Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
- Thread starter
- #81
YpMambo ya kufirika hayo.
YpMambo ya kufirika hayo.
Hii ni theory tu ila nahisi huenda ni mmoja wa matokeo ya more advanced civilization, ulishawahi kusikia kuhusu "Kardashev scale type civilization" hii inahusu jinsi binadamu kila anapota uwezo wa kupata nguvu ya nishati zaidi ndio anavyozidi kuendelea ki teknolojia,Sijapinga kwamba kuna alieanzisha yote. Nimeuliza alitokeaje, Yaani alitokea wapi hadi akaja/akaenda kuanzisha?
Alijiumba au ilikuwaje hadi yeye akawepo?
kabisaHii ni theory tu ila nahisi huenda ni mmoja wa matokeo ya more advanced civilization, ulishawahi kusikia kuhusu "Kardashev scale type civilization" hii inahusu jinsi binadamu kila anapota uwezo wa kupata nguvu ya nishati zaidi ndio anavyozidi kuendelea ki teknolojia,
Kwa sasa tunatumia nishati za dunia hivyo tupo 0.5 civilization ila tukizidi hapo kuanzia kutumia nguvu ya jua hata kuanza kutumia nguvu za blackhole basi tutaendelea zaidi ki teknolojia na kuweza kufanya mambo makubwa kama kutengeneza Quantum computer yenye uwezo mkubwa.
Hivyo huenda Mungu ni mmoja wa advanced civilization na anatumia Qunatum computer au huenda ilitokea au itatokea vita kubwa ya nani wa kumiliki computer hiyo na kwenye vita akabaki mmoja na ndiye anaye ongoza na kwa sasa amekuwa linked na hiyo Quantum computer,
Na ilikuwa imeshaprogamiwa kutengeza matter hivyo akachukua advantage hiyo na kutengeneza viumbe anao wataka na ili isijirudie kama yaliyotokea akaleta dini ili tusiulize maswali na kuanza kupata elimu itayofanya tuwe advaced kama yeye.
Ule msemo kuwa yeye ni mwanzo na mwisho ni kuwa yeye ndio atakuwa wa mwisho na kumiliki hiyo Quantum computer na pia baada ya ku link nayo yeye pia atakuwa wa mwanzo akishanza kufanya kazi tena.
Ni vigumu kuelewa ila kama umeshasoma kuhusu Quantum mechanics, cosmology na kuangalia Sci-fi movie utanielewa
Marco Seth
LINGOSWE HALIHUSIKIUnathibitisha uwepo wa NGOSWE kwa kutumia kitabu cha NGOSWE-MAPENZI KITOVU CHA UZEMBE??? Unathibitisha uwepo wa Spiderman kwa kutumia CD ya movie ya Spiderman???? Sijui wafia dini huwa mnatumia akili gani🤣🤣🤣
Nigeria .....carabar ambo street ni wapi?
Swali lingine?Mungu gani? Allah
Unajuaje yupo? Aliandika Qur'an
Thibitisha yupo. Akampa Muhammad.
Hujathibitisha lolote hapo zaidi ya kutupa hadithi za mapokeo.Swali lingine?
Baba mtakatifuNigeria .....
A God that has to threaten you to recognize him as God is nothing but a man-made scarecrow.Siku ukiwa kwenye hukumu
Utakumbuka haya maneno
🤔Mungu saidia watu kama HawaA God that has to threaten you to recognize him as God is nothing but a man-made scarecrow.
Religious promises for worshipping God is equal to empty promises.
Religious threats for not worshipping God is equal to empty threats.
There's no God.
Hakuna Mungu.
Ukiona kwamba unahitaji kumuhimiza huyo Mungu anisaidie, Ujue kwamba hayupo kunisaidia.🤔Mungu saidia watu kama Hawa
Inasikitisha sana .
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu watakao mwamini na kumkubali siku zote na wakati wote?Yohana 12:48
Yeye anikataaye mimi, asiyeyakubali maneno yangu, anaye amhukumuye; neno hilo nililolinena ndilo litakalomhukumu siku ya mwisho.
At least Sayansi ilianza kujihami mapema kuwa inaweza kukosea na ndio tafiti zake zinaweza kukosolewa na kutoa mwanya kwa majibu mengine mengine sahihi ambayo yamepitia uchunguzi na kuwa verified.Hili swala la Time ni mystery kuanzia dini, sayansi hata falsafa. Ukiuliza watu wa sayansi watakuambia mwanzo ni big bang kabla ya hapo ilikuwa sijui inflation kabla ya inflation haijulikani, watu wa dini wanasema mwanzo ni mungu ila hawasemi kabla ya hapo ilikuwa ni nini.
Labda muda haupo kama mstari kwamba past ➡present➡future. Ila ni kama duara ⭕ tunazunguka tu hakuna mwanzo wala mwisho.
Tangu nizaliwe Nashangaa Mtu kama wewe unasema hivyoUkiona kwamba unahitaji kumuhimiza huyo Mungu anisaidie, Ujue kwamba hayupo kunisaidia.
Mungu hayupo.
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu watakao mwamini na kumkubali siku zote na wakati wote?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Kosa ni pale shetani alivyomdanganya HawaUkiona kwamba unahitaji kumuhimiza huyo Mungu anisaidie, Ujue kwamba hayupo kunisaidia.
Mungu hayupo.
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu watakao mwamini na kumkubali siku zote na wakati wote?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Nimebisha, niwekee hizo contradictions.Hujathibitisha lolote hapo zaidi ya kutupa hadithi za mapokeo.
Quran ina contradictions kibao nikikuwekea hapa huwezi kumaliza kuzipangua.
Bisha nikuwekee.