Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
- Thread starter
- #61
Ina maana hajuiJibu suala kwanza
Akili yake ipo wapi
Ina maana hajuiJibu suala kwanza
Kwa mantiki yake kama kitu hakionekani kama hakipo basi athibitishe je akili yake ipo au haipoIna maana hajui
Akili yake ipo wapi
Thibitisha.
Kwa mantiki yake kama kitu hakionekani kama hakipo basi athibitishe je akili yake ipo au haipo
Kila kitu nachofanya natumia akili na kuishi kwa kutumia akiliThibitisha.
Nimekuja mbio nikadhani umesena Mungu alipo kumbe ni porojo tu, where is he?Kwenye Jf nimeona kuna mabishano yanatokea kwenye mada mbalimbali kuhusu Uwepo
Wa Mungu
YOHANA
1.Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.
Yeremia23:23 Mimi ni Mungu aliye karibu, asema Bwana, mimi si Mungu aliye mbali.
24 Je, mtu ye yote aweza kujificha mahali pa siri, nisimwone? Asema Bwana. Je! Mbingu na nchi hazikujawa nami? Asema Bwana.
Zaburi 14:1
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
2 Toka mbinguni Bwana aliwachungulia wanadamu, Aone kama yuko mtu mwenye akili, Amtafutaye Mungu.
We unayesema Mungu hayupo
Unashida gani?
Unaweza kunionesha hata kapicha akili inafananaje?Kila kitu nachofanya natumia akili na kuishi kwa kutumia akili
Bila akili hata unavyochat usingesema chochote
Na usinge ishi
Mbinguni, Duniani na ndani ya MtuNimekuja mbio nikadhani umesena Mungu alipo kumbe ni porojo tu, where is he?
WoiMbinguni, Duniani na ndani ya Mtu
Isaya 66:1 Bwana asema hivi, Mbingu ni kiti changu cha enzi, na dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu; mtanijengea nyumba ya namna gani? Na mahali pangu pa kupumzikia ni mahali gani?
2 Maana mkono wangu ndio uliofanya hivi vyote, vitu hivi vyote vikapata kutokea, asema Bwana; lakini mtu huyu ndiye nitakayemwangalia, mtu aliye mnyonge, mwenye roho iliyopondeka, atetemekaye asikiapo neno langu.
1 Wakorintho 3:16
Hamjui ya kuwa ninyi mmekuwa hekalu la Mungu, na ya kuwa Roho wa Mungu anakaa ndani yenu?
Unaweza kunionesha hata kapicha akili inafananaje?
Kuna nn ?
GoodJESUS IS COMING AGAIN
Get prepared!
Enyi kizaz cha NyokaNilijua umekuja na ushaidi kumbe maneno matupu!
KabisaKama ulikuwepo Mimi pia nilitaka kumwita.
Wapo na wengine Wengi yaan muda si mrefu Uzi unaanza kufuka VUMBI NA MOSHIII🏃🏃
Sawa.Ni invisible
Ila unakuta picha zilizopo ni graphics zinaonyesha light in brain ili kufananisha na akili