Mungu Yuko wapi?

Mungu Yuko wapi?

Usitake kuonekana mwelevu kufanya kufuru ili ufurahishe watu au kikundi fulani nakushauri usijitafutie laana kwa haya maandiko yako maana hasira ya Mungu ni kali sana tubu jiepusha na hizi kauli (acha kumfanyia kazi shetani kupotosha kondoo wa Mungu ) usipo sikia ipo siku na saa utakumbuka maandishi haya
Mjibu ana hoja sio unamtishia huo sio ukweli.
 
Nyie pia mmesema Yesu atarudi maelfu ya miaka yamepita hajarudi.

Wewe ukiwa unajibu, jibu tu. Mimi sitaki ahadi za kujibu, nataka majibu.
Hatujasema, ni imeandikwa hivyo lazima itakuwa hivyo.

Kila Andiko lazima litimizwe. Mengi yameshatimia, hilo nalo litatimia.

Ujue pia hesabu ya Mungu si kama ya mwanadamu. Siku Moja Kwake ni sawa na siku elfu moja, na siku elfu moja ni sawa na siku Moja.

Yesu hajakawia kurudi. Wasomaji wa Maandiko wanamfahamu kuwa Yu karibu kuja kwa mara ya pili.

Ishara alizozitoa zimeshatimia. Yu karibu sana. Bora ufanyae maamuzi sahihi kabla haijawa too late!!!
 
Biblia imejaa contradictions ambazo mpaka sasa hujaweza kuzipangua, imejaa uongo.
 
Kwa hivyo habari nzima uliyoileta ya kusema tusioamini Mungu ni wachache, wengi sana wanaamini Mungu, ni upuuzi tu. Unakubali?
Sujaandika upuuzi, kwa sababu siko nao na sihitaji kwenda kuazima kwa wapuuzi.

Unless otherwise, upuuzi unaoutaja hapo ni huu hapa: " Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu" 1Wakorintho 1:18.

Kama ni huo, uko sahihi. Unaweza ukawa ni upuuzi kwa wengine lakini kwangu mimi ni msaada sasa na maisha "kesho".
 
Unaji contradict, unaelewa hilo?
 
Biblia imejaa contradictions ambazo mpaka sasa hujaweza kuzipangua, imejaa uongo.
Lakini mkuu mbona unakosa uvumulivu? Subiria majibu yanakuja.

Si nyie mnasema research hupingwa kwa research?

Maandiko yamejitosheleza. Utapata majibu unayoyatafuta. Vuta subira. Haraka isikupelekee kula maembe machanga ukaishia kutumia meno.

Subiri, maembe matamu yanakuja.
 
Huu muda unaojibizana nami hapa kama ungekuwa mtu wa research ungeshanza, wewe ni muhubiri tu, hujali research.

Ndiyo maana ulijibu post bila kusoma.

Mtu anayejali research hafanyi hivyo.
 
Unaji contradict, unaelewa hilo?
Samahani mkuu! Inawezekana nimekujibu kwa undani sana wakati wewe ni mgeni sana kwenye Biblia. Uelewa wa Maandiko upo kimadaraja.

Ukimjibu wa "darasa" la "kwanza" kwa majibu ya Kisekondari, utaishia kumkanganya na kumfanya akuone ama muongo au umekosea.

Kama majibu yangu yamekucontradict, nisamehe. Lakini sikulenga hivyo. Nilifikiri ungeelewa.

Unaweza ukaniambia kilichokuchanganya?
 
Huu muda unaojibizana nami hapa kama ungekuwa mtu wa research ungeshanza, wewe ni muhubiri tu, hujali research.

Ndiyo maana ulijibu post bila kusoma.

Mtu anayejali research hafanyi hivyo.
Majibu unayoyahitaji yanapatikana kwenye Biblia. Nilishukuambia mpaka nikae na bible ndiyo nitaweza kukujibu.

Nimefanya kosa kukujibu haya mengine nisiyohitaji kutumia Biblia?
 
Samahani mkuu! Inawezekana nimekujibu kwa undani sana wakati wewe ni mgeni sana kwenye Biblia. Uelewa wa Maandiko upo kimadaraja.

Ukimjibu wa "darasa" la "kwanza" kwa majibu ya Kisekondari, utaishia kumkanganya na kumfanya akuone ama muongo au umekosea.

Kama majibu yangu yamekucontradict, nisamehe. Lakini sikulenga hivyo. Nilifikiri ungeelewa.

Unaweza ukaniambia kilichokuchanganya?
Wewe huwezi hata kujifunza.

Nakwambia hapa umekosea, huna hata utashi wa kuniuliza nikwambie umekosea wapi.

Ndiyo kwanza unaniuliza mimi nimekosea wapi unisaidie.

Huna utashi, ni mjinga sana kuweza kuwa na utashi.
 
Majibu unayoyahitaji yanapatikana kwenye Biblia. Nilishukuambia mpaka nikae na bible ndiyo nitaweza kukujibu.

Nimefanya kosa kukujibu haya mengine nisiyohitaji kutumia Biblia?
You bore me to death. I am going to send you to my ignore list.

From here I will no longer see your posts.

You are a pest who is not worth my time.
 
Wewe huwezi hata kujifunza.

Nakwambia hapa umekosea, huna hata utashi wa kuniuliza nikwambie umekosea wapi.

Ndiyo kwanza unaniuliza mimi nimekosea wapi unisaidie.

Huna utashi, ni mjinga sana kuweza kuwa na utashi.
Lengo lako ni nini hasa kufikiri mi ni mjinga? Unafahamu kuwa karibia kila binadamu utakayekuyana naye anaamini kuwa ana akili kukuzidi?

Ni mwenye hekima tu ndiyo anayeweza kunyenyekea kwa kiwango cha kuweza kujifunza kwa kila mtu, hata kwa mjinga.

Ingekusaidia sana kama ungepnesha ushirikiano, japo Mimi ni "mjinga" kwako, ili uweze kupata yatakayokusaidia japo yametoka kwa "mjinga'

Kwani wewe unataka nini? Msaada wa mwenye akili utakaokuangazmiza au wa mjinga utakaokusaidia?

Nilicho nacho ndicho unachokihitaji, japo inawezekana bado hujalifahamu hiloe.
 
Biblia si Mali ya dini yoyote. Mtu yeyote anaweza kuitumia.

Hakuna dini yenye hatimiliki ya Bible, iko wazi kwa kila anayehitaji.
🤣Biblia ni ya dini ya kikristo. Dini inayoamini Yesu Kristo ndo njia ya wokovu. Siwezi kuwa mhindu nikasoma kitabu Cha kusema Yesu Ni Mungu .. again tumia akili
 
Lengo lako ni nini hasa kufikiri mi ni mjinga? Unafahamu kuwa karibia kila binadamu utakayekuyana naye anaamini kuwa ana akili kukuzidi?

Ni mwenye hekima tu ndiyo anayeweza kunyenyekea kwa kiwango cha kuweza kujifunza kwa kila mtu, hata kwa mjinga.

Ingekusaidia sana kama ungepnesha ushirikiano, japo Mimi ni "mjinga" kwako, ili uweze kupata yatakayokusaidia japo yametoka kwa "mjinga'

Kwani wewe unataka nini? Msaada wa mwenye akili utakaokuangazmiza au wa mjinga utakaokusaidia?

Nilicho nacho ndicho unachokihitaji, japo inawezekana bado hujalifahamu hiloe.
Wewe unaona kiranga tu ndie ana la kujifunza kutoka kwako ila wewe huna la kujifunza kutoka kwake, hii mentality ya kujiona mnajua kila kitu ndiyo ilipelekea mkamtunga huyo Mungu.
 
Tuchukulie sijasoma Chuo! Huoni ungeuthibitisha usomi wako kwa kunielekeza mpaka niweze kuelewa?

Usomi si kiburi. Msomi aliyeelimika ni mnyenyekevu. Anaweza akawa ni Profesa lakini akiongea na mtoto wa chekechea, ataeleweka.

Lakini kama kigezo cha usomi wake ni idadi ya vyeti alivyojiskusanyia, hata ongea yake na majibu yake hutawaliwa na kiburi.

Kusoma bila kuelimika huketa kiburi.

Kuelimika huchochea unyenyekevu.

Hizo verses mnazodai Zina contradictions, nitazipitia baadaye nikiwa karibu na Bible. Naamini hazina contradictions, ni saula la uelewa tu.
Haya kapitie urudi Anza na story ya Yesu soma gospels zote mmoja baada ya nyingine uwe unanote. Simply hata watu wangapi walikuwepo kaburini ni contradiction, Mara one man, two men, Mara 1 angel 2 angels hizi ni story za watu tofauti ndo maana Zina uwongo tu umejumuishwa. Asilimia kubwa ya atheists walikuwa watu wa dini Tena wengine washika dini kabisa. Jinsi unavyozido kufuatilia kuhusu Biblia, kuhusu historia ya kanisa, historia ya story za Biblia unagundua ni uwongo, bado hujaletewa dini za zamani zenye story sawa, huwezi kuwa na Imani hata ujiforce. Ila ukisomewa Mistari miwili na mchungaji wako ukatoa sadaka mpaka jpili ukasomewa Tena Mistari miwili ambayo ndo Ile Ile, huwezi ona ukweli wa Biblia.
 
You bore me to death. I am going to send you to my ignore list.

From here I will no longer see your posts.

You are a pest who is not worth my time.
Do it, but remember to check for the answers to the questions you claimed were controversial. I will start answering them soon, before 12: 30 .
 
Nitakapokuwa na Bible karibu, nitafanya hivyo. Maandiko ya Biblia hujibiwa kwa Maandiko ya Biblia.

Nitafanya hivyo baadaye kidogo.

Hata hivyo, ujue, whatever the case, "GOD LOVES YOU"
Why huna bible kwenye simu...u can Google bible verses za translation zote. Acha kujifanya mbabu
 
MUNGU ni muumbaji, yuko hapo ulipo na anataka roho yako!!,,roho yako mikiwa safi anaisitiri,ikiwa chafu anaichoma kama takataka yoyote ile!!!
Why atengeneze roho ambazo zinaweza kuwa chafu afu azichome, Kama yupo perfect kwanini uumbaji wake uwe na makosa mpaka auchome. Wat kind of father anachoma watoto wake
 
Ni wewe na wenzako wachache ndiyo mnaofikiria huenda suala la uwepo wa Mungu ni dhana ya kufikirika tu. Lakini wengine wote wanaamini kuwa Mungu Yupo, na wengine wameenda hata mbali zaidi kwa kuelezea jinsi walivyotendewa na Mungu maishani mwao.

Labda kama unataka kumwamini Mungu ili na wewe uweze "kumwona", useme ili usaidike.

Wapo watu wengi wanaomjua Mungu na wapo tayari kumsaidia yeyote anayetaka kumjua Mungu kwa kumaanisha.

Unataka kusaidiwa katika eneo lipi hasa?
Nani kamwona Mungu katika maisha yake
 
Back
Top Bottom