Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Maswali yote yamejibiwa, maswali gani unayokusudia?
Hayo hapo kwenye hiyo post niliyoiquote nikauambia uyajibu hayo maswali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maswali yote yamejibiwa, maswali gani unayokusudia?
Ungekuwa umejibu maswali na kusoma maelezo yangu kwenye ile post niliyojiquote kisha nikakuambia kuna maswali ambayo unatakiwa uyajibu hapo usingekuja na hizi ngano zako hapa!Sikubali,
Ila katika kuonesha kwamba habari ya "binadamu ni lazima kaumbwa" haiko logical, natumia "immanent criticism".
Kwa kuwa nikisema "binadamu hajaumbwa" na wewe ukisema "binadamu kaumbwa" kutakuwa na stalemate, hatutafika popote.
Kwa hiyo nakubali "for the sake of argument" kusema "let's say binadamu kaumbwa kwa sababu kitu complex kama binadamu hakiwezi kutokea bila kuumbwa".
Key words are "suppose" "let's say".
Mtu anayesema "suppose" au "let's say" hajakubali. Huyu ni mtu anayekubali kufanya thought experiment na/au immanent critique.
Sasa ndio tunaendelea kutoka hapo.
Suppose complexity ni lazima iwe imeumbwa, haiwezi kutokea yenyewe.
If follows kwamba, as long as complexity ni lazima iumbwe, complexity ndogo haiwezi kuumbwa na complexity ndogo.
Kwa hiyo complexity ndogo ni lazima iumbwe na complexity kubwa.
Lakini tushaona kwamba complexity lazima iumbwe.
Kwa hiyo tukishasema tu kwamba "mwanadamu kaumbwa na mungu", tunaona kwamba mungu ni complex kuliko mwanadamu.
Kwa hiyo, sheria ile ile iliyotufanya tufikiri kwamba mwanadamu kaumbwa (kwa sababu yuko complex) itatutaka tufikiri kwamba mungu naye kaumbwa.
Kwa sababu uwezi kusema kwamba ni lazima complexity ndogo iwe imeumbwa, lakini complexity kubwa iweze kutokea bila kumbwa.
Huwezi kusema kiti ni lazima kiwe kimeumbwa, halafu ukasema Jumbo Jet linaweza kutokea tu.
Huwezi kusema binadamu ni lazima awe ameumbwa, halafu mungu hajaumbwa.
Kwa sababu sheria ile ile iliyokufanya uone binadamu ni lazima awe ameumbwa (kwa sababu ni complex) zitakutaka ulazimike kufikiri kwamba mungu naye ni lazima awe ameumbwa, tena haja ya mungu kuumbwa inakuwa kubwa zaidi.
Kwa sababu kama complexity ni lazima iumbwe, complexity kubwa zaidi ni lazima zaidi iwe imeumbwa.
The argument from design falls on its face due io it's logical absurdity.
Kwa sababu mungu atahitaji muumbaji wake, na muumbaji wake atahitaji muumbaji wake, ad infinitum, ad absurdum.
Kwanini unadhani nahitaji kuambiwa kitu na yoyote?This is ridiculous, kwani nani aliyekuambia kuwa ili kujua JEMA na BAYA ni sharti ukubali kuna Mungu?
Stop right there,Una uthibitisho wowote kuwa chanzo cha JEMA ni Mungu??????????? Ulete hapa huo ushahidi!
Hakika hakuna mungu aliyehai wala aliye kufa. Hakuna ushahidi wowote wa uwepo wa mungu, na hata mleta uzi hakuna sehemu hata moja uliyothibitisha uwepo wa mungu pasipo na shaka, zote ulizoandika ni porojo tu ili kutetea unachokiamini. Aidha, kutokuwepo ushahidi kuwa hakuna mungu (no god) hakumaanishi uwepo wa huyo mungu unayemsema.....HAKIKA HAKUNA MUNGU.
Hapo hakuna Ligi yoyote mkuu, maana kiukweli hakuna cha Timu A (Yesu) wala Timu B (Mungu), sasa hapo ligi itakuwa ni ya Nani V/s Nani?
Huo ndio uthibitisho?That follows from LOGIC, haiwezekani kitu rahisi kama kiberiti kitengenezwe halafu jitu kubwa na tata kama Air Bus / Boeing 747 iwe iliibuka tu from no where! Kama hadi hapa na kwa analogy hii simple kabis hutakuwa umeelewa basi sitakuwa na cha kukusaidia maana huenda hutaki tu kuelewa au huyo mungu wako hakufanikiwa kukupa akili yenye upeo mdogo tu wa kuelewa mambo marahisi kama hili! Hilo sasa halitakuwa kosa langu tena, you will need to consult your creator!
Tunaomba ushahidi wa kutokuwepo Mungu!
Au kukosekana kwa ushahidi wa kuwepo Mungu[kwa mujibu wa madai yenu] ndio uthibitisho wa kutokuwepo kwake?
Halafu hata hujaielewa mada wewe!
Ungekuwa umejibu maswali na kusoma maelezo yangu kwenye ile post niliyojiquote kisha nikakuambia kuna maswali ambayo unatakiwa uyajibu hapo usingekuja na hizi ngano zako hapa!
unaongozwa na emotion zaidi kuliko uhalisia, kama unadhani sijaelewa topic nieleweshe mbuzi. imani zenu za ki-p.umbavu hizo kuwa kuna mungu ndio zinawapotosha. wewe unaweza kuprove uwepo wa huyo mungu? hakuna ushahidi wowote wa uwepo wa mungu wala kutokuwepo kwake....
Ungekuwa umesema maswali ni yapi ungejibiwa.
Kuna maswali yashajibiwa kabla, nimekueleza hilo, nimekuambia unioneshe specifically maswali yapi yanayohitaji majibu nikuletee majibu yake, umeshindwa.
Ni sawa na kusema kama wewe unabisha kuwa risasi haiui na mimi nasema inaua inabidi mimi niruhusu unirarue nayo ili tuone kama inaua ama la!
Funny,isn't it?
Kwanini utoke kwenye msimamo wako?
Unataka tufanye majadiliano kutokakwenye msimamo fake,kwanini?
Kama unasema Mungu hayupo halafu ukapose kama gnostic inamaana wewe ni kigeugeu na hujui kama hujui Mungu yupo ama la!
Kwanini "tuseme Mungu yupo"?
Kwanini tufanye majadiliano kwa kutumia assumption?
Sisi hapa atu-assume bali tunaamini yupo kama wewe UNAVYOAMINI hayupo!
Haya ni maswali ambayo anatakiwa aulize mtu ambae anaamini Mungu yupo sio anae-assume Mungu yupo
Maswali yako hayana maana kwakuwa una-assume tu!
Sisi hatusemi let x be,sisi tunasema x ni ......
Wewe ndio unasema let x be ....
Huoni kuwa tuko nchi mbili tofauti?
Tutajadilije jambo ambalo hata uwepo wake hatujakubaliana?
Nimeshakujibu hii
How do you "distinguish" bad from good?
Unatumia kipimo gani?
Sio kweli
Kwanini hupendi?
Kwanini unapenda?
Umekosa tafakuri wewe
Ukishasema jema tayari umeshamtaja Mungu
Au na hili hujui?
Kwahiyo "wakijadili" tayari wanakuwa wamemfanya Mungu kutokuwepo?
Huoni hata hapa tunajadili?
AAu kwa mimi kujadili morality inayothibitisha kuwepo kwa Mungu nakuwa nimemthibitisha tayari,right?
Halafu Moral ni nini?
Imetoka wapi?
Kwanini tunayo?
Hebu tuambie kwanza baya na jema ni nini ili tujadili kama tunaweza kujua kama Kuna ubaya na wema nje ya Mungu
Maana naona unarukia mambo tu!
Enyi msioamini uwepo wa Mungu, yatafakarini haya machache japo kidogo;
- Jinsi solar system ilivyo, sayari hazigongani, wala hazitoki kwenye orbit zake,
- Majira mbali mbali tuliyonayo yanayotuwezesha kulima na kuvuna, wanyama kupata majani, nk
- Mimea mbali mbali itoayo matunda, maua nk
- Wanyama wa aina mbali mbali, wakali na wapole na wote hawa wanapata chakula chao. Wala nyama wamepewa viungo vya kuwawezesha kufanys hivyo, na wala mimea kadhalika.
- Wanyama wadhaifu wamepewa namna ya kujilinda, mfano, kinyonga ili awakwepa adui zake, anabadilika randi ili asionekane, kobe kapewa gamba gumu kwa ajili ya kujificha nk
- Chunguza viungo mbali mbali vya mwili wa binadamu au mnyama mwingine vivyofanya kazi, eg ubongo, moyo, figo nk.
Hapa haya yote hayawezi kuwa yalitokea by CHANCE, ni by DESIGN. and therefore there is a DESIGNER
Kwa hiyo mtu yeyote ambaye yupo objective kabisa, ni rahisi kuamini kuwa kuna source ya haya mambo yote kuliko kudhani yalitokea tu kwa bahati. Kwa sababu ukiamini hakuna aliye DESIGN, unakuwa huna kitu cha kuegemea imani yako hiyo tofauti na anayeamini.
Ugoigoi wako huu unatupa kazi kubwa sana sisi
Haya maswali haya hapo,kumbuka sio maswali tu unatakiwa usome ni hadi hayo maelezo!
Ni sawa na kusema kama wewe unabisha kuwa risasi haiui na mimi nasema inaua inabidi mimi niruhusu unirarue nayo ili tuone kama inaua ama la!
Funny,isn't it?
Kwanini utoke kwenye msimamo wako?
Unataka tufanye majadiliano kutokakwenye msimamo fake,kwanini?
Kama unasema Mungu hayupo halafu ukapose kama gnostic inamaana wewe ni kigeugeu na hujui kama hujui Mungu yupo ama la!
Kwanini "tuseme Mungu yupo"?
Kwanini tufanye majadiliano kwa kutumia assumption?
Sisi hapa atu-assume bali tunaamini yupo kama wewe UNAVYOAMINI hayupo!
Haya ni maswali ambayo anatakiwa aulize mtu ambae anaamini Mungu yupo sio anae-assume Mungu yupo
Maswali yako hayana maana kwakuwa una-assume tu!
Sisi hatusemi let x be,sisi tunasema x ni ......
Wewe ndio unasema let x be ....
Huoni kuwa tuko nchi mbili tofauti?
Tutajadilije jambo ambalo hata uwepo wake hatujakubaliana?
Nimeshakujibu hii
Kuna njia nyingi tu. Unaweza kuanza kwa kusema kwamba yale yote ambayo sipendi kutendewa ni mabaya, na yale yote ambayo napenda kutendewa ni mazuri.
Halafu ili uelewe vizuri maana wewe una tatizo la kuelewa,fungua page no 5 utakuta nimekuquote ulichokisema kisha nikajibu na kukuuliza ili uone ni kwanini nimesa hiki au kile!!!!!!!!
unaongozwa na emotion zaidi kuliko uhalisia, kama unadhani sijaelewa topic nieleweshe mbuzi. imani zenu za ki-p.umbavu hizo kuwa kuna mungu ndio zinawapotosha. wewe unaweza kuprove uwepo wa huyo mungu? hakuna ushahidi wowote wa uwepo wa mungu wala kutokuwepo kwake....
Kabla hujaispot hiyo tayari nimeshaiona zamani sanaHata ku quote tabu, sijui kipi kasema nani, kwa sababu ya quote mbovu.
Goigoi kati yangu na wewe unayeshindwa hata ku quote ni nani sasa?
Hata mtoto mdogo wa miaka 4 anaweza kuona ni nani anaeongozwa na hisia kati yangu na wewe!
Argument from design tushaichakaza mara mia kidogo hapa.
Kama complex systems ni lazima ziumbwe, kinachoumba hizo complex systems ni complex zaidi ya hivyo vinavyoumbwa
nyie mnaosema kuna mungu mbona hamthibitishi, badala yake mnataka sisi tusioamini kuthibitisha uwepo wake? Thibitisheni kuwa kuna mungu, achaneni na hizo porojo la mleta mada.
Thibitisha hili na lile lingine
Hii mambo yako ya kuleta longolongo inaonesha hata hujui kithibitisha ni nini
Tutakesha hapa!