Mungu Yuko wapi?

Sababu ni zile zile uoga au kuaminishwa tokea utotoni na mazingira uliyokulia,
Sababu sio kutokujua Biology tena?

Uoga upi unazungumzia? Maana kama issue ya moto mbona wanafanya yaliyokatazwa na wanajua kuwa ukifanya hivyo kuna moto? Sasa uoga upi tena?

Suala la mazingira hata huko kwa wasioamini Mungu na uchawi pia linahusika, kama watoto wanakulia malezi ambayo wazazi hawaamini Mungu ni kawaida nao kutoamini Mungu hata kama hawana elimu.
 
Sjasema ni ya mungu ila hyo nguvu waliipa jina la Mungu , ni namna tu ya utambulisho.
So kama hujui nani rais wa samoa islands jibu lake ni Mungu mpaka ujue rais ni nani ndo halitokuwa Mungu, so kazi ya Mungu inapungua kutokana na ujuzi wa vitu
 
So kama hujui nani rais wa samoa islands jibu lake ni Mungu mpaka ujue rais ni nani ndo halitokuwa Mungu, so kazi ya Mungu inapungua kutokana na ujuzi wa vitu
Asili ndio Mungu tatzo unataka nimzungumzie wa vitabu vya dini wakati mimi sipo huko kbsa, hizo ni imani za watu wala sina shida nazo.
 
Sio waarabu wote matajiri, Kuna nchi uarabuni Kama Lebanon, Jordan, Yemen, west bank, Libya ni maskini, waarabu sio Dubai tu
Ndio hata huko kwa wazungu wenye elimu na maendeleo pia wapo wenye kuamini Miujiza,uchawi,malaika na majini.

Wapo ambao kazi zao zenye kuingiza kipato ndio zinahusu mambo hayo kwa huku tunaweza kuita waganga, kuna mavitabu kibao yenye kuzungumzia hayo mambo.
 
Why matukio ya hivi hayawezi kuwa video recorded, ni coz ni illusion na hallucinations za akili, mi Nikisema nimeona tembo anapaa usiku haitamaanisha kuwa kweli hata tukiwa ishirini, Fatima Portugal watu 3000 waliona jua linacheza cheza sijui malaika wanaimba Ila ni kweli Hilo tukio lilitokea, hujiulizi why kitu muone watu wachache katika mazingira fulani halafu wengine wa mazingira mengine yasitokee kabisa. Kuona sio kila kitu, camera Ina accuracy kubwa kuliko macho, recorder Ina accuracy kubwa kuliko maskio coz haviwi affected na psychology mazingira uoga aibu hasira ujinga na pia utamaduni. Ndo maana utaskia story sijui huyu kaona Nini, wazungu Wana camera mpaka barabarani mbona vitu vya ajabu havirekodiwi
 
Faith is belief in absence of evidence, unaamini bila kuona
 
1. Hujawahi panda basi lingine huwezi sema lako tu ndo zuri wakati wengine wamepanda mengine na wamefika.
2.vipi kuhusu Mimi ambae nishawahi kuwa mkristo mwana kanisa na mwana kwaya Ila baada ya kuisoma Biblia vizuri nikaona ni uwongo nikaacha
3. Hujajibu why hujasoma dini zingine Ila dini ya wazazi wako tu, wazazi wako wangekuwa waislamu ungesema hivyo hivyo kuhusu Quran
 
So kama hujui nani rais wa samoa islands jibu lake ni Mungu mpaka ujue rais ni nani ndo halitokuwa Mungu, so kazi ya Mungu inapungua kutokana na ujuzi wa vitu
Kila kitu unacho kiona kina asili ,mara nyingi chanzo chaweza kuwa asili japo sio kila chanzo ni asili , katika asili ya uhai ipo nguvu ifanyayo uhai uwepo , pia tambua nguvu ina asili yakufanya badiliko la kiumbo kma maji yavyoweza kuganda ,mvuke na kimiminika , tabia hii huwa inajirudia rudia kutegemeana na hali fulani.
 
Sasa mbona ulisema katokea sijui jangwani huko na hajanitokea mimi ikiwa kumbe ni suala la yeyote tu anaweza kuamua kuota ametokewa naye?
 
Wakristo Wana kisingizio ukiamini tu Mungu yupo na story za Yesu na ukatubu unaingia peponi, so uoga wa kwenda Motoni kwa kutoamini story za biblia
 
Siogopi Mimi, nikikuambia mama Ako kafa lakini we unamwona afu nakuambia we unaona yupo coz huamini Kama hayupo, we si utaniona chizi, lakini comes to God ambae hamna mtu Ashawahi kumwona Ila tunaambiwa yupo
Imani hailazimishwi pia nilisema kuna sababu za kuamini, ila wewe unakimbilia uthibitisho kama silaha na kinga kwa dhana ya kwamba huyu nikimwambia uthibitisho hawezi kutoa hivyo inakuwa nachokisema mimi ndio sahihi na yeye hata atoe hoja gani siikubali kwa sababu hawezi kuthibitisha inakuwa ni uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…