Mungu Yupo: Majibu kwa Wasioamini

Mungu Yupo: Majibu kwa Wasioamini

Status
Not open for further replies.
Theists are looser bro, watu wanyongefu wasioweza kutatua matatizo yao wenyewe na kuface reality!
You atheists are loosers. Sisi boldly tunamwamini Mungu na hatuoni aibu kusema hivyo. Ninyi mnaamini utupu ila mwaona aibu kukiri hivyo.

Mmebaki na rhetorics zisizo na maana mkileta ngano visasili na hekaya badala ya kujibu hoja.
Na siwalaumu kwa sababu ni vigumu sana kupinga uwepo wa Mtu ambaye yupo!
Ila Dini yenu ya hakuna Mungu ndio tatizo maana haiwaruhusu vyovyote vile kukubaliana na uhalisia!

Hujajibu hoja hata moja tangu umeingia uzi huu.
Pole!
 
Hata mimi nausubili mkuu_pindi ukitolewa sitasita kuokoka hata leo...so far ni fikra tu
Mtu akiamua kujifunga kitambaa opaque machoni huwa haoni!
 
Zorrander, na kaburungu:
Kiukweli watu wengi hawana ufahamu huu lakini uko wazi katika Biblia.
Argument zote hizi ziko wazi na wala si mpya. Kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa biblia kumejaa utajiri wa Falsafa, sayansi, Mantiki na kila namna ya mawe ya thamani.

Ashukuriwe Mungu aliyetupa hakika kuwa Yupo na kwamba kuna siku tutakaa nae bila kutengana Milele.
Lazima tufanye juhudi kuwasaidia akina Kiranga, CYBERTEQ na wengineo waujue ukweli kama Neno linavyosema:

"And others save with fear, pulling them out of the fire; hating even the garment spotted by the flesh" - Jude 23

Kumbuka Biblia inatuonya:

"But sanctify the Lord God in your hearts: and be ready always to give an answer to every man that asketh you a reason of the hope that is in you with meekness and fear" - 2Peter 3:15

Mbarikiwe Nyote!
 
SJUMAA26
Nashindwa kusoma maandiko yako kwa sababu yamejichanganya sana.
Kama unaweza kuyaweka vizuri itakuwa vyema. Ila nimeshindwa kuelewa kabisa point yako! :help:
 
Last edited by a moderator:
You atheists are loosers. Sisi boldly tunamwamini Mungu na hatuoni aibu kusema hivyo. Ninyi mnaamini utupu ila mwaona aibu kukiri hivyo.

Mmebaki na rhetorics zisizo na maana mkileta ngano visasili na hekaya badala ya kujibu hoja.
Na siwalaumu kwa sababu ni vigumu sana kupinga uwepo wa Mtu ambaye yupo!
Ila Dini yenu ya hakuna Mungu ndio tatizo maana haiwaruhusu vyovyote vile kukubaliana na uhalisia!

Hujajibu hoja hata moja tangu umeingia uzi huu.
Pole!

Utakuwa na utani na biblia wewe, hahahahaa!
 
Zorrander, na kaburungu:
Kiukweli watu wengi hawana ufahamu huu lakini uko wazi katika Biblia.
Argument zote hizi ziko wazi na wala si mpya. Kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa biblia kumejaa utajiri wa Falsafa, sayansi, Mantiki na kila namna ya mawe ya thamani.

Ashukuriwe Mungu aliyetupa hakika kuwa Yupo na kwamba kuna siku tutakaa nae bila kutengana Milele.
Lazima tufanye juhudi kuwasaidia akina Kiranga, CYBERTEQ na wengineo waujue ukweli kama Neno linavyosema:

"And others save with fear, pulling them out of the fire; hating even the garment spotted by the flesh" - Jude 23

Kumbuka Biblia inatuonya:

"But sanctify the Lord God in your hearts: and be ready always to give an answer to every man that asketh you a reason of the hope that is in you with meekness and fear" - 2Peter 3:15

Mbarikiwe Nyote!

Mkuu inaonekana kama wameuogopa huu uzi
Mbona siwaoni hapa?
 
Utakuwa na utani na biblia wewe, hahahahaa!

Rhetorics is what you have remained with. Science and Logic are not on your side and so you cannot argue.
Kukubali kwamba Mungu yupo ila hamtaki kuamini kwa sababu dini yenu hairuhusu ni uungwana!
 
Uthibitisho wa uwepo wa mungu ni upi?

Hujanielewa, nilimjibu kiranga kuwa nimejifunza kuwa absence ya Mungu ni imani kama uwepo wake,; kwa maneno mengine hakuna uthibitisho wa kutokuwepo Mungu kama ilivyo kwa uwepo wake.
 
mtoa mada umeonesha madhaifu mengi na mapungufu japo umejitahidi kuandika mambo mengi.

kwanza kitendo cha kusema mungu wa biblia hapo ushawatenga watu wa madhehebu mengi na ni ubifsi tayari,kuna wahindi wanaabudu ng,ombe na huwaambiei kitu.acha waislam ambao hayamtambui mungu wenu mmoja wapo ,,yesu,,
kutoa vifungu kwenye bible ni kuonesha udhaifu kwamba unajadili kitu kwa refaa maandiko ambayo unajua waz yana mapungufu mengi na kiranga alisha yatoa humu sina haja ya kuyarudi

umeshindwa kutoa ufafanuzi mzuri kuhusu mungu wako huyo,mfano kwa nn anapendelea baadhi ya watu??,mfano hafithi za taifa teule,kuuwawa kwa watu zaidi ya bilion mbili wakati wa safar ya waizrael kutoka misri!!,,
Ile story maarufu ya uumbaji haina mashiko kwa sababu ni hadithi ya kutunga.

sasa naomba ujibu maswali hay
1.kwa nn biblia inaitwa kitabu kitakatifu?utakatifu wake ni upi hasa.??

2.Huoni kwamba uumbaji ni hadithi ya kutunga ambayo baadhi wa wasomi wa zamabi walikaa na kuandika jinsi walivokuwa wanahisi??
3.Ilikuwaje mungu akawaamuru waizrael waue kila kiumbe hata watoto namifugo katika safar yao ya kurudi kwao ??
4,Biblia inamaana gani inaposema na zibalikiwe koo 12 za wana wa izrael??na pia inamaana gan inaposema watu wa mataifa??

5.Una uhakika gani na story ya ufufuo wa yesu ??,huoni kwamba ni hadithi iliyobuniwa na mtume paul baada ya kufikiri kwamba haiwezekani asifufuke??,na kwa nn hadithi yak ufufka yesu haimo katika habar za vitabu vya zaman japo hadithi za yesu zimo na anaelezewa kama mwanaharakati??
6.Nini maana ya dogma katika ukristu,naje unaamini katika dini zingine kama uislam ?,

7asili ya mungu ni nn ??na unauhakika gani na unachokiamini??,na kwa nn dini yako inapinga uvumbuzi na sayansi na kwa nn walitaka kumuua mgunduz aliyesema dunia ni duara??,
8.Huon kwamba biblia inadanganya inaposema joshua akaona jua linazama kwenye matope!!,kisha akamuimva mungu asimamishe jua lisizunguke dunia ili awashinde wafilupino??,na je mungu alipomwambia kain
kwamba na watu wakikuona wasikuuu,na jeyote atakae kulaani nitlaani!!!..ni akina nani hao nakati dunia ilikuwa na watu watatu baada ya abel kufariki??
 
Umesoma mada ukaielewa wewe?

Mbona unaulizamaswali ambayo mtoa mada ametoa angalizo kuyahusu?

Kwanza ninaposema Mungu ninaongelea "Mungu kama anavyoelezwa ndani ya Biblia". Hapa hatutazungumzia (ktk mada hii) kuhusu Biblia, ila Mungu wa Biblia. Usiniulize kuhusu imani nyingine maana mimi nakubali Mungu wa Biblia na ninaweza kukujibu kuhusu Mungu kama inavyoeleza Biblia. Kwa habari ya imani nyingine, subiri wafungue uzi au fungua kuwauliza watakujibu vizuri tu (ninaamini hivyo).

Wewe ni free ideas kweli?
 
Free ideas ,
Ni vema ukasoma na kuelewa malengo ya andiko husika. Sikuandika generally bali specifically. Pia hayo maswali ya kwa nini Mungu alifanya A B C wanapaswa kuuliza wanoamini uwepo wake. Vinginevyo ni maswali yasiyo na Maana.

Kifupi ni kuwa hujaelewa lengo la bandiko hili, acha nikusaidie. Hatujadili ktk uzi huu kuhusu biblia specifically, wala claims za imani zote duniani juu ya Mungu!
 
Last edited by a moderator:
Shetani mwenyewe anakiri kuwa na mshindani wake ambaye ni Mungu ila wewe uliyeumbwa na huyohuyo Mungu unakana kutokuwepo kwa Mungu ...hii ni zaidi ya shetani.
 
sasa naomba ujibu maswali hay
1.kwa nn biblia inaitwa kitabu kitakatifu?utakatifu wake ni upi hasa.??

2.Huoni kwamba uumbaji ni hadithi ya kutunga ambayo baadhi wa wasomi wa zamabi walikaa na kuandika jinsi walivokuwa wanahisi??
5.Una uhakika gani na story ya ufufuo wa yesu ??,huoni kwamba ni hadithi iliyobuniwa na mtume paul baada ya kufikiri kwamba haiwezekani asifufuke??,na kwa nn hadithi yak ufufka yesu haimo katika habar za vitabu vya zaman japo hadithi za yesu zimo na anaelezewa kama mwanaharakati??
7asili ya mungu ni nn ??na unauhakika gani na unachokiamini??,na kwa nn dini yako inapinga uvumbuzi na sayansi na kwa nn walitaka kumuua mgunduz aliyesema dunia ni duara??,
8.Huon kwamba biblia inadanganya inaposema joshua akaona jua linazama kwenye matope!!,kisha akamuimva mungu asimamishe jua lisizunguke dunia ili awashinde wafilupino??,na je mungu alipomwambia kain
kwamba na watu wakikuona wasikuuu,na jeyote atakae kulaani nitlaani!!!..ni akina nani hao nakati dunia ilikuwa na watu watatu baada ya abel kufariki??

Halafu next time usiandike visasili vya kijiweni bali uje na "solid facts". Umeandika ngano zakutosha katika bandiko lako.
Ningezijibu ila sio sehemu ya mjadala huu!
 
Umesoma mada ukaielewa wewe?

Mbona unaulizamaswali ambayo mtoa mada ametoa angalizo kuyahusu?

Wewe ni free ideas kweli?

ufafanuzi wenye lundo la limitations ni ufafanuzi mfu,kama nauliza kuhusu X,kisha mtu akaja na kunihakikishia kuwa ana majibu yote kuhusu X,then ananiambia kuwa maswali yangu yaishie kwenye C tu nisifike hata D achilia mbali hiyo X yenyewe,nitamuona huyo mtu kuwa ni mwongo tu! Wala sitamwamini tena.
 
ufafanuzi wenye lundo la limitations ni ufafanuzi mfu,kama nauliza kuhusu X,kisha mtu akaja na kunihakikishia kuwa ana majibu yote kuhusu X, then ananiambia kuwa maswali yangu yaishie kwenye C tu nisifike hata D achilia mbali hiyo X yenyewe,nitamuona huyo mtu kuwa ni mwongo tu! Wala sitamwamini tena.

Kwani kila swali lazima liulizwe ktk uzi huu? Na aliyekwaambia nina majibu yote nani?
 
ufafanuzi wenye lundo la limitations ni ufafanuzi mfu,kama nauliza kuhusu X,kisha mtu akaja na kunihakikishia kuwa ana majibu yote kuhusu X,then ananiambia kuwa maswali yangu yaishie kwenye C tu nisifike hata D achilia mbali hiyo X yenyewe,nitamuona huyo mtu kuwa ni mwongo tu! Wala sitamwamini tena.

Unaweza kuwa na mtindio wa ubongo
Mtu anakuambia kuwa hoja hapa ni Mungu na hoja zingine sio mahala pake
Wewe unakuja na kudai hutaki limitations unadhani utakuwa sawa?

Amesema ana majibu yote kuhusu X sawa [ngoja tuassume hivyo kwakuwa hata hujui alichokisema japokuwa umesoma mada]na amekuambia kuwa majibu yaishie c kwakuwa hapa tunajadili c na sio X,kwakuwa c ni sehemu ya x na hatujadili x kwa ujumla wake

Ni sawa na mtu akuambie tujadili kuhusu kiuno na sio mwili wote kwakuwa hapa sio mahala pa kuujadili mwili wewe unakuja na maswali eti kwanini anniwekea limitations nisiujadili mwili wote

Utakuwa na ufikiri ulio sawa kweli?

Halafu unajaribu kujenga ka hoja ka kutokumuamini kwakuwa amekuambia tusiujadili mwili wote!!!!!

Sasa si umeambiwa ufungue mada nyingine kuhusiana na hayo?

Tatizo lenu mnadhani huwezi kumjadili Mungu bila kulijadili Taifa la Israel na Biblia kwa ujumla,mmejiweka kwenye ka kivuli ambako hata hakawatoshi

Mnatia huruma!
 
Kwani kila swali lazima liulizwe ktk uzi huu? Na aliyekwaambia nina majibu yote nani?

Mh!! Ama kwa hakika Leo kazi ipo, natumia simu hivyo nashindwa kujibu kwa kuchambua kila swali linaloulizwa na hao wenye dini yao ya ''Hakuna Mungu'' vingenevyo kama kuna mjuzi anipe maarifa tafadhali.
 
Kisichokuwepo?
Kwa kipimo gani hakipo?
Kwa uchunguzi upi hakipo?

Anaesema hakipo

Really?
Insane ni yule anaepinga uwepo wa jambo au kitu ambacho hata yeye hana ushahidi wa kupinga

Kama unajua Juma hayupo nipe ushahidi kuwa hayupo sio kupiga blabla tu hapa

Suala la kudai kuwa kitu kisichokuwepo hakihitaji ushahidi ni kama vile tu mtu ameshindwa kwenda Mtwara kwa sababu hajui njia ya kwenda huko na akaanzisha ajenda ya kukana uwepo wa mji huo
Huo ni zaidi ya uzuzu

Unaambiwa Mtwara ipo na sababu umepewa halafu wewe unasema haipo ukidaiwa ushahidi wa hilo huna!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama sio kichaa hicho ni nini?

wewe hunb hoa,yaani Mungu na uwezo wake woooote..umeshindwa kumdhiaisha..unataka wanadamu wadhibitishe kutokuwepo kwake..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom