Mungu Yupo: Majibu kwa Wasioamini

Status
Not open for further replies.

Magari, Madege n.k yametengenezwa Viwandani tena Na engineer wazu! Huyu mwanadamu iweje akose Kiwanda tena awe ni kiumbe wa kuibuka tu?
Mungu Yupo na alituumba kwa Mfano wake!
 
Last edited by a moderator:

Kama mungu anapenda kutoa utashi wa binadamu kuchagua mbona hajatupa uchaguzi tuamue tuzaliwe au tusizaliwe, kama tukiamua tuzaliwe tuamue tuzaliwe wapi, lini, vipi etc?

Hii habari ya kusema mungu anapenda tuwe na uchaguzi si kweli. Haiwi supported na evidence.

Habari ya "yeye ni mungu, hakuna wa kumhoji" ni "deus ex machina".

Kama yeye ni mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote mbona anakuwa that inaccessible and illogical?
 
Hahahaaa.

Umeulizwa mji mkuu wa Nigeria.

Ukasema Dar-es-salaam.

Ukaoneshwa ramani. Kwamba jibu lako si sahihi.

Unakazania "si nishajibu"?

Hatuji JF kujibu mradi tumejibu tu.

Watu wenye kuchekecha mambo wanatafuta majibu sahihi.

Sio majibu yako majibu "mradi kujibu" tu.

Halafu nimenotice you are such a lazy troll. Unanirudishia ninachokuambia with hardly any attempt at thinking.

Nikikwambia "Don't flatter yourself", unani imitate kwa kuniiga back "Don't flatter yourself".

They say imitation is the best form of flattery.

Na wewe una ni imitate.

Apparently I don't need to flatter myself.

You already do it for me.
 
The problem of evil remain unanswered.

I need not go further until this problem is solved.

Using'ang'anie kuuliza kitu ambacho kimeshajibiwa kwenye hoja kuu na Pia tumeshakujibu ata kwenye mada yako Ile.
Huo ni ubishi tu!
 
Huyu mtu ni mzima kweli?

Anatuhumu kitu ambacho hata yeye mwenyewe anakitumia!
Huruma iliyoje?

Umeshawahi kusikia kitu kinaitwa "immanent critique" katika maisha yako?

Labda ulikiwa hukijui. Nimekielezea kirefu na kuweka link.

Hata baada ya kuweka link, bado hujajifunza kitu.

Nani mzima hapa?

Unataka kudandia treni kwa mbele?

Unataka kualitest rocket launcher usoni mwako?
 
Kweli Mkuu Biblia ina utajiri wa Kila maarifa! Na majibu ya Kila kitu!
Ni wao kusoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho!
 
Ni heri anayekuwa mtumwa wa biblia,kuliko mtumwa wa kutokujijua hata nafsi yake mwenyewe,kwa sababu kama
unakana uwepo wa Mungu ni sawa na kujikana uwepo wako mwenyewe,kwani hukujiumba wewe'

Kama complexity ni lazima iumbwe, complexity kubwa inayoumba complexity ndogo nayo ni lazima iumbwe.

Huwezi kusema kiti ni lazima kiumbwe, halafu mwanadamu aliyekiumba kiti awe hajaumbwa sawa?

Same argument.

Mfanye mwanadamu awe kama kiti, na muumbaji wake awe mungu.

Huwezi kusema mwanadamu ni lazima awe ameumbwa, halafu muumbaji wake awe hajaumbwa.

Kama complexity ndogo kama mwanadamu ni lazima iwe imeumbwa, kwa sababu complexity haiwezi kutokea yenyewe bila kuumbwa, basi complexity kubwa zaidi, mungu, ni lazima zaidi iwe imeumbwa.

Kwa hiyo ukishikilia kwamba mwanadamu ni lazima awe ameumbwa, kwa kuwa hawezi kutokea hivi hivi tu, unachoandika bila kujijua ni kwamba mungu naye ni lazima awe ameumbwa. Ndiyo line ya logic ya argument yako.

Of course unaweza kuchomeka any arbitrary "deus ex machina" hapo kati kujitoa katika kamba uliyojifunga wewe mwenyewe. But that would be illogical.

Mungu wenu haelezeki logically.

Kwa sababu hayupo.

Kama yupo toa ushahidi.
 
Wakuu Eiyer, JingalaFalsafa na Mleta mada hii na wachangiaji wote wanaokubali uwepo wa Mungu, Hawa akina Kiranga na wenzake hawana jipya Zaidi ya kubisha kwa hoja zao zilezile!
 
Again, umepiga blaa blaa tu. Swali Kuu hapa ni: IWEJE MUNGU AACHILIE DHAMBI ITOKEE, THEN APANGE MPANGO MGUMU WA UKOMBOZI ULIOGHARIMU MAISHA YA MWANAYE WA PEKEE? UNAJUA SABABU HASA YA MUNGU KURUHUSU DHAMBI IINGIE? JE, KAMA ALIACHIA DHAMBI IINGIE, TUNA UHAKIKA GANI KUWA HAITAJIRUDIA TENA IWAPO NI MUNGU YULE YULE WA KALE, LEO NA HATA MILELE ZOTE? AU KABADILI MAWAZO NA MTAZAMO KUHUSU UHURU ALIOMPATIA MWANADAMU WA KWANZA? Au uhakika wako unaoutoa kwenye huo mkusanyiko wa novels mnaouita BIBLIA?
 
Hii story ni made up or fact?

Kama ni fact tunaomba reference. Kama made up sema tujue.

Argument ya kwamba mwanadamu kaumbwa from design nishai debunk hapo juu.

Ukifuatilia logic yako, itahitaji mungu naye aumbwe, na muumba wake aumbwe, na huyo naye aumbwe, na muumbaji wake aumbwe, ad infinitum ad absurdum.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu Eiyer, JingalaFalsafa na Mleta mada hii na wachangiaji wote wanaokubali uwepo wa Mungu, Hawa akina Kiranga na wenzake hawana jipya Zaidi ya kubisha kwa hoja zao zilezile!
Wee mbwiga, ulienda shule kweli hata Darasa la 4? Kama ndiyo, soma basi hapa, utafakari kwa kina kasha uje tena: Kama complexity ni lazima iumbwe, complexity kubwa inayoumba complexity ndogo nayo ni lazima iumbwe.

Huwezi kusema kiti ni lazima kiumbwe, halafu mwanadamu aliyekiumba kiti awe hajaumbwa sawa?

Same argument.

Mfanye mwanadamu awe kama kiti, na muumbaji wake awe mungu.

Huwezi kusema mwanadamu ni lazima awe ameumbwa, halafu muumbaji wake awe hajaumbwa.

Kama complexity ndogo kama mwanadamu ni lazima iwe imeumbwa, kwa sababu complexity haiwezi kutokea yenyewe bila kuumbwa, basi complexity kubwa zaidi, mungu, ni lazima zaidi iwe imeumbwa.

Kwa hiyo ukishikilia kwamba mwanadamu ni lazima awe ameumbwa, kwa kuwa hawezi kutokea hivi hivi tu, unachoandika bila kujijua ni kwamba mungu naye ni lazima awe ameumbwa. Ndiyo line ya logic ya argument yako.

Of course unaweza kuchomeka any arbitrary "deus ex machina" hapo kati kujitoa katika kamba uliyojifunga wewe mwenyewe. But that would be illogical.

Mungu wenu haelezeki logically.

Kwa sababu hayupo.

Kama yupo toa ushahidi.
 
Using'ang'anie kuuliza kitu ambacho kimeshajibiwa kwenye hoja kuu na Pia tumeshakujibu ata kwenye mada yako Ile.
Huo ni ubishi tu!

Jibu liko wapi?

Mmetoa jibu la choice.

Jibu limeleta maswali kuliko majibu.

Nimeuliza kaama mungu anapenda mwanadamu kuwa na choice kweli, mbona mimi hakuniuliza kama ningependa kuzaliwa katika ulimwengu huu?

Sijajibiwa.
 
Kweli Mkuu Biblia ina utajiri wa Kila maarifa! Na majibu ya Kila kitu!
Ni wao kusoma kuanzia mwanzo mpaka mwisho!
JIBU HAPA KWANZA WEWE, usikariri maisha: Kama complexity ni lazima iumbwe, complexity kubwa inayoumba complexity ndogo nayo ni lazima iumbwe.

Huwezi kusema kiti ni lazima kiumbwe, halafu mwanadamu aliyekiumba kiti awe hajaumbwa sawa?

Same argument.

Mfanye mwanadamu awe kama kiti, na muumbaji wake awe mungu.

Huwezi kusema mwanadamu ni lazima awe ameumbwa, halafu muumbaji wake awe hajaumbwa.

Kama complexity ndogo kama mwanadamu ni lazima iwe imeumbwa, kwa sababu complexity haiwezi kutokea yenyewe bila kuumbwa, basi complexity kubwa zaidi, mungu, ni lazima zaidi iwe imeumbwa.

Kwa hiyo ukishikilia kwamba mwanadamu ni lazima awe ameumbwa, kwa kuwa hawezi kutokea hivi hivi tu, unachoandika bila kujijua ni kwamba mungu naye ni lazima awe ameumbwa. Ndiyo line ya logic ya argument yako.

Of course unaweza kuchomeka any arbitrary "deus ex machina" hapo kati kujitoa katika kamba uliyojifunga wewe mwenyewe. But that would be illogical.

Mungu wenu haelezeki logically.

Kwa sababu hayupo.

Kama yupo toa ushahidi.
 
Wakuu Eiyer, JingalaFalsafa na Mleta mada hii na wachangiaji wote wanaokubali uwepo wa Mungu, Hawa akina Kiranga na wenzake hawana jipya Zaidi ya kubisha kwa hoja zao zilezile!

Kwani na nyie waamini mungu mmetoa hoja gani mpya?
 
Let us see if your assumption is true

Umeniambia "sijajibu" hii maana yake sijakujibu yaani hata jibu la uongo sijakupa

Wewe unasema "nimekuuliza mji mkuu wa Nigeria ukasema Dar es salaam" hii kauli yako inaonesha kwa mba nimejibu lakini jibu nililokupa sio sahihi

Sasa kwa kauli zako hizo mbili tayari umeshajivuruga bila wewe kujua
Lakini pia inaonekana hata hujasoma nilichokuambia wewe umeona tu "Don't flatter yourself "

Hapa inathibitika kuwa ninajadiliana na mtu asiyefikiri kabisa na inawezekana hata kufikiri hajui nini maana yake

Mtu anaesema "hujajibu" halafu kwenye jambo lilelile anasema "umejibu" huyu ni mtu wa aina gani?
Nani anae-flatter hapa?

Huyu mtu alisema
Do not flatter yourself.
Wewe ndiye uliyeopgopa kujibu the problem of evil.
Mpaka leo hujatoa jibu.
Kauli hii inamaanisha kuwa SIJATOA JIBU achilia mbali jibu hilo kuwa ni sahihi au laa
Hapa chini tena anasema

Umeulizwa mji mkuu wa Nigeria.
Ukasema Dar-es-salaam.
Ukaoneshwa ramani. Kwamba jibu lako si sahihi.

Mnaweza kuona namna huyu mtu anavyojichanganya mwenyewe
Kipi ni sahihi?
Nimejibu lakini jibu sio sahihi au sijatoa jibu?
Can you imagine the level of insanity of this guy?

Anaonesha namna asivojua hata tofauti ya kujibu na kutokujibu,yaani kwake hayo maneno yana maana sawa
Halafu utegemee ajue jibu sahihi ni lipi?
Utategemea mtu kama huyu ujadili nae masuala muhimu kama Mungu kweli?
Atakuelewa?

Mtu hata jibu hajui ni nini halafu utegemee akuelewe unapomzungumzia Mungu anaehitaji tafakuri kubwa?
Hapa tunawafundisha wengine tu na sio huyu!
 
Kuna kujibu na kubabaisha.

Ukitoa jibu lisilo sahihi hujajibu.

Umebabaisha.
 
Nilichojibu ni Uasi kujatokea tena!
Sasa Kati ya Mimi na wewe ni nani anaetoa maelezo tu?
 
Wee mbwiga, ulienda shule kweli hata Darasa la 4? Kama ndiyo, soma basi hapa, utafakari kwa kina kasha uje tena: Kama complexity ni lazima iumbwe, complexity kubwa inayoumba complexity ndogo nayo ni lazima iumbwe.
Kabla sijazungumzia chochote kuhusiana na maelezo yako ya ajabu hebu thibitisha kwanza hilo hapo

Unaweza kuwa hujanielewa
Yaani namaanisha utupe ushahidi wa hayo maneno yako hapo juu kuwa "complexity kubwa iliyoumba comlexity ndogo nayo ni lazima iumbwe"
Kisha utupe na njia uliyotumia kufikia hayo majibu yako
Maana inawezekana hata hujui unachoandika hapa!

Na ndipo tutajua mbwiga ni nani kati yako wewe na mkuu uliemquote!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…