Give it another name, this is not what uniformity is. uniformity is well clarified in my post. So read it again!
I don't have time to read it again as you as well missed what I meant! Umeshindwa kujibu hoja, name nakuambia rejea andiko langu usome tena kwa makini, usipoelewa basi kariri maana nayo ni njia ya kuelewa!
Umekosa kitu cha msingi hapa, acha nikusaidie. Upendo una maana ya chaguo. Ukioa (kama bado) utajua kuwa mke wako atakuwa ana chaguo la kufanya chochote, ikiwemo kukuacha wewe. Haya yote yamo ndani ya chaguo. Na akiisha kuchagua, madhara ya chaguo yanafuata. Hivi sio vitisho, ila ni madhara ya kimantiki kabisa ya chaguo husika. akikuacha kuna vitu atapoteza pia kama madhara ya chaguo lake. Nani anaset hayo madhara? Iweje huyo mungu wenu a-set madhara ya kumchagua yeye na wakati huo huo a-set pia madhara ya kutomchagua yeye? Nani alimpa haya mamlaka endapo tu anadai yeye ni wa Ulimwengu wa Nuru ilhali shetani ni wa ulimwengu wa giza? Simple example, can the Kenyan president set rules and terms to another independent and sovereign state like Tz? Jibu kwanza hili swali, acha kurukaruka eti kwa vile mungu ni mmiliki halali bila kuelezea nani alimpa huo uhalali na ufalme wa kutawala malimwengu tofauti tofauti. Kama huwezi kuelezea basi maana yake unayoyasema ni imani tu, sawa kabisa na imani yangu kuwa hayo unayoyasema SIYO YA KWELI.
Mfano rahisi kabisa huu nakupa. Una chaguo la kuruka toka ghorofa ya 17 PPF towers kama ukiataka au unaweza usiruke. lakini once ukiruka, madhara yake hayakwepeki. Huwezi sema "law of Gravity" inakutishia... la! Refer to my explanations above, it seems you can't understand the logic and philosophy around this!
Next time usitumie mifano isiyoendana. Mfano uliotoa hauna moral implication a unaulinganisha na kitu ambacho kina moral implications. Absurd example!
Simple! Mungu aliyeona na kujua kabla hayajatokea unayoeleza hapo juu ndiye aliyesema haitatokea. Na kwa kuwa anajua yote, "I rest assured". Wewe kwa upande wako huna cha kuegemea ila kutegemea bahati nasibu. Haua assurance yeyote kwa kuwa utupu hautegemewi.... you are doomed! Alisema haitatokea? Swali ni hivi, KWANINI MWANZO ASEME ITATOKEA LAKINI SASA ASEME HAITATOKEA? Issue hapa ni SABABU, siyo matamko! Bahati mbaya sana unashindwa kuelewa kuwa kila tamko lina sababu zake zilizopelekea litolewe. Hata baada ya gharika, Mungu wenu alitoa tamko akasema hataingamiza dunia tena kwa maji. Hivi unaelewa mantiki yake au unakariri tu?
What you are talking about is going in circle not uniformity. I cannot believe you do not understand what it is even after writing it in simple manner. Go and read it again! Can you please revisit your Physics and try to understand Newton's Laws of Motion first before you come back again? It seems you totally misinterpret the meaning of this word "Uniformity"!
God who knows all have settled this issue once for all. Amesema hakutakuwa na uove tena baada ya dunia hii na mbingu hizi kupita. So you either trust Him or trust your limited thinking that ends no where. There is no other choice there. Sasa unataka Mungu aandae mpango wa kitu ambacho hakitatokea? What for? God is best at economics 🙂 Trusting something/someone without having a based reason is full of nonsense and stupidity!
Mfano wako uko na matatizo lukuki. Nitakuelewesha kitu ambacho aidha hukijui au umefumbia macho. Mungu sio mwalimu wa sanaa,. Mungu ni Mfalme wa Ulimwengu na Hakimu wa Ulimwengu huu. Mungu ni mmiliki halali wa watu wote, mimi wewe na yule.
Akiwa kama mfalme ana haki ya kuamua chochote. Akiwa kama hakimu ana mamlaka ya kuhukumu wote bila kujali anamwamini au la. Na akiwa kama mmiliki ana mamlaka ya kufanya chochote na mali zake. Sheta si mfalme bali mi kiumbe chini ya Mfalme. Shetani si hakimu bali mhalifu, na wafuasi wake ni waasi, wahalifu tu. Shetani hana anachomiliki bali ni mwizi. Kumlinganisha shetani na Mungu ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu sana! Nani alikuambia kuwa mungu ndiye mmiliki wa vyote kama siyo imani tu? Nani alimpa hivyo vyeo? Huyo si sawa tu na Idd Amin Dada aliyekuwa akijipandisha vyeo kutoka Koplo hadi Field Marshall wa Jeshi? How comes Mungu wenu awe ndiye everything, mfalme, hakimu, mmiliki, mwokozi, mwalimu, daktari, nurse, engineer, muumbaji, and all that? Una ushahidi gani concrete unaothibitisha pasipo kuacha chembe ya shaka haya yote? Tunachotaka ni USHAHIDI MADHUBUTI, siyo imani inayopelekea kumpatia vyeo lukuki ambavyo hata hamuwezi kufikiria kwa akili zenu hizo ndogo vina implication gani!
Hapa basically kuna maswali mawili tu: Moja kwa Mungu hakuna kitu kama Wengi wape. Mungu sio Kaisari wa Rumi na mambo ya "vox populi, vox dei". Kwa Mungu hata wote tukaamua dhambi ni sawa kwake itabaki kuwa dhambi na wote tutahukumiwa tu!
Pili, hizo assumption zako sio kitu ambacho Biblia inafundisha. na kwa kuwa ni tatizo la kutafsiri vibaya, sitaendelea zaidi. kama unataka kujua nini hasa Biblia inasema, fungua uzi wake. uzi huu una malengo na sio "one stop" ya mambo yote ya Biblia. Stick to the topic. That was an analogy my dear, so you have proved failure to articulate my point and address it accordingly. For that matter, you have either no point at all or you pretend not to understand the concept and logic behind. Either way, that is childish!
Waoo! Asante kwa kuhakikisha nilichosema ktk post yangu ya kwanza. Ya kuwa ninyi watu hamna ushahidi wowote wa kupinga uwepo wa Mungu, uwe wa kisayansi au kimantiki. Ila imani katika dini yenu ya "hakuna Mungu". Imani hii imewafanya mshindwe kabisa kufikiri sawasawa kwa hofu ya kukiuka misingi ya dini yenu hii na hivyo kutumia "rhetorics" kama kichaka cha kujificha. Ni kama ilivyo kwenu, hata nyie hamna ushahidi wowote wa ku-support uwepo wa huyo Mungu wenu, uwe wa kichawi, kisayansi au kimantiki! Hivyo, maswali mliyoshindwa kuyapatia majibu yenye ushahidi wa kutosha mnayageuza kuwa nguzo za imani yenu! What a shame! Yaani binandamu badala ya kutumia akili kidogo ulizo nazo kuhoji, kufikiria na kutafuta majawabu ya changamoto lukuki zinazomkabili yeye anaamua kuzuia uwezo wa akili yake kufikiri na badala yake ana-transform hayo yote into Imani ktk Mungu! Dah, ama kweli tuko tofauti sana!
Rudi katika uzi na ujibu hoja za msingi sana hizi. Kumbuka issue kubwa hapa ni kuwa Mungu yupo na kuna implications zake kama utamwamini na zawadi yake ya Wokovu au utamkataa. Kwa hiyo the bottom line is not arguments but consequencces of the choice....choose carefully!