Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

Hilo la bandari zote kuziendeleza tukipenda kwa kuwa hatuna mkataba nao wowote wa kuendesha bandari yoyote mpaka sasa.IGA inakwisha mwezi wa 10 na mpaka sasa hakuna mkataba wa uendeshaji bandari uliosainiwa

Kigumu ni nini hapo kuelewa?
Hii ya kuendesha hadi mwezi wa 10. Imeandikwa wapi? Mwezi wa 10 mwaka gani?. Asante sana
 
nimeona magazeti ya leo yameweka suala la RA kumsuta Slaa front page wanataka kubadili upepo na wala hatuhami bado uko na DP world😎
Ndio ujue ilikuwa ni trick ili i trend na wanajua watu watasoma. Na waandishi huandika pasipo kuchuja. Wanaondolewa kwenye hoja ya msingi wanajadili kuhamia ccm.
Walimuuliza kama creditibity hiyo anekosa yeye tu. Au hata akina Lowasa, Sumayi, Waitara, marehemu waliotoka na kwenda Act.Pia walihongwa?
Walimuuliza kuwa yeye kama alikuwa kwenye skendo ya EPA kwa kuzuiwa asijadiliwe je hiyo ilikiwa kumsafisha?
Kama Dr Slaa alimtaja yeye angemwambia Dr athibitishe ili asichafuliwe, kimsingi hakujibu zaidi ya kusema ni mfanyabiashara , sawa lkn ni mfanyabiashara wa aina ipi?
 
Acha kuchanganya mambo, unasema Slaa alikua project ya state kwenda upinzani kwaajili ya kumshughulikia Jk awamu ya 4. Slaa amehamia upinzani mwaka 1995 baada ya kuwa ameshinda kura za maoni za ubunge kupitia ccm pale Karatu lakini ccm makao makuu wakakata jina lake ndio Slaa akahamia upinzani na akagombea ubunge hiyo 1995 akashinda. Sasa 1995 awamu iliyokuwa inaingia madarakani ni ya nne au ya tatu?
 
Telhaviv. [emoji777]
Tel Aviv. [emoji736].
Ulikutana nae Israel, kipi kilikujulisha kuwa ni wakala wa CIA?. Kwa nini sio MOSSAD?

Tabia za kutukana watu na kuwapakizia watu ni ushenzi na ufedhuli. Weka ushahidi wa unayoyasema. Rostam ni Mtanzania, anayohaki ya kutetea ama kupinga jambo lolote lile kwa maslahi mapana ya nchi yake.
 
Muogope Mungu katika kila unalofanya. Unataka kumuua na kuutoa uhai wa mwanadamu mwenzako kisa nini? Je? Una ushahidi wa yanayosemwa? Mtu hauliwi pasi na haki. Na wewe utawindwa tu.
Na mimi ningekuwa kwenye system ningekuzuia kufanya jambo la ajabu lenye kutia aibu. Mpaka pale itakapothibiti hakuna budi jambo flani kufanyika.
 
Mimi kwa upande wangu CIA nawapenda sana na ninadhani kila mtu anawapenda kwa sababu wapo wametapakaa dunia nzima kuhakikiksha kuwa dunia iko salama. Hayupo mtu hapa duniani au organisation isiyokuwa na hitaji la kuhakikisha kuwa maslahi yake yanatimia and Rostam is no ecxception, bila kujali kuwa ni CIA au siyo
Huyu mtu ndiyo maana baadhi ya investment zake kahamishia Kenya. Sisi tuna roho ya kwa nini mno.
Tuiacheni Serikali ifanye kazi, tuwaacheni investors kama akina Rostam wafanye investment zao bila bughudha, tupunguzeni maneno.
Wewe CIA anakuwa ni adui yako kwa kigezo kipi? Rafiki yako sasa wewe ni nani? Alshabab?
 
Rost tam ajibu HOJA za DP world, why bandari zote tena bila UKOMO!!!

Na atwambie kule merekani kwenye Royal tour, alisaini mikataba kama nani while Sa100 akiwa pembeni?
Mfanyabiashara nguli kutoka tanzania

Mfanyabiashara gani tena mwingine kutoka tanzania angeenda huko

Ova
 
Sisi tuko na DP-WORLD tu.hao wakacheze wanako chezaga la mama yao
Watu wanataka ufanisi wa kazi bandarini,miaka nenda rudi wamekuwa wakicheza makidamakida tu hapo
Dp world aanze kazi upesi

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…