Mungu Yuko wapi?

Mungu Yuko wapi?

Hii Dunia imeumbwa katika mfumo wa muda. Na huyo Mungu anaishi nje ya huu mfumo yaan hana muda

Bro Mungu anapatikana kwenye unyenyekevu. One's umeamua kutaka kumjua na kumuishi ukajishusha utapata mwanga na majibu yote magumu uliyonayo.
Daah aloo kweli [emoji114][emoji114][emoji114]
 
Haya mambo ni mepesi kama tutatuliza hisia na mihemko na kuwa free mind...
DINI ni uhusiano kati ya mtu na Mungu.Hiyo ndo tafsiri ya Dini.
Hivyo dini sio exactly hivi vikundi vya watu watu katika tafsiri halisi..UYAHUDI, UISLAM, UKRISTO, UPINGAJI MUNGU etc..(Dini ni mtu mmoja mmoja na Mungu wake...).
Kwa nini vikundi viliibuka au vinaibuka?Vikundi vinaibuka pale ambapo watu fulani wenye mtazamo sawa wa namna ya kuwa na uhusiano na Mungu wanaamua kutengeneza utaratibu wa pamoja...wana-officialize namna wao wanatengeneza uhusiano na Mungu wao..na hapo ndo Uyahudi, Ukristo, Uislamu, Budha, Hindu, Dini za asili zilivyoibuka...

Pili kwa asili binadamu yoyote hauhitaji kwenda kanisani au msikitini ili ujue hii ni dhambi na hii sio dhambi..never.Kwenye nyumba za ibada tunaenda kukumbushana tu..lkn kila kitu kipo ndani mwetu...tumeumbwa hivyo by default..ndo design yetu ilivyo...Tunatofautiana namna ya kusikiliza sautii ya ndani na kuitendea kazi....

Mungu yupo???
Yes Mungu yupo...sio kwa sababu biblia zimeandika au Quran n.k hapana bali ni sababu ya wito wetu wa ndani.Babu zetu hawakuwa wakrist au waislam lkn waliabudu...na walijua Mungu yupo....suala yukoje hiyo ni issue nyingine.
Mungu ni nguvu iliyondani mwetu, hiyo ambayo hata wanasayansi wameshindwa kuicopy..Mungu ni huo utashi...Mungu hana time, physical dimension.....Hana mapungufu..ni ukamilifu ulionje ya uwezo wa binadamu au malaika kuelewa na kughamua..

Mungu kagawa na kila mmoja umungu wake..Ukifa hakuna Moto...maana moto ni kwa nyama..lkn roho sio nyama..moto ni lugha ya picha kuonesha maumivu.Je ni maumivu gani??Maumivu ya kushindwa kurudi tulikototoka..roho zetu zimekuwa design kurudi kwenye source...Mungu...adhabu tunazobata ni kucheleweshwa kufika..na hapo ni roho zinahangaika...

Mungu ni upendo na anatupenda kuliko upeo..
Mungu yupo muda wote na sisi....
 
1. So unataka tuamini mababu zote walichoamini...🤣jua linazama kwenye tope.
2. Hujaprove Mungu yupo
 
According to www.iAsk.ai Ask Ai Search Engine:

Majibu yafuatayo yataelezea umuhimu na ukosoaji wa kauli "wazee wetu waliamini katika wazo la Mungu au Muumba, hivyo Mungu lazima kuwepo kwa sababu limeaminiwa kwa maelfu ya miaka."

Uhusiano wa Kauli hiyo:
Kauli hii inajaribu kutumia imani za zamani za binadamu katika Mungu au Muumba kama ushahidi wa uwepo wa Mungu. Inadai kwamba imani hii imekuwepo kwa muda mrefu sana, na hivyo inapaswa kuwa na msingi wa kweli. Wafuasi wa hoja hii wanaamini kuwa imani ya zamani ya binadamu inathibitisha uwepo wa Mungu au Muumba.

Kuna umuhimu fulani katika kauli hii ambao unaweza kuonekana. Kwanza, inaonyesha jinsi imani za kidini zimekuwa sehemu muhimu ya utamaduni na historia ya binadamu. Imani za kidini zimekuwa na athari kubwa katika maendeleo ya tamaduni, siasa, na falsafa. Kwa hiyo, kujua imani za zamani kunaweza kutusaidia kuelewa vizazi vilivyotangulia na jinsi walivyofikiria ulimwengu.

Pili, hoja hii inaweza kuchochea majadiliano juu ya asili ya imani za kidini na jinsi zinavyobadilika na kubadilika katika muda. Inaweza kuwa na maana ya kuchunguza jinsi imani za zamani zilivyobadilika na kuendelea kuwa na athari katika jamii za sasa. Pia inaweza kusaidia kuelewa jinsi imani za kidini zinavyoathiri mawazo na tabia za watu.

Hata hivyo, kauli hii pia imekosolewa kwa sababu kadhaa. Kwanza, ukweli wa imani za zamani hauwezi kutumika kama ushahidi wa uwepo wa Mungu au Muumba. Imani za zamani zinaweza kuwa na msingi katika tamaduni, mila, au maarifa ya wakati huo, lakini haziwezi kuthibitisha uwepo wa kitu chochote.

Pili, hoja hii inategemea dhana potofu kwamba imani za zamani ni sawa na ukweli. Ukweli wa kitu haubadiliki kulingana na idadi ya watu wanaoamini au muda ambao imani hiyo imekuwepo. Ukweli unategemea ushahidi wa kisayansi, mantiki, na uchambuzi wa kimantiki.

Tatu, hoja hii inapuuza ukweli kwamba imani za kidini zinatofautiana sana duniani kote. Kuna maelfu ya dini tofauti na mitazamo ya kidini ambayo imekuwepo katika historia ya binadamu. Kwa hiyo, kusema kwamba imani za zamani zinathibitisha uwepo wa Mungu au Muumba ni kudharau imani na mitazamo mingine ya kidini.

Kwa ujumla, hoja ya kutumia imani za zamani kama ushahidi wa uwepo wa Mungu au Muumba ina umuhimu katika kuelewa historia na tamaduni za binadamu. Hata hivyo, hoja hii imekosolewa kwa sababu haiwezi kutumika kama ushahidi wa ukweli na inapuuza tofauti za imani za kidini.

Marejeo ya Kitaalam:

1. "The Oxford Handbook of Philosophy of Religion" - Chuo Kikuu cha Oxford
2. "The Cambridge Companion to Atheism" - Chuo Kikuu cha Cambridge
3. "The Stanford Encyclopedia of Philosophy" - Chuo Kikuu cha Stanford
 
Wewe unazungumzia story ya kutunga na ndio ambayo unadai ina contradition, kwahiyo hata kama hiyo story isingekuwa na contradition bado inabaki kuwa ni story ya kutunga kwa maana si jambo la kweli.

Haiwezi ikawa kwamba zikiondolewa hizo contraditions inafanya hiyo story kuwa ni story halisi badala kuwa story ya kutungwa tu.

Sijui wapi unashindwa kunielewa jambo jepesi kabisa?
Pengine hukumuelewa.

Msingi wake ni kwamba; hiyo ni story ya kutungwa kwa sababu ina contradictions.
Yaani contradictions ndio zinajenga msingi kuwa story si ya kweli bali ni ya hadithi ya kutunga tu.

Wewe unadai kuwa Kiranga anahitimisha story ni ya kutunga kwa sababu ni ya kutunga tu hata ukitoa contradictions zilizomo.
Kwamba hata ukitoa contadictions itabaki ya kutunga tu.

Yeye anasema story ni ya kutungwa kwa sababu ya uwepo wa contradictions zilizo ndani yake. Ukitoa contractions zilizopo ndipo utaweza kusema ni ya kweli.

Umeelewa hapo??
 
Huyo jamaa kajitoa uelewa analazimisha mambo tu.

Watu kama hao hata sijisumbui nao siku hizi.

Unamwambia mtu story inayosema kuna mtoto mchanga wa kike mwenye umri wa miezi sita leo, ambaye ni mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 30 leo, haiwezi kuwa inawakikisha mambo ya kweli, kwa sababu story hii ina contradict logic ya timeline kwamba mama mzazi wa mtu anatakiwa kuwa mkubwa kuliko mtoto wake, tena kwa umri utakaomruhusu huyo mama kuzaa, hivyo, hiyo story ni ya uongo, contradiction hiyo inatuonesha stoey hiyo ni ya uongo.

Halafu mtu anakwambia wewe ungesema tu hiyo story ni ya uongo hata kama kungekuwa hakuna contradiction.
 
Shukurani kwa kutuletea hii video nzuri sana mkuu.

Nimeiangalia kutoka mwanzo mpaka mwisho na imeniongezea vitu fulani hivi.

Sean Carroll namfuatilia sana.

Tatizo wangapi hapa wataiangalia na kuielewa?
 
Shukurani kwa kutuletea hii video nzuri sana mkuu.

Nimeiangalia kutoka mwanzo mpqka mwisho na imeniongezea vitu fulani hivi.

Sean Carroll namfuatilia sana.

Tatizo wangapi hapa wataiangalia na kuielewa?
Ndo hapo Sasa....mkuu
 
Pengine hukumuelewa.

Msingi wake ni kwamba; hiyo ni story ya kutungwa kwa sababu ina contradictions.
Yaani contradictions ndio zinajenga msingi kuwa story si ya kweli bali ni ya hadithi ya kutunga tu.

Wewe unadai kuwa Kiranga anahitimisha story ni ya kutunga kwa sababu ni ya kutunga tu hata ukitoa contradictions zilizomo.
Kwamba hata ukitoa contadictions itabaki ya kutunga tu.

Yeye anasema story ni ya kutungwa kwa sababu ya uwepo wa contradictions zilizo ndani yake. Ukitoa contractions zilizopo ndipo utaweza kusema ni ya kweli.

Umeelewa hapo??
Noma sana
 
Labda wewe ndio haujaelewa, story ya kutunga sio lazima iwe na contradictions, sasa hata ukisema niondoe contradictions na nikifanya hivyo ndio inafanya kuwa story ya kweli kisa tu hakuna contradictions?

Kwanza ajabu sana mtu ambaye ni atheist anapokuja na hoja ya kudai kwamba et hakuna Mungu kwa sababu ya contradictions kana kwamba hiyo contradiction ndio iliyomfanya asiamini Mungu.
 
Labda wewe ndio haujaelewa, story ya kutunga sio lazima iwe na contradictions, sasa hata ukisema niondoe contradictions na nikifanya hivyo ndio inafanya kuwa story ya kweli kisa tu hakuna contradictions?

Kwanza ajabu sana mtu ambaye ni atheist anapokuja na hoja ya kudai kwamba et hakuna Mungu kwa sababu ya contradictions kwenye kana kwamba hiyo contradictions ndio iliyomfanya asiamini Mungu.
Wewe unadhani nini kimefanya Atheists wasiamini katika Mungu?
 
Ni kweli story ya kutunga sio lazima iwe na contradictions.
Lakini story yenye contradictions na inayo jipinga yenyewe itakosa mantiki na uhalisia na hivyo itakua ni ya kutungwa tu.

Sio kila story ya kutungwa ina contradictions.
Zipo ambazo zimetungwa kulingana na uhalisia kabisa na pengine itahitaji kufanya utafiti zaidi na hata kumuuliza mwandishi juu ya ukweli wa story yake.

Story yenye contradictions na yenye kukosa uhalisia ina hitimisha kabisa kuwa imetungwa.
Pengine mtunzi hakuwa makini kwenye kuweka uhalisia kwenye story yake.

Lakini story hiyo itabaki kuwa ya kutungwa.

Hapa haiitaji kumhoji mwandishi juu ya ukweli wa story yake kwani ameshindwa hata kuweka uhalisia ndani yake.

Atheist wana hitimisha kuwa hakuna Mungu kwa sababu evidence zinazo tumika kuelezea habari za Mungu zina contradictions na hivyo ni story za kutunga tu.

Pengine theists wangetatua hizo contradictions. Yaani waoneshe kwamba contradictions hazipo kwenye maandiko yanayo muelezea Mungu kama inavyo daiwa na atheist.

Vinginevyo wangetoa ushahidi mwingine tofauti na hayo maandiko.
Ushahidi huo usiwe na contradictions.
 
Ki hakika hilo swali hata atheists wenyewe hawana jibu, maana huko kutokuamini katika Mungu/miungu ni msimamo ambao haujaeleweka msingi wake ni upi.
 
Zikiondolewa hizo contradictions ndio itakuwa uthibitisho kuwa Mungu yupo? au itafanya kuwa hiyo story ni ya kweli? au itakuwa zimeondolewa contradictions tu kwenye hiyo story?
 
Ki hakika hilo swali hata atheists wenyewe hawana jibu, maana huko kutokuamini katika Mungu/miungu ni msimamo ambao haujaeleweka msingi wake ni upi.
Unapataje uhakika wewe kwamba Atheists hawana jibu hilo?

Huo msingi wa kukataa uwepo wa Mungu hujauelewa wewe au nawao hawauelewi?

Unaweza ondoa contradiction katika dhana ya uwepo wa Mungu?

Unaweza thibitisha Mungu yupo?
 
Back
Top Bottom