GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kwani wewe unaifahamu dini yangu? Vipi nikikuambia sina dini?🤣Na vitabu vingine na miungu mingine ya dini nyingine sio living facts au sio...ni dini yako tu ndo Ina living facts
Kutokuwa na dini si kutokuwa na MUNGU. Kumwamini Mungu si kujiamini dini.
Mungu hana dini. Dini ni jitihada za wanadamu za kumtafuta Mungu.
Dini iwepo au isiwepo, MUNGU Yupo. Aikuwepo kabla ya kuwepo kwa dini yoyote, na ataendelea kuwepo hata kama dini zote zingetoweka.
Dini zinaweza kufa, lakini YEYE hafi.
Dini zinaweza kutoweka, lakini YEYE hatakaa atoweke.