Mungu yupo, kuna watu wanabisha kuwa yupo

 
Hili swala la Time ni mystery kuanzia dini, sayansi hata falsafa. Ukiuliza watu wa sayansi watakuambia mwanzo ni big bang kabla ya hapo ilikuwa sijui inflation kabla ya inflation haijulikani, watu wa dini wanasema mwanzo ni mungu ila hawasemi kabla ya hapo ilikuwa ni nini.

Labda muda haupo kama mstari kwamba past ➡present➡future. Ila ni kama duara ⭕ tunazunguka tu hakuna mwanzo wala mwisho.
 
Hayo maandiko uliyonukuu ndiyo yanayotumiwa pia na waislamu, wabudha, wahindu, washinto, watao nk kudhibitisha uwepo wa Mungu?
 
MUNGU HAKUUMBWA
YEYE NDIO MWANZILISHI
AKAUMBA NA MUDA NDIO MAANA WANASEMA HAPO MWANZO

Mwanzo
1.Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…