Mungu Yuko wapi?

Kwahiyo yote ambayo yanaelezwa kutokea kipindi ambacho hakukuwa na gazeti na camera tuseme si ya kweli kwa sababu hakuna camera na gazeti?
No lakini Kuna story nyingi zinakinzana...katika kipindi hicho. Leo hii tunajua historia ya Misri kwa sababu ya ushahidi wa kihistoria ya matukio yake, Kuna mifupa, vyombo, michoro, maandiko etc. Kwa Nini umeamua kuamini kitabu kimoja ukaacha vingine buku na ukahitimisha kwamba ni vya uwongo na chako Cha kweli.
 
We ndo huna hela, usimfanye kila mtu awe mvivu kufikiri awaze kula tu.
 
We ndo huna hela, usimfanye kila mtu awe mvivu kufikiri awaze kula tu.
Nani anahela? Wote duniani tunafanya kazi ili tupate hela na sio hela inafanya kazi kutupata sisi,
Achana na hayo mawazo sayansi yenyewe inatuhakikishia kuwa hakuna kitu pasipo na kitu wewe na Ninani ukatae kuwa Ulimwengu ilitokana na kitu? Ndomana na wenyewe umekua kitu?
Ubishi mwingine wakijinga sana yaani hii mada siipendi kabisa maana hata uwaze vipi bado tu jibu ni nani au ni nini kimefanya sisi tuwepo sasa hii sayansi ambayo imesababishwa kuwepo ndo itumike kupepeleza chanzo!!!!!
Mada hii haiishagi kwasababu ni kila mtu alijikuta yupo hana kumbukumbu yeyote ile kabla hajazaliwa alikuw wapi,

((((((((
 
Ngoja atheist washibe ugali na dagaa, waje walete mrejesho wao

Tumeshashiba sasa Mimi nakubaliana na ukweli kwamba mwanadamu hana uhuru kamili ila tu kwa jinsi ninavyomjua Mungu ni kwamba He is a loving God who make everything work together for good....unaonaje pale unaposikia sauti ikikuambia sogea hapo ulipo halaf baada ya siku kupita eneo lile ulipokuwapo panatokea janga ambalo lingekumaliza? Bila shaka ungesema " niliepushwa

ambalo lingekumaliza? Bila shaka ungesema " niliepushwa" Mungu ana upendo...katupa uhuru 50% na 50% katunyima =100% maisha = human +God kama hatungekuwepo pengine na Mungu asingekuwepo maana ss ni product yake, sisi ni wazo la Mungu.
 
Sawa Ila ndo haikupi sababu ya kumjengea hoteli mwamposa.
 
Ukitoka hapa elezea watu wanapataje na kufa kwa ajali
 
Kwa mujibu wa andiko Lako Mungu nae Ni kitu hivyo nae ana chanzo chake
 
Ni masuala ya imani hivyo ni issue ya kuona sababu za kukufanya kukubali kuamini unachoamini, na kwa sababu ni imani hivyo pengine nachoamini ni sahihi kisiwe sahihi na ndio maana waumini huwa hubadilisha dini moja kwenda nyengine.
 
Sasa kwanini Imani ni kitu kizuri. Kwa Nini watu wanashindana kuamini kitu ambacho hakionekani. Si uchizi uo..mpo serious mnakaa mnasema Mimi ni chizi zaidi kuliko wewe.
 
Sasa kwanini Imani ni kitu kizuri. Kwa Nini watu wanashindana kuamini kitu ambacho hakionekani. Si uchizi uo..mpo serious mnakaa mnasema Mimi ni chizi zaidi kuliko wewe.
Kwenye imani kinachoangaliwa ni sababu na dalili za kuamini hicho unachoamini, sasa sijajua tatizo lako ni imani kiujumla au ni hiyo imani ya Mungu tu?
 
Kwenye imani kinachoangaliwa ni sababu na dalili za kuamini hicho unachoamini, sasa sijajua tatizo lako ni imani kiujumla au ni hiyo imani ya Mungu tu?
Imani kiujumla...huwezi jisifia kuamini kitu hakipo huo ni uchizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…