Nani anayetakiwa kuthibitisha kisichokuwepo? Anayesema kuwa kipo au anayesema kuwa hakipo? Mimi nimesema Juma hayupo, wewe umesema yupo halafu unaniambia niprove kwamba Juma hayupo!..THATS INSANE, kama unajua Juma yupo call him out ili nimwone.
MIMI NASEMA NAJUA WEWE HUNA AKILI KABISA,KAMA WEWE UNASEMA UNAZO LETA UTHIBITISHO WAKO HAPA WATU WAUSOME, Vinginevyo kubaliana nami kwamba ni kweli huna AKILI. nje ya hpo ni INSANITY
Watu hatutaki kuamini, biblia tumeitoa makosa.
Wewe unakuja kutupa mistari ya biblia!
Kuamini biblia kikondoo bila backing ndio wengine hatutaki. Biblia unavyoiona sacred wewe si kila mtu, wengine tunaweza kuiangalia na kuitoa makosa kibao tu. Kwa hiyo usitake kufanya kwamba kwa kuwa kwako wewe biblia ni sacred basi kila mtu ataiamini tu.
This is exactly why religion is so lame.
Mnapewa maneno yameandikwa na wayahudi maelfu ya miaka, wayahudi wanawapa sheria zao, mnayakumbatia kwamba ya mungu.
Watu wakitaka a scientific explanation rooted in logic, mnawaita wana kasumba za ukoloni.
Kati ya nyie mnaokariri vitabu vya wayahudi na sisi tunaouliza maswali nani ana kasumba ya ukoloni?
Great sinker, hawa Theist loosers wanaishi bara gani ? Atheist gainer wewe unaishi wapi ? unatumia PC ama SIMU kuandika natumia hivyo hivyo, kwa akili yako pungufu unajidanganya kwamba hizi ni product za Atheist, hata kukiita kichaa nitakuwa nakupendelea...
Kama complexity ni lazima iumbwe, complexity kubwa inayoumba complexity ndogo nayo ni lazima iumbwe.
Huwezi kusema kiti ni lazima kiumbwe, halafu mwanadamu aliyekiumba kiti awe hajaumbwa sawa?
Same argument.
Mfanye mwanadamu awe kama kiti, na muumbaji wake awe mungu.
Huwezi kusema mwanadamu ni lazima awe ameumbwa, halafu muumbaji wake awe hajaumbwa.
Kama complexity ndogo kama mwanadamu ni lazima iwe imeumbwa, kwa sababu complexity haiwezi kutokea yenyewe bila kuumbwa, basi complexity kubwa zaidi, mungu, ni lazima zaidi iwe imeumbwa.
Kwa hiyo ukishikilia kwamba mwanadamu ni lazima awe ameumbwa, kwa kuwa hawezi kutokea hivi hivi tu, unachoandika bila kujijua ni kwamba mungu naye ni lazima awe ameumbwa. Ndiyo line ya logic ya argument yako.
Of course unaweza kuchomeka any arbitrary "deus ex machina" hapo kati kujitoa katika kamba uliyojifunga wewe mwenyewe. But that would be illogical.
Mungu wenu haelezeki logically.
Kwa sababu hayupo.
Kama yupo toa ushahidi.
Nilianzisha mjadala huu baada ya ule wa kwanza kuvurugwa.Komputer nayotumia mimi imetengenezwa na binadamu, labda wewe mwenzangu yako imeshushwa kutoka mbinguni; lakini nitashangaa kwa maana yesu akija hapa leo nikamkabidhi hawezi hata kusogeza kipanya....bwahahahahhah!
H1N1 Please stop these silly rhetorics.MIMI NASEMA NAJUA WEWE HUNA AKILI KABISA,KAMA WEWE UNASEMA UNAZO LETA UTHIBITISHO WAKO HAPA WATU WAUSOME, Vinginevyo kubaliana nami kwamba ni kweli huna AKILI. nje ya hpo ni INSANITY
Bill Gates mabilioni yake yanahesabika, upendo wake una mipaka na ujuzi wake una mipaka lakini kagawa sehemu ya fortune na muda wake ili watoto wa nchi masikini wapate chanjo za polio.
Mungu ambaye ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angeweza kuweka ki gene tu katika damu kikawa automatic vaccination kwa kila mtoto anayezaliwa hajafanya hivyo.
Kwa nini?
Huyu mungu yupo kweli jamani?
Au tunapigana kamba tu?
Kama yupo mbona hata Bill Gates anamshinda?
Aisee umenifanya nicheke sana! Duh!
Kilaini tena? Hili ni jina langu halisi wala sio uongo.
Wala hauhitaji PhD ili kumwonesha mtu kitu ambacho kipo.
kadoda11 umesahau huwa tuko wote kule kwenye teknolojia. Mi Mkristo wa kawaida tu sio askofu, padri wala sichungi kanisa!
Komputer nayotumia mimi imetengenezwa na binadamu, labda wewe mwenzangu yako imeshushwa kutoka mbinguni; lakini nitashangaa kwa maana yesu akija hapa leo nikamkabidhi hawezi hata kusogeza kipanya....bwahahahahhah!
Nilianzisha mjadala huu baada ya ule wa kwanza kuvurugwa.
Tafadhali nawasihi tusiharibu mjadala. Tuabaki na mada husika.
Kama mizaha basi mnaonaje mkaifanya kwenye uzi ule. Tubaki tu kwenye mada.
Pia mnaweza kutofautiana bila kutukanana, hiyo ndiyo maturity!
H1N1 Please stop these silly rhetorics.
You are killing the thread!
Stick to the topic and respect each other!
Kama unaweza kuhoji uwezo wa YESU ambaye aliishi dunia hii ambayo wewe na mimi tunaishi,alifanya mambo ambayo hakuna anayeyapinga kwamba si ya kawaida, YESU ni level nyingine ni binadam mwenye kiwango cha juu sana cha Upumba.vu awezaye kumshusha hadhi kwamba hataweza kusogeza kipanya akipewe PC.Pole mkuu wangu.
Pole kwa kushindwa kudecode andiko langu, wanasema ''Mungu hayupo'', jukumu la kuthibitisha kwamba yupo ni la yule anayesema yupo, wanataka ushahidi yakinifu, sawa. kwa mantiki hiyo hiyo nasema fulani hana akili, jukumu la kuthibitisha kwamba anazo akili ni la kwake anaesema anazo na atoe ushahidi yakinifu kuthibitisha. Sikumaanisha kutukana kwamba mtu hana akili, bali nataka nijue jinsi ambavyo hawa wataalamu wa Sayasni wanavyuoweza kutoa ushshidi usio shaka kuthibitisha vilivyopo huku havionekani ? tusi liko wapi hapo ?
Tunaongea fact! Kama akili yako iko vizuri hebu niambie kama kuna mtu mmoja wa enzi za yesu anayeweza kusogeza kipanya cha pc akitokea duniani leo hii! Nadhani tatizo lako umejikita kusoma kwenye kitabu kimoja, enzi za yesu kulikuwa na wengi wenye kutenda miujiza kama yeye, hata leo hii kuna watu wenye kutembea juu ya maji, unasemaje kuhusu hilo?
Jadili kwa upole acha jazba na matusi, WEWE NI MTU WA "MUNGU"!!