Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Stephano Mtangoo
Umenikumbusha Story ya mtoto wa Kimarekani ambaye Professor wao asiyeamini kuwa kuna Mungu aliwatia sumu wote kwa mafunzo yake kuwa hakuna Mungu with various supporting arguments anazozijua. Huyu Professor alikuwa na gari zuri sana.
Mwishoni huyu dogo akiwa na Professor kabla hajapanda gari yake yule dogo akamwambia: you know professor hii gari yako iko poa sana. Ila imejitengeneza yenyewe Tyres, Engines, Shape etc etc. Yule Professor akang'aka sana kuwa gari ilitengenezwa na Engineers makini sana aache ujinga wake.
Dogo naye akamjibu kuwa wewe ndo mjinga usiyejua kuwa Design & Engineering ya Binadamu imefanyika kwa umakini wa hali ya juu kuliko gari yako. Kama huamini kuwa gari ilijitengeneza why do u want me to believe kuwa Binadamu aliibuka tu? Professor akagwaya.
Hakika naamini Binadamu aliiumbwa na aliiumbwa na Mungu.
So, Mungu yupo!
Magari, Madege n.k yametengenezwa Viwandani tena Na engineer wazu! Huyu mwanadamu iweje akose Kiwanda tena awe ni kiumbe wa kuibuka tu?
Mungu Yupo na alituumba kwa Mfano wake!
Last edited by a moderator: