Kama ndo hivi basi waliotunga biblia ni majiniasi balaaaah .Walishajua kwamba siku za mbeleni watu watahioji sana biblia na KUKOSA majibu.Hivyo tusene wakatia vifungu vya kutafakrisha sana, msome Paulo anavyo mwambia bidamu anaye muhoji Mungu juu ya kukasirikia viumbe vyake na juu ya uumbaji na jinsi anavyofanya huyu kuwa mwenyeheshima na huyo kuwa mbaya
Soma warumi sura ya nane na Tisa hapo utapata maswali kibao lkn ukienda Kwa wachungaji wanakutafsiria na hutaambiwa wewe huna roho mtakatfu hivyo omba upate roho hiyo
Kunasehemu pia katiaka injili inaelezea siku ya mwisho kwamba itakuwa kama mtego au kama mwizi ajavuo yaani ghafla bin vuu napia Yesu Kristo akasisitiza kuwa mwenye nyumba angelijua saa ambayo mwizi anakuja kuiba basi angekesha Ili nyumba yake isivunjwe
Dah ila kama Mungu hayupo kweli basi waliotunga biblia ni watu hatari maana vilivyoandikwa ndivyo vinaatimia na Sasa hivi watu wanajisahau balaa kuhusu uwepo. WA MWENYEZI MUNGU nami naona hii ni kwasababu Ili andiko kitimie kwamba siku ya mwisho ni kama mtego au mwizi ajavuo kuiba. YAANI KUNA TABIRI ZINATIMIA ALAFU KUNA WATU WANAJISAHAU YAANI HIVI NI VITU VINAVYO ENDA SAMBAMBA Sasa kweli ndo Kuna muhuni anatunga biblia namna hii kapangilia matukio alafu anayatimiza.
Ila katika yote Mungu awepo ASI wepo lazima tuishi kwa UPENDO maana ukimtukana,ukimpiga,ukimuibia mtu nakumfanyia vitu vinavyo fanania na hivyo sababu kuu ni kwasababu humpendi na wewe ukifanyiwa hivyo lazima unune tu kwahiyo tuishi kwa UPENDO( haki na usawa) na ndivyo vilivyo agizwa na Mungu anayeonekana kama hayupo hivi Bali katungwa.
SIKU YA MWISHO KAMA MTEGO/MWIZI AJAVYO--WATU WANAJISAHAU BALAAH KUHUSU UWEPO MUNGU ILI SIKU YA MWISHO IWAKUTE BILA KUTARAJIA