Daah aloo kweli [emoji114][emoji114][emoji114]Hii Dunia imeumbwa katika mfumo wa muda. Na huyo Mungu anaishi nje ya huu mfumo yaan hana muda
Bro Mungu anapatikana kwenye unyenyekevu. One's umeamua kutaka kumjua na kumuishi ukajishusha utapata mwanga na majibu yote magumu uliyonayo.
Unajuaje kama yuko juu ya uwezo wetu!?Mungu yuko juu ya Uwezo wako kila kitu
1. So unataka tuamini mababu zote walichoamini...🤣jua linazama kwenye tope.Haya mambo ni mepesi kama tutatuliza hisia na mihemko na kuwa free mind...
DINI ni uhusiano kati ya mtu na Mungu.Hiyo ndo tafsiri ya Dini.
Hivyo dini sio exactly hivi vikundi vya watu watu katika tafsiri halisi..UYAHUDI, UISLAM, UKRISTO, UPINGAJI MUNGU etc..(Dini ni mtu mmoja mmoja na Mungu wake...).
Kwa nini vikundi viliibuka au vinaibuka?Vikundi vinaibuka pale ambapo watu fulani wenye mtazamo sawa wa namna ya kuwa na uhusiano na Mungu wanaamua kutengeneza utaratibu wa pamoja...wana-officialize namna wao wanatengeneza uhusiano na Mungu wao..na hapo ndo Uyahudi, Ukristo, Uislamu, Budha, Hindu, Dini za asili zilivyoibuka...
Pili kwa asili binadamu yoyote hauhitaji kwenda kanisani au msikitini ili ujue hii ni dhambi na hii sio dhambi..never.Kwenye nyumba za ibada tunaenda kukumbushana tu..lkn kila kitu kipo ndani mwetu...tumeumbwa hivyo by default..ndo design yetu ilivyo...Tunatofautiana namna ya kusikiliza sautii ya ndani na kuitendea kazi....
Mungu yupo???
Yes Mungu yupo...sio kwa sababu biblia zimeandika au Quran n.k hapana bali ni sababu ya wito wetu wa ndani.Babu zetu hawakuwa wakrist au waislam lkn waliabudu...na walijua Mungu yupo....suala yukoje hiyo ni issue nyingine.
Mungu ni nguvu iliyondani mwetu, hiyo ambayo hata wanasayansi wameshindwa kuicopy..Mungu ni huo utashi...Mungu hana time, physical dimension.....Hana mapungufu..ni ukamilifu ulionje ya uwezo wa binadamu au malaika kuelewa na kughamua..
Mungu kagawa na kila mmoja umungu wake..Ukifa hakuna Moto...maana moto ni kwa nyama..lkn roho sio nyama..moto ni lugha ya picha kuonesha maumivu.Je ni maumivu gani??Maumivu ya kushindwa kurudi tulikototoka..roho zetu zimekuwa design kurudi kwenye source...Mungu...adhabu tunazobata ni kucheleweshwa kufika..na hapo ni roho zinahangaika...
Mungu ni upendo na anatupenda kuliko upeo..
Mungu yupo muda wote na sisi....
Oxygen inapimika unaweza kupima athari zake za uwepo wake na kutokuwepo kwake u can't do that with huyo Mungu if u can prove itNi mahalo popote kama vile oxygen inavyopatikana mahali popote penye uhai.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Pengine hukumuelewa.Wewe unazungumzia story ya kutunga na ndio ambayo unadai ina contradition, kwahiyo hata kama hiyo story isingekuwa na contradition bado inabaki kuwa ni story ya kutunga kwa maana si jambo la kweli.
Haiwezi ikawa kwamba zikiondolewa hizo contraditions inafanya hiyo story kuwa ni story halisi badala kuwa story ya kutungwa tu.
Sijui wapi unashindwa kunielewa jambo jepesi kabisa?
Huyo jamaa kajitoa uelewa analazimisha mambo tu.Pengine hukumuelewa.
Msingi wake ni kwamba; hiyo ni story ya kutungwa kwa sababu ina contradictions.
Yaani contradictions ndio zinajenga msingi kuwa story si ya kweli bali ni ya hadithi ya kutunga tu.
Wewe unadai kuwa Kiranga anahitimisha story ni ya kutunga kwa sababu ni ya kutunga tu hata ukitoa contradictions zilizomo.
Kwamba hata ukitoa contadictions itabaki ya kutunga tu.
Yeye anasema story ni ya kutungwa kwa sababu ya uwepo wa contradictions zilizo ndani yake. Ukitoa contractions zilizopo ndipo utaweza kusema ni ya kweli.
Umeelewa hapo??
Shukurani kwa kutuletea hii video nzuri sana mkuu.
Ndo hapo Sasa....mkuuShukurani kwa kutuletea hii video nzuri sana mkuu.
Nimeiangalia kutoka mwanzo mpqka mwisho na imeniongezea vitu fulani hivi.
Sean Carroll namfuatilia sana.
Tatizo wangapi hapa wataiangalia na kuielewa?
Noma sanaPengine hukumuelewa.
Msingi wake ni kwamba; hiyo ni story ya kutungwa kwa sababu ina contradictions.
Yaani contradictions ndio zinajenga msingi kuwa story si ya kweli bali ni ya hadithi ya kutunga tu.
Wewe unadai kuwa Kiranga anahitimisha story ni ya kutunga kwa sababu ni ya kutunga tu hata ukitoa contradictions zilizomo.
Kwamba hata ukitoa contadictions itabaki ya kutunga tu.
Yeye anasema story ni ya kutungwa kwa sababu ya uwepo wa contradictions zilizo ndani yake. Ukitoa contractions zilizopo ndipo utaweza kusema ni ya kweli.
Umeelewa hapo??
Labda wewe ndio haujaelewa, story ya kutunga sio lazima iwe na contradictions, sasa hata ukisema niondoe contradictions na nikifanya hivyo ndio inafanya kuwa story ya kweli kisa tu hakuna contradictions?Pengine hukumuelewa.
Msingi wake ni kwamba; hiyo ni story ya kutungwa kwa sababu ina contradictions.
Yaani contradictions ndio zinajenga msingi kuwa story si ya kweli bali ni ya hadithi ya kutunga tu.
Wewe unadai kuwa Kiranga anahitimisha story ni ya kutunga kwa sababu ni ya kutunga tu hata ukitoa contradictions zilizomo.
Kwamba hata ukitoa contadictions itabaki ya kutunga tu.
Yeye anasema story ni ya kutungwa kwa sababu ya uwepo wa contradictions zilizo ndani yake. Ukitoa contractions zilizopo ndipo utaweza kusema ni ya kweli.
Umeelewa hapo??
Wewe unadhani nini kimefanya Atheists wasiamini katika Mungu?Labda wewe ndio haujaelewa, story ya kutunga sio lazima iwe na contradictions, sasa hata ukisema niondoe contradictions na nikifanya hivyo ndio inafanya kuwa story ya kweli kisa tu hakuna contradictions?
Kwanza ajabu sana mtu ambaye ni atheist anapokuja na hoja ya kudai kwamba et hakuna Mungu kwa sababu ya contradictions kwenye kana kwamba hiyo contradictions ndio iliyomfanya asiamini Mungu.
Ni kweli story ya kutunga sio lazima iwe na contradictions.Labda wewe ndio haujaelewa, story ya kutunga sio lazima iwe na contradictions, sasa hata ukisema niondoe contradictions na nikifanya hivyo ndio inafanya kuwa story ya kweli kisa tu hakuna contradictions?
Kwanza ajabu sana mtu ambaye ni atheist anapokuja na hoja ya kudai kwamba et hakuna Mungu kwa sababu ya contradictions kwenye kana kwamba hiyo contradictions ndio iliyomfanya asiamini Mungu.
Ki hakika hilo swali hata atheists wenyewe hawana jibu, maana huko kutokuamini katika Mungu/miungu ni msimamo ambao haujaeleweka msingi wake ni upi.Wewe unadhani nini kimefanya Atheists wasiamini katika Mungu?
Zikiondolewa hizo contradictions ndio itakuwa uthibitisho kuwa Mungu yupo? au itafanya kuwa hiyo story ni ya kweli? au itakuwa zimeondolewa contradictions tu kwenye hiyo story?Ni kweli story ya kutunga sio lazima iwe na contradictions.
Lakini story yenye contradictions na inayo jipinga yenyewe itakosa mantiki na uhalisia na hivyo itakua ni ya kutungwa tu.
Sio kila story ya kutungwa ina contradictions.
Zipo ambazo zimetungwa kulingana na uhalisia kabisa na pengine itahitaji kufanya utafiti zaidi na hata kumuuliza mwandishi juu ya ukweli wa story yake.
Story yenye contradictions na yenye kukosa uhalisia ina hitimisha kabisa kuwa imetungwa.
Pengine mtunzi hakuwa makini kwenye kuweka uhalisia kwenye story yake.
Lakini story hiyo itabaki kuwa ya kutungwa.
Hapa haiitaji kumhoji mwandishi juu ya ukweli wa story yake kwani ameshindwa hata kuweka uhalisia ndani yake.
Atheist wana hitimisha kuwa hakuna Mungu kwa sababu evidence zinazo tumika kuelezea habari za Mungu zina contradictions na hivyo ni story za kutunga tu.
Pengine theists wangetatua hizo contradictions. Yaani waoneshe kwamba contradictions hazipo kwenye maandiko yanayo muelezea Mungu kama inavyo daiwa na atheist.
Vinginevyo wangetoa ushahidi mwingine tofauti na hayo maandiko.
Ushahidi huo usiwe na contradictions.
Unapataje uhakika wewe kwamba Atheists hawana jibu hilo?Ki hakika hilo swali hata atheists wenyewe hawana jibu, maana huko kutokuamini katika Mungu/miungu ni msimamo ambao haujaeleweka msingi wake ni upi.