GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Ukiisoma Biblia kama kitabu cha Historia, lazima utachanganyikiwa.Haya kapitie urudi Anza na story ya Yesu soma gospels zote mmoja baada ya nyingine uwe unanote. Simply hata watu wangapi walikuwepo kaburini ni contradiction, Mara one man, two men, Mara 1 angel 2 angels hizi ni story za watu tofauti ndo maana Zina uwongo tu umejumuishwa. Asilimia kubwa ya atheists walikuwa watu wa dini Tena wengine washika dini kabisa. Jinsi unavyozido kufuatilia kuhusu Biblia, kuhusu historia ya kanisa, historia ya story za Biblia unagundua ni uwongo, bado hujaletewa dini za zamani zenye story sawa, huwezi kuwa na Imani hata ujiforce. Ila ukisomewa Mistari miwili na mchungaji wako ukatoa sadaka mpaka jpili ukasomewa Tena Mistari miwili ambayo ndo Ile Ile, huwezi ona ukweli wa Biblia.
Lakini Biblia si Historia, Biblia ni kitabu cha mwongozo wa maisha. Kila kitu mwanadamu anachokihitaji kilo kwenye Biblia.