Lengo lako ni nini hasa kufikiri mi ni mjinga? Unafahamu kuwa karibia kila binadamu utakayekuyana naye anaamini kuwa ana akili kukuzidi?
Ni mwenye hekima tu ndiyo anayeweza kunyenyekea kwa kiwango cha kuweza kujifunza kwa kila mtu, hata kwa mjinga.
Ingekusaidia sana kama ungepnesha ushirikiano, japo Mimi ni "mjinga" kwako, ili uweze kupata yatakayokusaidia japo yametoka kwa "mjinga'
Kwani wewe unataka nini? Msaada wa mwenye akili utakaokuangazmiza au wa mjinga utakaokusaidia?
Nilicho nacho ndicho unachokihitaji, japo inawezekana bado hujalifahamu hiloe.