwambia kuwa Mungu hayupo juu? Na hao unaowaita wanasayansi hawajaweza kuivuka hata hii mbingu ya kwanza katika mbingu saba alizoziumba Mungu.

Umbali wa mbingu moja mpaka nyingine ni mwendo wa miaka 500 . Hao wanasayansi wako hata wafanyaje hawawezi kuivuka hii mbingu ya kwanza
Kwa sababu haipo...haipo haipo huyu Muhammad na farasi wake wa kupata mbona hakutumia hio miaka 500 si kwa sababu walijua mbingu ni mawinguni Leo watu wanapita mawinguni na ndege mnazuga ni mbali. Mwanasayansi hajafika mbinguni kwa sababu hakupo. Nyie endeleeni kumficha tu ili mtawale watu.
 
MwenyeziMungu yupo juu ya kila kitu (juu ya viumbe vyote) lakini yu karibu zaidi na mwanadamu kuliko mishipa yake ya shingo!
Binadamu mmemtengeneza Mungu ili kujipa umuhimu katika ulimwengu kwamba sisi ndo viumbe vilivyoumbwa kwa ajili ya kurudi mbinguni sijui kwa Mungu yote haya ni ujinga na kutawala wajinga. Mtu mwenye akili timamu anajua maisha ni mafupi so anaishi anavyostahili
 
Mwenyezi Mungu yuko zaidi ya Dimension ya 13 huko (Utakatifuni hasa), wakati sisi tupo Dimension ya 3 hapa (ulimwengu wa nyama) na zaidi tukifa kweli (tukifa kweli) tunarudi home hapo Dimension ya 4 (home sweet home). Ili uweze kufika Dimension ya 5 yakupasa kushinda mitihani kwelikweli hapa Duniani au kwenye sayari nyingine za nyama na uwe wa mwanga bila chembe ya shaka (positive energy).

Wale wanaibuka siku za hivi karibuni na kudai wamekutana na Yesu, si kweli kabisa maana wanakua wamekutana na viumbe danganyifu vya kiroho hapo kwenye Astral plane ndani ya Dimension hii ya 3.
Acha kuangalia movie dogo, zitakuua.
 
Kama ndo hivi basi waliotunga biblia ni majiniasi balaaaah .Walishajua kwamba siku za mbeleni watu watahioji sana biblia na KUKOSA majibu.Hivyo tusene wakatia vifungu vya kutafakrisha sana, msome Paulo anavyo mwambia bidamu anaye muhoji Mungu juu ya kukasirikia viumbe vyake na juu ya uumbaji na jinsi anavyofanya huyu kuwa mwenyeheshima na huyo kuwa mbaya

Soma warumi sura ya nane na Tisa hapo utapata maswali kibao lkn ukienda Kwa wachungaji wanakutafsiria na hutaambiwa wewe huna roho mtakatfu hivyo omba upate roho hiyo
Kunasehemu pia katiaka injili inaelezea siku ya mwisho kwamba itakuwa kama mtego au kama mwizi ajavuo yaani ghafla bin vuu napia Yesu Kristo akasisitiza kuwa mwenye nyumba angelijua saa ambayo mwizi anakuja kuiba basi angekesha Ili nyumba yake isivunjwe
Dah ila kama Mungu hayupo kweli basi waliotunga biblia ni watu hatari maana vilivyoandikwa ndivyo vinaatimia na Sasa hivi watu wanajisahau balaa kuhusu uwepo. WA MWENYEZI MUNGU nami naona hii ni kwasababu Ili andiko kitimie kwamba siku ya mwisho ni kama mtego au mwizi ajavuo kuiba. YAANI KUNA TABIRI ZINATIMIA ALAFU KUNA WATU WANAJISAHAU YAANI HIVI NI VITU VINAVYO ENDA SAMBAMBA Sasa kweli ndo Kuna muhuni anatunga biblia namna hii kapangilia matukio alafu anayatimiza.

Ila katika yote Mungu awepo ASI wepo lazima tuishi kwa UPENDO maana ukimtukana,ukimpiga,ukimuibia mtu nakumfanyia vitu vinavyo fanania na hivyo sababu kuu ni kwasababu humpendi na wewe ukifanyiwa hivyo lazima unune tu kwahiyo tuishi kwa UPENDO( haki na usawa) na ndivyo vilivyo agizwa na Mungu anayeonekana kama hayupo hivi Bali katungwa.

SIKU YA MWISHO KAMA MTEGO/MWIZI AJAVYO--WATU WANAJISAHAU BALAAH KUHUSU UWEPO MUNGU ILI SIKU YA MWISHO IWAKUTE BILA KUTARAJIA
Skia. Ukiandika story ukasema baadae hii story watu wataipinga(coz unajua kabisa ni ya uwongo), afu baadae watu wakapinga kweli,
1. Je, utakuwa ni mtabiri au nabii?
2. Je, hicho kitendo Cha kupingwa kitafanya story yako iwe ya ukweli?
In short Biblia imeandikwa kutishia waoga na kutawala bac. Siku ya mwisho ni wewe kufa dunia utaiacha hapa hapa mambo ya Simba mwenye vichwa 9 sijui nyota kuangushwa na mkia wa dragon mkahadithiane primary.
 
Mwenyezi Mungu huo Hana kitabu...nipe hoja sio kitabu Cha waarabu. Mtu kaamka na vibe la kutawala watu kaita sheria zake ndo za Mungu katishia watu moto na kuuliwa imeisha hio nusu ya dunia mnaamini. Nipe hoja sio story za wajinga wa kale.
Quran...Al-An'am 6:25

وَمِنْهُم مَّن يَسْتَمِعُ إِلَيْكَۖ وَجَعَلْنَا عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ أَكِنَّةً أَن يَفْقَهُوهُ وَفِىٓ ءَاذَانِهِمْ وَقْرًاۚ وَإِن يَرَوْا۟ كُلَّ ءَايَةٍ لَّا يُؤْمِنُوا۟ بِهَاۚ حَتَّىٰٓ إِذَا جَآءُوكَ يُجَٰدِلُونَكَ يَقُولُ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ إِنْ هَٰذَآ إِلَّآ أَسَٰطِيرُ ٱلْأَوَّلِينَ

Na wapo miongoni mwao wanao kusikiliza; na tumezitia pazia nyoyo zao wasije kuyafahamu. Na upo uziwi masikioni mwao, na wakiona kila Ishara hawaiamini. Hata wakikujia kwa kujadiliana nawe, wanasema walio kufuru: Hizi si chochote ila hadithi za watu wa kale.
 
Al-An'am 6:26

وَهُمْ يَنْهَوْنَ عَنْهُ وَيَنْـَٔوْنَ عَنْهُۖ وَإِن يُهْلِكُونَ إِلَّآ أَنفُسَهُمْ وَمَا يَشْعُرُونَ

Nao huwazuia watu, na wao wenyewe wanajitenga nayo. Nao hawaangamizi ila nafsi zao tu, wala wao hawatambui.
 
Back
Top Bottom