Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
- Thread starter
- #21
Kabisa
Mungu yupo
Mungu yupo
KweliAcha kungoja Kristo ashuke kutoka mbinguni, kwa kuwa yupo hapa Duniani pamoja na watoto Wake, akiwabariki siku kwa siku. Mungu yupo duniani unaweza ukamwoma kabisa
Kwenye Jf nimeona kuna mabishano yanatokea kwenye mada mbalimbali kuhusu Uwepo
Wa Mungu
YOHANA
1.Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.
Yeremia23:23 Mimi ni Mungu aliye karibu, asema Bwana, mimi si Mungu aliye mbali.
24 Je, mtu ye yote aweza kujificha mahali pa siri, nisimwone? Asema Bwana. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema Bwana.
Zaburi 14:1
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
2 Toka mbinguni Bwana aliwachungulia wanadamu, Aone kama yuko mtu mwenye akili, Amtafutaye Mungu.
---
Swali la kama Mungu yupo ni swali la msingi na la kihistoria ambalo limekuwa likijadiliwa na wanadamu kwa maelfu ya miaka. Hakuna jibu rahisi la ndiyo au hapana ambalo kila mtu anakubaliana nalo, kwa sababu imani katika Mungu (au kutokuamini) ni suala la kibinafsi, la kiroho, na wakati mwingine la kifalsafa.
---
### Mitazamo Tofauti Kuhusu Kuwepo kwa Mungu
Kuna mitazamo mingi tofauti kuhusu kuwepo kwa Mungu, na kila mmoja una sababu zake:
1. Imani (Theism):
* Watu wengi duniani wanaamini Mungu yupo. Wao huamini kupitia imani ya kidini, mafundisho ya vitabu vitakatifu (kama vile Biblia, Kurani, Torati), uzoefu wa kibinafsi wa kiroho, au hoja za kifalsafa.
* Hoja Zinazotumika:
* Hoja ya Uumbaji (Cosmological Argument): Kila kitu kina chanzo, na hivyo ulimwengu lazima uwe na chanzo cha kwanza kisichokuwa na chanzo kingine, ambaye ni Mungu.
* Hoja ya Ubunifu (Teleological/Design Argument): Utata na mpangilio wa ulimwengu (kama vile uhai, sayari, sheria za asili) unaonyesha kuwa kuna mbunifu mwenye akili kubwa, yaani Mungu.
* Hoja ya Maadili (Moral Argument): Uwepo wa sheria za maadili za ulimwengu wote (kama vile mema na mabaya) unaonyesha kuwa kuna chanzo cha maadili, ambaye ni Mungu.
* Uzoefu Binafsi: Watu wengi wanashuhudia uwepo wa Mungu kupitia maombi kujibiwa, hisia za uwepo wa kimungu, au matukio yasiyoelezeka kisayansi.
2. Kutokuamini Mungu (Atheism):
* Watu hawa hawaamini uwepo wa Mungu au miungu yoyote. Mara nyingi wanategemea hoja za kisayansi, mantiki, au kutokuwepo kwa ushahidi unaothibitisha uwepo wa Mungu.
* Hoja Zinazotumika:
* Ukosefu wa Ushahidi: Wanaamini hakuna ushahidi wa kutosha au unaoweza kuthibitishwa kisayansi kuthibitisha uwepo wa Mungu.
* Tatizo la Uovu: Ikiwa Mungu yupo na ana nguvu zote na ni mwema, kwa nini kuna uovu mwingi na mateso duniani? Hii inaonekana kukanusha sifa za Mungu.
* Maelezo ya Kisayansi: Sayansi imetoa maelezo ya kutosha kwa matukio mengi ya asili ambayo hapo awali yalichukuliwa kuwa ni matendo ya Mungu.
3. Kutojua Kama Mungu Yupo (Agnosticism):
* Watu hawa hawadai kuwa Mungu yupo au hayupo. Wanaamini kuwa haiwezekani kujua kwa uhakika kama Mungu yupo au la, kwa sababu hakuna ushahidi wa kutosha wa kuthibitisha au kukanusha.
* Wanaweza kuwa wazi kwa uwezekano wa Mungu kuwepo, lakini hawana uhakika.
---
### Hitimisho
Kwa kifupi, hakuna ushahidi wa kisayansi unaoweza kuthibitisha au kukanusha moja kwa moja uwepo wa Mungu kwa namna ambayo inakubaliwa na kila mtu. Uwepo wa Mungu ni suala la imani, falsafa, na uzoefu wa kibinafsi kwa wengi.
Jibu la swali "Mungu yupo?" linategemea kile unachoamini wewe binafsi, na jinsi unavyoelewa ushahidi, mantiki, na uzoefu wa maisha.
We unayesema Mungu hayupo
Unashida gani?
Olumba Olumba ObuKweli
Olumba Olumba Obu
bado natafakari watu na viwatu watauka wana amini kitu kimoja ama vinginevyowe upo upande gani?
Hili swala la Time ni mystery kuanzia dini, sayansi hata falsafa. Ukiuliza watu wa sayansi watakuambia mwanzo ni big bang kabla ya hapo ilikuwa sijui inflation kabla ya inflation haijulikani, watu wa dini wanasema mwanzo ni mungu ila hawasemi kabla ya hapo ilikuwa ni nini.Wengine tupo interested zaidi na habari ambazo hamjazifafanua.
Kabla ya mwanzo kulikuwa na nini?
Je mwanzo wa mwanzo ndio mwanzo wa neno?
Na kama mwanzo wa neno ndio mwanzo wa Mungu ni kivipi mseme Mungu hana chanzo?
Kama Mungu hana chanzo kwanini kwenye utangulizi wake kuwe na "hapo mwanzo"?
Akili zako ziko wapi tuzione pleaseYuko wapi nikamuone?.
Hayo maandiko uliyonukuu ndiyo yanayotumiwa pia na waislamu, wabudha, wahindu, washinto, watao nk kudhibitisha uwepo wa Mungu?Kwenye Jf nimeona kuna mabishano yanatokea kwenye mada mbalimbali kuhusu Uwepo
Wa Mungu
YOHANA
1.Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.
Yeremia23:23 Mimi ni Mungu aliye karibu, asema Bwana, mimi si Mungu aliye mbali.
24 Je, mtu ye yote aweza kujificha mahali pa siri, nisimwone? Asema Bwana. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema Bwana.
Zaburi 14:1
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
2 Toka mbinguni Bwana aliwachungulia wanadamu, Aone kama yuko mtu mwenye akili, Amtafutaye Mungu.
We unayesema Mungu hayupo
Unashida gani?
Hapa hapaYuko wapi nikamuone?.
Basi na wewe haupoKwa haya yanayotokea duniani, kusema yupo ni kujipa faraja tu.
Tuthibitishie uwepo wake, jinsia yake ni ipi, muonekano wake ni upi n.k?Basi na wewe haupo
Ilikuwaje hadi Yeye akawepo, alijiumba au ilitokeaje hadi akawepo?MUNGU HAKUUMBWA
YEYE NDIO MWANZILISHI
AKAUMBA NA MUDA NDIO MAANA WANASEMA HAPO MWANZO