Mungu Yuko wapi?

🤣Na vitabu vingine na miungu mingine ya dini nyingine sio living facts au sio...ni dini yako tu ndo Ina living facts
Kwani wewe unaifahamu dini yangu? Vipi nikikuambia sina dini?

Kutokuwa na dini si kutokuwa na MUNGU. Kumwamini Mungu si kujiamini dini.

Mungu hana dini. Dini ni jitihada za wanadamu za kumtafuta Mungu.

Dini iwepo au isiwepo, MUNGU Yupo. Aikuwepo kabla ya kuwepo kwa dini yoyote, na ataendelea kuwepo hata kama dini zote zingetoweka.

Dini zinaweza kufa, lakini YEYE hafi.

Dini zinaweza kutoweka, lakini YEYE hatakaa atoweke.
 
Unaniwekeaje kitabu kilichoandikwa na aliyeshindwa kuielewa, kwamba nimsaidie yeye au wewe ndiye unayehitaji msaada?

Kama kuna eneo unalohitaji msaada, sema usaidike.

By the way, nikipata muda, nitazipitia hizo post unazodai kuwa Zina contradiction, then nitakuwa na cha kusema.
 
Unajuaje wewe ndiye unaweza kumsaidia yeye?

Unafikiri unaweza kumsaidia kuhusu Biblia Profesa aliyefundisha somo la Biblia Harvard University?

Hujaonesha ameshindwa kuielewa Biblia wapi, unahubiri tu.

You are becoming very boring right now.
 
Unajuaje wewe ndiye unaweza kumsaidia yeye?

Unafikiri unaweza kumsaidia kuhusu Biblia Profesa aliyefundisha somo la Biblia Harvard University?

Hujaonesha ameshindwa kuielewa Biblia wapi, unahubiri tu.

You are becoming very boring right now.
Nitamsaidiaje nisiye na mawasiliano naye?

Ni wewe ndiye ninayeweza kukusaidia, kama utakubali, kwa kuwa tunaweza kuwasiliana.

Kama una mawasiliano naye, mshauri afanye yafuatayo

1. Aende mapumzikoni mahali penye utulivu atakakoweza kusoma kwa uhuru kwa kipindi cha mwezi mmoja, akiwa na BIBLIA pekee. Asiende na kitabu kingine cho chote.

2. Kwa kipindi chote cha mapumziko, ajitahidi kusoma Biblia kwa kila muda atakaokuwa macho. Adhamirie kuimaliza ndani ya mwezi mmoja.

Akifanya hivyo, si kwamba tu atakiri Biblia iko sahihi kwa asilimia mia moja, bali pia atajishangaa jinsi alivyokuwa mjinga bila kufahamu kuwa ni mjinga.

Afanye hivyo na hatokaa ajutie muda wake aliouwekeza kuitafuta KWELI.

Mwenzake toka Chuo Kikuu kimoja nchini South Korea alifanya hivyo, na alichokutana nacho ukawa ndiyo ugunduzi mkubwa kuwahi kugundua maishani mwake kuliko gunduzi zingine zote alizowahi kuzifanya.

Hata Mimi nilishawahi kufanya hivyo.

Uhakika ni kuwa hauwezi kuconcentrate kwenye BIBLE na bado ukawa na mashaka juu ya uwepo wa Mungu.
 
Huja address points zozote alizoandika, nilitegemea ungejibu point kwa point.

You are just being condescending.

Super boring.
 
So unajilazimisha kusoma kitabu Kama Cha ukweli hata Kama kinaonesha uwongo. 😂Kwa hizi akili bado tunalalamika why bongo hatuendelei
Hakuna uongo kwenye Biblia, kuna facts tupu from Genesis to Revelation.

Kama umeshindwa kuielewa, omba msaada usaidiwe. Wewe kutokuifahamu haimaanishi kuwa watu wote hawaifahamu.

Unaposhindwa kuliendesha gari kwa sababu umeshindwa kuielewa manual book ya mzalishaji magari husika, si kigezo cha kuhitimisha kuwa gari halifanyi kazi. Rudi kwa mwandishi wa manual book au mzalishaji wa hiyo product. Atakusaidia kuelewa ulikotatizika.

Biblia ni MANUAL BOOK ya maisha.

Ndiyo maana watu wengi wenye akili hawakai nayo mbali.
 
Sijazipitipitia. Nitafanya hivyo nikipata muda.
Kwa hivyo unajibu na kushauri kuhusu kitu ambacho hata hujakipitia?

You are not only boring, but a boring, entitled ignorant jerk then.
 
Imani inaziweka familia na jamii pamoja, hata kama imani yenyewe ni fiction stories tu.
 
Okay so Mungu anataka Nini?
 
Kama huna dini mbona unataja Biblia as reference yako
 
Kwa hivyo unajibu na kushauri kuhusu kitu ambacho hata hujakipitia?

You are not only boring, but a boring, entitled ignorant jerk then.
If I were someone else, I would have responded to you based on your reaction, but the Bible guides me not to do so. I have grasped your intention. You are trying to provoke me to anger, but I can't fall into such trap. It is too late to be provoked!
 
If I were someone else, I would have responded to you based on your reaction, but the Bible guides me not to do so. I have grasped your intention. You are trying to provoke me to anger, but I can't fall into such trap. It is too late to be provoked!
No, I am just stating a fact.

You are a condescending jerk because you respond to posts without reading them.

That is a fact. You confirmed that yourself.

Even now you are still condescending with that "I am holier than thou" Biblical condescenscion.

Still a boring condescending preachy jerk.
 
Nowhere did I write that I am holier than you. It's absolutely your perspective.
 
Bro umesoma chuo kweli...unajua maana ya reference...hebu soma hizi verses kwenye Biblia yako Kama ni uwongo...unadhani ye mjinga kuweka mpaka citation ya verse ili ukajiprovie mwenyewe...tumia akili mtu mzima wewe acha kubishana ujinga
Tuchukulie sijasoma Chuo! Huoni ungeuthibitisha usomi wako kwa kunielekeza mpaka niweze kuelewa?

Usomi si kiburi. Msomi aliyeelimika ni mnyenyekevu. Anaweza akawa ni Profesa lakini akiongea na mtoto wa chekechea, ataeleweka.

Lakini kama kigezo cha usomi wake ni idadi ya vyeti alivyojiskusanyia, hata ongea yake na majibu yake hutawaliwa na kiburi.

Kusoma bila kuelimika huketa kiburi.

Kuelimika huchochea unyenyekevu.

Hizo verses mnazodai Zina contradictions, nitazipitia baadaye nikiwa karibu na Bible. Naamini hazina contradictions, ni saula la uelewa tu.
 
Nowhere did I write that I am holier than you. It's absolutely your perspective.
You made an assumption that I deliberately provoked you to get you angry . That is a wrong assumption, you are not that important, do not flatter yourself, I was just stating facts.

Then you went ahead to assert that you will not get into it with me because of your Biblical ethics, implying that the teachings of the Bible makes you holier than the rest of us heathens basically, in not so many words.
 
Perhaps, you are not pleased with my answers. How should I respond in such a way that you will be satisfied?
 
Perhaps, you are not pleased with my answers. How should I respond in such a way that you will be satisfied?
Nimekuambia tayari.

You do not pay attention, you just want to preach your Bible and God.

Soma posts #489 - #493, halafu respond point by point.

Sitaki mahubiri, nataka majibu yenye mantiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…