UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Suala la kuwepo Mungu ni la imani hakuna anayesema Mungu yupo nje ya imani.Why kila aspect ya maisha unataka uthibitisho wowote uwe convinced Ila kwenye swala la Mungu unajitoa akili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suala la kuwepo Mungu ni la imani hakuna anayesema Mungu yupo nje ya imani.Why kila aspect ya maisha unataka uthibitisho wowote uwe convinced Ila kwenye swala la Mungu unajitoa akili?
Kama ni hivyo basi waafrika sio jamii pekee ya kuonekana wajinga na wako nyuma bali ni dunia nzima kasoro wazungu tu.Ndo sample ya watu walioendelea
Sio mada nayojadili hapa.Huelewi kwamba kukosa elimu ni moja ya sababu kubwa ya Africa kutokuwa na maendeleo?
Suala la kutubu hata dini zengine lipo.Wakristo Wana kisingizio ukiamini tu Mungu yupo na story za Yesu na ukatubu unaingia peponi, so uoga wa kwenda Motoni kwa kutoamini story za biblia
Sawa naheshimu huo mtazamo wako ila usiniambie mimi et hakuna Mungu kwa sababu hajanitokea, kwangu inakuwa sababu ya kijinga.Basi akinitokea nitamwamini
Kwani inawezekana kuamini vitu vyote?Ndio...coz ukisema una Imani ya Mungu wa Biblia unakuwa hujajibu swali la kwa Nini umechagua Imani hio na sio vitu kibao vingine ambavyo umeacha kuamini, why Mungu umempa special treatment
Unataka kusema nini?Kazi ya risiti ni Nini?
Huu nao ni ujinga.Sio mada nayojadili hapa.
Umekuta kuna mgawo wa vitu mbali mbali, tena vinatolewa bure! Halafu unapewa uhuru wa kuchagua, ungechagua kipi?Ndio...coz ukisema una Imani ya Mungu wa Biblia unakuwa hujajibu swali la kwa Nini umechagua Imani hio na sio vitu kibao vingine ambavyo umeacha kuamini, why Mungu umempa special treatment
Tukuulize wewe coz ye ajasema hayo we unamsemeaEmbu muulize maana yeye ndo mchomaji.
Population ya watu wasio na dini Tanzania ni less than 1% wakati marekani wapo Kama 12% ya population na kumbuka population Yao ni kubwa Mara nne ya kwetuKabisaa! Marekani ni Taifa lililoendelea, lakini masuala ya Imani ya Kimungu na ya kishirikina zingalipo.
Katika ushirikina wapo juu sana, mpaka kuna mahekalu ya waabudu Shetani, tena yaliyosajiliwa Kisheria.
Wanaomwamini Mungu wapo wengi sana.
Na katika uchumi na teknolojia, karibia kila mtu mwenye ufahamu anajua Marekani imeshapiga hatua sana.
Uchawi upo kila eneo, na imani ya kumwamini Mungu pia imetapakaa kila mahali.
Shetani Ashawahi kusema Mungu hayupo?, freemason Ashawahi kusema Mungu hayupo ? Shetani mwenyewe anataka watu wamjue Mungu ili wampinge. Shetani na Mungu ni story tu Kama movie zilivyokuwa na sterling na jambazi acha uwoga wa maisha Kama Mungu anapenda watu kwa Nini awachome, we unaweza mchoma mtoto wako moto, mmetishwa na makanisa ili muendelee kufata sheria zao na mtoe sadaka mwatajirisheAsante sana mkuu ubarikiwe sana,hizi mada kuhusu mungu inapaswa kuzipuuzwa,maana isije ikawa ni njama za shetani kutupeleka kwenye majaribu,maana wanga na wachawi wanatabia za kuleta mada kama hizi ili uteleze ujalibiwe wakuloge vizuri(kama freemason tunao waita wabudu shetani wanaa kipo kitu kinachoitwa supreme being) yeye ni nani asietambua uwepo wake,tuipuuze hii mada
Nielezee mtu kuzaliwa na cancer anakosa gani mpaka kaumwa🤣au mama ake hakuelewa bibliaDr. Norman Vincent Peale, ameelezea kwenye Moja ya Vitabu vyake jinsi mtu mmoja alivyoshangaa kukuta Biblia kwenye ofisi y Daktari wa magonjwa ya akili.
Katika hali ya mshangaoy, na kwa nia ya kutaka kujiridhisha, alimwuliza huyo daktari kama na wao wanasoma Biblia!
Daktari alimjibu: "Kama watu wote wataisoma Biblia na kufuata maelekezo yake, madaktari wote tutaenda kufanya kazi ya kuvua samaki. Hatutakuwa na wagonjwa wa kuwatibu"
Hivyo ni visingizio ili usikosoe dini, Mara hoo Mungu hachunguzwi, 🤣ujinga mtupu...kiumbe chenye nguvu kuliko kingetengeneza dunia isiyo na dhambi na shida, na Kama anatujali na anajua yote hamna haja ya kuumba watu afu awachome baadae, Mungu wa hivi ni wa kutungwa ili watu waogope watoe sadaka na kufata sheria za waliotunga, Mungu anajali unamwaga wapi kweliUnaweza ukawa sahihi kutokana watu tofauti wana amini miungu tofauti, lakini Mungu ambaye ni Uwezo mkuu usiyowezwa huwezi kumjadili kwa kuwa yupo kinyume kabisa na sisi wanadamu tunavyomfikiria.
Nilogeni hamna uchawi hamna majini hao wanasema mapepo sijui ni ukichaa tu waende milembe watibiwe🤣🤣🤣mpuuzieni huyo mtoa mada atakuwa mwanga au mchawi atawakufurisha bule, anadai hatambui uchawi,hajui majini,hatambui mungu, wakati daily watu wanapandisha mashetan,wana logwa, baasi naomba wachawi na wanga mliomo humu mumuloge ili kesho ajue uwepo wenu humu duniani kupitia nyinyi atatambua uwepo wa mungu alie hai.
🤣 Nitajie Sayansi aliyogundua mchawi.. wazungu wamegundua ndege marocket ya mwezini Ila Biblia zinatuambia Mungu yupo mawinguni, haya mbona tukipanda air tanzania tunavuka mawinguni hatumwoni au kajificha nje ya ulimwengu tusimpateutakuwa mwanga na mchawi tu usinikufurishe na mungu wangu hujui nimepitia mangapi, we mwenye elimu ya kukalilishwa ubaon imekusaidia nini mpaka hapo ulipo,wenzako kupitia uchawi wamevumbua ndege lakin we usiku unapaa na ungo wa buku jelo
1. Pagan means mtu ambaye ana dini tofauti na zinazojulikana, sio mtu asiye na dini1. Basi ninalolifahamu ni lile nililolipanda. Elezea na wewe uzuri wa ulilolipanda ili nivutiwe kulipanda.
2. Wewe hujawahi kuwa Mkristo. Unajua maana ya kuwa Mkristo? Wewe hujawahi kuwa Mkristo.
Kuzaliwa kwenye familia ya Kikristo hakukufanyi kuwa Mkristo. Mkristo ni yule mwenye uhusiano binafsi na Kristo, na huwezi kuwa na uhusiano na usiyeamini kuwa Yupo. Kwa kuwa huamini kuwa Yupo, ni jibu dhahiri kuwa hujawahi kuwa Mkristo.
Kuimba Kwaya hakukufanyi kuwa Mkristo. Mtu yeyote anaweza kuigiza kuwa ni Mkristo na kumbe siyo. Mtu yeyote anaweza kuigiza ni mganga wa Kienyeji na kumbe siyo. Inawezekana na wewe uliigiza na ukafanikiwa.
Kuhudhuria Kanisani hakukufanyi kuwa Mkristo. Hata Mpagani, Mchawi, n.k. anaweza kuhudhuria Kanisani, na hata kuwa Mwanachama wa Kanisa husika, lakini hilo kamwe halimfanyi kuwa Mkristo.
Nifahamuvyo, nyumba za Ibada zipo wazi kwa kila anayetaka kuhudhuria. Au wewe kuna mahali popote ulikokuta zuio la watu wasio washirika wa dini fulani kuhudhuria ibada kwenye nyumba ya ibada isiyo ya dini yao?
Ninakosali kwa mfano, wanakaribishwa watu wa kila aina: wanaomwamini Mungu, wasiomwamini Mungu, wachawi, walevi, wazinzi, n.k. Tena, huwa ni furaha pale wasiomwamini Mungu wanapofika ibadani kwa sababu tunajua huenda wataisikia KWELI itakayowaweka huru.
Na wewe ninakukaribisha, siyo kujiunga, bali kusikiliza mahubiri. Ukivutiwa kumwamini Yesu ili nawe uwe Mkristo, unakaribishwa. Kama utataka kujiunga, milango iko wazi.
Labda uliowasikia wakimwelezea Mungu hawakukuelezea kwa ufasaha. Karibu! Huenda kiu yako itatoshelezwa.
3. Mimi sijasoma dini yoyote. Sijasoma Theolojia, wala Bible Knowledge au Divinity. Nilipokuwa A Level, nilijiandikisha kwenye darasa la Divinity, lakini nilipogundua kuwa somo lenyewe halinisaidii kumjua Mungu zaidi, niliachana nalo.
Nilizaliwa kwenye familia ya kipagani. Niliamua mwenyewe kuwa Mkristo baada ya kuona utofauti wa maisha ya Mkristo na ya wasiokuwa Wakristo. Nolivutowa na maisha ya Wakristo.
Tokea niwe Mkristo, nimejiridhisha pasipo shaka , kuwa Mungu Yupo, ananijua kwa jina langu, ananipenda, anao uwezo usiopimika, n.k. Nimejihakikishia mwenyewe. Sukuambiwa na mtu.
Kwanza, niliisoma kwenye Biblia. Pili, nikaamini. Nilipochukua hatua sawasawa na Imani, matokeo yakadhihirika.
Zaidi ya hayo, Mungu hana upendeleo. Ukiamua, atajidhihirisha na kwako pia.
Hiyo umeitoa wapi kiongozi? Nimejaribu kucheki mtandaoni, ikasomankuwa kwa Marekani, atheist ni asilimia 4, kwa Tanzania, by 2020, takwimu zinazoonesha kuwa Christian ni asilimia 63.2, Islam asilimia 34.1, No Religion asilimia 1.5 na Traditional Religion ni asilimia 1.2.Population ya watu wasio na dini Tanzania ni less than 1% wakati marekani wapo Kama 12% ya population na kumbuka population Yao ni kubwa Mara nne ya kwetu
Mzungu katengeneza chanjo ya corona huku mnauombea uondoke mnadanganyana Mungu kaikoa nchi kwa corona kisa Ina dini kumbe watu kibao wanakufa na kuzikwa afu unasema we na mzungu mpo sawa kimaarifa, kamtawale basiNani kalinganisha elimu? Unaanza kunichosha mkuu,we kuwa na amani wala mimi sitaki kuwashusha utukufu unaouona kwa wazungu.
Asilimia kumi na mbili ya marekani hawana dini yoyote sijasema atheists elewa sawaHiyo umeitoa wapi kiongozi? Nimejaribu kucheki mtandaoni, ikasomankuwa kwa Marekani, atheist ni asilimia 4, kwa Tanzania, by 2020, takwimu zinazoonesha kuwa Christian ni asilimia 63.2, Islam asilimia 34.1, No Religion asilimia 1.5 na Traditional Religion ni asilimia 1.2.
Hata hivyo sijajua hoja yako hapo hasa ni ipi mkuu!
Kwamba Marekani imeendelea sana kwa sababu ya kuwa na idadi kubwa ya watu wanaomwamini Mungu?
Kunatofatianaje na Tanzania kwenye suala zima la Imani za kidini?