Mungu yupo, kuna watu wanabisha kuwa yupo

Mungu yupo, kuna watu wanabisha kuwa yupo

Sijapinga kwamba kuna alieanzisha yote. Nimeuliza alitokeaje, Yaani alitokea wapi hadi akaja/akaenda kuanzisha?
Alijiumba au ilikuwaje hadi yeye akawepo?
Alikuwa kwenye giza roho yake ilikuwa juu ya vilindi vya maji
Ndio akaanza kutamka vitu vitokee
Akasema iwe nuru
Nuru ikatokea
Akatenganisha nuru na giza
 
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Ni binadamu tu wanahangaika kumuelezea na kumtetea huyo Mungu aonekane yupo kumbe hayupo.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe na kujitetea kama ana huo uwezo.
Siku ukiwa kwenye hukumu
Utakumbuka haya maneno
 
Jibu swali akili ni nini?
Akili ni uwezo wa mtu kufikiri, kuelewa, kujifunza, kukumbuka, na kufanya maamuzi kwa busara. Ni sehemu ya ndani ya binadamu inayohusika na utambuzi, hisia, na tabia. Kwa kifupi, akili hutumika kutatua matatizo, kupanga mambo, na kuelewa mazingira yanayotuzunguka.
 
Unaweza kuthibitisha akili kama ipo?.
 
Back
Top Bottom