Hahaha, unaogopa kusoma link? Unataka kujua kweli wewe?
Here goes
According to David Harvey, Distinguished Professor of Anthropology at the City University of New York (CUNY),
"Critical theory at its most abstract and general level ... begins as a formal 'negativity.' As a dissenting motif, it selects some tradition, ideological premise, or institutionalized orthodoxy for analysis. As immanent critique, it then 'enters its object,' so to speak, 'boring from within.' Provisionally accepting the methodological presuppositions, substantive premises, and truth-claims of orthodoxy as its own, immanent critique tests the postulates of orthodoxy by the latter's own standards of proof and accuracy. Upon 'entering' the theory, orthodoxy's premises and assertions are registered and certain strategic contradictions located. These contradictions are then developed according to their own logic, and at some point in this process of internal expansion, the one-sided proclamations of orthodoxy collapse as material instances and their contradictions are allowed to develop 'naturally.'"[SUP]
[3][/SUP]
Proofs zinaanza from scratch. Huwezi kuanza na jibu la x wakati unataka ku solve for x.
Na hata ukipata jibu, inabidi jibu liwe testable successfully. Hizi ni kanuni za knowledge system.
Tatizo unacho reprsesnt si part of any knowledge system, ni part ya belief system, kitu ambacho hakithibitishiki by definition.
Logic works. Hiyo computer unayotumia imetengenezwa kwa logic gates, ina electronic circuitry ndani yake inayotumia logic. Magari, majumba, madaraja yote yanajengwa kwa logic. Sasa kama hujui kwa nini natumia logic sababu ndiyo hiyo.
Hata wewe unatumia logic, utake usitake.
Ukisema uache kutumia logic huwezi kupost kitu JF.
Ukikataa hili wewe mbishi tu. Sasa unajua kwa nini natumia logic.Usi assume tu kwamba natumia logic bila kujua sababu. Kama hujui uliza utapewa majibu, lakini ukiwa una assume assume tu utaonekana hujui unachoongea na wala huna utashi wa kujua.
Anaye challenge kuwepo kwa mungu ana dini as much as mwenye upara alivyo na nywele.
Nimekuonesha jinsi watu wanavyoishi kwa a moral and ethical system bila kumuhitaji mungu.
Nimekupa quote ya Albert Einstein hapa.
Naona unaruka vile ambavyo huwezi kuvijibu na kushupaa tu shingo ngumu, kama hujajibiwa wakati maswali yashajibiwa.
First thing first, huhitaji dini kuchallenge kuwepo kwa mungu. Second thing, huhitaji mungu kuwa na sayansi. Sayansi inafanywa kwa hupotheses na experiments na observation na peer review.Hakuna hata kimoja kinachohitaji mungu hapo.
Niibe nini? You are getting ahead of yourself. Huja prove kwamba mungu yupo ushasema namuibia?
Jibu the problem of evil kwanza.
Soma uelewe immanent criticism hapo juu, tatizo mvivu wa kusoma na mwingi wa kuandika, of course utaandika pumba
Unayasema meaningless kwa sababu huwezi kuyajibu?
Hufahamu immanent criticism ni nini na wala huwezi kufanya simultaneous equation by
Sio muhimu kitu hujakielewa?
Only if you are an immobile fundamentalist
I am afraid you have blinded yourself with fundamentalism
Kabla ya kuniuliza mimi, je mungu aliyeumba vyote, mwenye nguvu zote na upendo wote alikubaliana naye? Kwa nini alimuachia? Kwa nini aliruhusu? Hujajibu hili swali.
Mungu anasemaje? Kama hawako sahihi mbona hazuii?
Unarudia maswali ayleyale sasa. Kwa nini mungu karuhusu hayo yatokee? Kashindwa kuyazuia? Utaniulizaje mimi nisiye na uwezo wote, ujuzi wote wala upendo wote na uache kumuuliza mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
Kama mungu wenu mwenye attributes zote hizo yupo, this very minute anaweza kuzuia kitendo kama hiki sehemu fulani duniani, ambayo mimi siijui na yeye anaijua.
Sasa kwa nini hazuii kama yupo?
Umeiona quote ya Einstein?
Show me the truth table, if you even know what that is.
Who said they pop from nothing?
Why must that lawgiver be god? We have laws of the land made by parliament, does god sit in the parliament to give us our laws of the land? We don't need god for that. Why should it be any different for the laws of morality?
There is nothing to get, aside from fundamentalist dogma.
Your non-rebuttal rebuttal flatters me.The lack of originality shows how tired you are, your using my explanation of yourself to fling it back to me shows me that you can't even take the time to describe your view of me.Your using of my description - an imitation really- is the best type of flattery.
Hiyo ndiyo definition mojawapo ya elimu. Yesu alivyoyatoa majini na kuyapeleka kwenye nguruwe alikosa elimu ya compassion kwa wanyama. Watu walioelimika siku hizi wanakuwa humane sio tu kwa wanadamu wenzao, bali pia mpaka kwa wanyama. Yesu angefanya hiki kitu leo, watu wa "People for The Ethical Treatment of Animals" (PETA) wangemjia juu. The zeitgeist of his time was different. Hapo ndipo utajua kwamba morality haihitaji dini. Huyu mtu mnayemuita mungu alikuwa ana uwezo wa kuyaambia majini yaondoke bila kuwaingilia nguruwe, akayakubalia yaingilie nguruwe wa watu, nguruwe wakafa.
Huu ni mfano unaokuonesha ni jinsi gani dini inavyoweza kukosa morality halafu watu secular wakawa na morality.
PETA si kukundi cha dini, lakini kina morality code ya hali ya juu kuhusu the treatment of animals. Kupita dini zenu hizo.
Kwa hiyo usitake kutuambia kwamba morality ni monopoly ya dini.
Slow down, slow your role, don't put the cart before the horse.
Hujathibitisha kwamba mungu yupo usharukia kaumba ubongo wa Einstein?
Great minds discuss ideas, simple minds discuss people. Mimi simuongelei Einstein the person, naongelea idea yake alivyosema kuhusu morality without god.
Stop clowning.
Apparently hata kusoma maneno yako mwenyewe huwezi.
Correct.
Sio hata mdoli wala mtumwa, kwa sababu hayupo. Hujaonesha kwamba yupo.Umeshindwa.
Kwa hiyo acheni upumbavu wa kusema mungu kaacha evil duniani ili tuwe na choice.
Kwa nini kuna evil sasa?
Kwa nini kaachia evil?
The god idea is the biggest straw man ever thought. Ni habari ya tisha toto kama mtu wa mabua anayewekwa shambani kulinda ndege wasile mpunga. Ndege mjanja akitokea na kujua kwamba huyu mtu wa mabua hafanyi lolote atafaidi sana.
Mungu wako ni wa bandia to start with. Hawezi hata ku pass the test of "the problem of evil"
Of course, false premise number one is that there is a god at all.
I was trying to show you how a false premise would produce a contradiction.
Of course this is a case of "false premise, false conclusion"
Hapo mwanzo mungu nini?
God's perfect knowledge is incompatible with human free will. This is a contradiction.
Kukubali mungu asiyeonekana wala kuthibitishika si gizani? Kuuliza maswali ndiyo gizani? Hilarious
Sikuulizwa hata kama nataka kuzaliwa au sitaki. Utasemaje mungu huyo anapenda niwe na chaguo?
Hata kibinadamu tu, kabla ya kukubali kazi, ndoa, any serious thing unasaini na mashahidi.
Sasa kwa nini mungu katuleta duniani bila kutuuliza kama kweli anapenda tuwe na uchaguzi?
Kuna tofauti kati ya kujibu maswali na kubabaisha. Wewe umebabaisha.
Mwanadamu anapata wapi uwezo wa kutumia vibaya utashi wake?
Kama mungu anaweza kila kitu, alishindwa kumpa mwanadamu utashi lakini kuzuia utashi usitumike vibaya?
Mungu alipokuwa anaumba ulimwengu, kwa nini aliachia mwanadamu awe na uwezo wa kutumia vibaya utashi wake?
Ni zipi hizo hoja za msingi ambazo hazijajibiwa? Wewe umejibu "the problem of evil"?
Ni kweli, na kitu hicho ni mungu asiyeonekana wala kuthibitishika, ambaye ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, lakini anaruhusu watoto wazaliwe na vilema wateseke maisha yote, matetemeko ya ardhi, ma tsunami etc.
Ushaona watu wanavyokufa kama kuku kwenye natural disasters?
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote aachie hayo yatokee?
Kama mwanadamu ana uwezo wa kuzuia na hazuii si atapelekwa ICC mara moja kushtakiwa kama mas murderer? Sasa kwa nini mnasema yupo mungu mwenye uwezo wa kuzuia haya na hazuii? Wakati anadaiwa anawapenda viumbe wake?
Vituko unafanya wewe unayekataa kujibu maswali logically na kujitoa akili.
hata kama sijui majibu ya maswali haya, hilo halimaanishi kwamba jibu ni mungu.
Hata kama sijui square root ya mbili ni nini, hilo halimaanishi ni nane. Ukiniambia ni nane kama naona hai make sense, hata kama sijui jibu kamili, naweza kujua jibu lako si sahihi.
For starters square root ya mbili ni ndogo kuliko mbili, jibu lako la nane haliendani na ukweli huu.Linashindwa mathematical logic and test.
Sijaleta cha maana wakati nimekupa masali ambayo umeshindwa kuyajibu?
Kuuliza swali na kutaka ushahidi hakuhitaji imani, wewe unayesema mungu yupo ndiye unayehitaji imani.
Quirky logic.
Mtu anaweza kusema kwamba kuna pembetatu duara in Euclidean planes. Nikamjibu kwamba haipo, na kama ipo aichore tuione.
Nimemjibu ku dispute uwepo wa pembetatu duara bila kukubali kwamba pembetatu duara ipo.
Your logic is flawed, your head is twisted, you can't think straight or reason. For some weird reason, you are positing that to dispute something you must believe in it.This is a forceful illogical non-argument that fails to even become a "deus ex machina".
It is so off base it is not even wrong. It is worse than wrong!
Atheism is the lack of religion, then it cannot be a religion.
Silly is excusable compared to te grotesque concoctions and ignoble impossibilities you are posing here.
Kifupi umeleta viroja, hujaleta hoja. Wewe ndiye hujajibu "the problem of evil"
Mimi sina dini, mimi ni searcher. Mtu anayeuliza maswali na kutaka majibu hahitaji imani. Mimi nataka kujua, sitaki imani. Wewe unayesema kuna mungu bila ushahidi ndiye unatumia imani, jambo ambalo sina tatizo nalo, unaweza hata kuamini jiwe au ng'ombe ni mungu wako.
As long as unatambua hiyo ni imani tu, na si ujuzi.
Ukisema ni ujuzi tu, inabidi kuweka uthibitisho.
Wewe ni samaki unayeogelea katika bahari ya dini, kwa hiyo huwezi kuelewa kwamba kuna dunia isiyo na maji ya dini. Dini ndiyo reference yako ya kila kitu. Hujui kuna watu wako sehemu nyingine ya dunia ambako hakuna maji/ dini.
Christian morals za mungu ndizo zipi hizo?
Za kuachia watoto wafe wakiwa wachanga?
Za kuachia watoto kuzaliwa na vilema?
Za kuachia watu wafe katika amtetemeko ya ardhi, ma tsunami etc? Ndiyo morals za mungu wako hizo?
Mbona zinashindwa na morals za binadamu tu?
Bill Gates hana upendo usio na mwisho, ujuzi usio na mwisho wala uwezo usio na mwisho, lakini anasaidia watoto wa nchi masikini kupata chanjo.
Mungu ana uwezo usio na mwisho, uwezo usio na mwisho na upendo usio na mwisho (ndivyo mnavyosema), akiamua tu anaweza kuwawekea chanjo automatically watoto wote wanaozaliwa.
Mbona hafanyi hivyo?
Inamaana ni mkatili hataki tu?
Au anataka lakini hana uwezo?