ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Nijulie wapi! Mimi mtu wa kutoka SantiliaKwani hujui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nijulie wapi! Mimi mtu wa kutoka SantiliaKwani hujui
Deep state ya taifa huyo,Nijulie wapi! Mimi mtu wa kutoka Santilia
DP World!Yaani RA ndiyo wa kumuonya Dr Slaa?
Hawa ndio vilaza wanaookotezwa uvccmNyerere?!
LililoshindikanaRostam ni tapeli na jangili
Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika ukanda wa Afrika Mashariki niliamza kuogopo. Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la maslahi yake na ya Marekani.
Rostam ni king maker. Bila Rostam Jakaya na Dk. SheIn wasingekuwa viongozi Wakuu wa nchi. Ni historia ndefu kidogo. Bila Rostam Leo William Ruto asingekuwa Rais Kenya leo ambapo Sasa kutokana na biashara yake ya Taifa Gas inawagombanisha Rutto na Odinga baada ya Rutto kumpa zawadi ya kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya chini nchini Kenya Ili kuua biashara ya Raila ya Gesi nchini humo.
Wakati Rutto akiwa "vitani" na Raila Kenya, Rostam amepewa kandarasi ya kupambana na Jakaya & Comp kwa Tanzania kwa sababu Jakaya alimuunga mkono Raila last election kupitia kwa swahiba wake Uhuru Kenyatta. Usiniulize JK na RA si ni maswahiba? Hapana, linapokuja maslahi binafsi Rostam anakudampo kama used condom.
Rostam anajua kubadili upepo wa Hali ya mijadala ya kiuchumi kusaka fursa. Lakini pia hutumika na maspin doctoring ili kubadili mijadala hasa asiyo na maslahi nayo. Mjadala wa Ripoti ya CAG ilipotaka kuwasha moto na kubaini kuwa "vijana wake" ndani ya Baraza la Mawaziri wataumbuka na pengine hata kuishia jela au kutumbuliwa aliweka Kambi St. Gaspa Hotel Dodoma kwa siku kadhaa akifanya kila aliwezalo mjadala huo uepukwe. Akafanikiwa.
Lakini likaibuka DP. World ambayo anayo maslahi nayo makubwa katika usafirishaji wa mafuta na gesi ghafi kutoka Arabuni. Lakini mjadala umepamba moto wa chuma. Unafanyaje?
Watu wameshangaa Dk. Slaa ametokea wapi kujadili DP. World? Lakini baada ya Dk. Slaa kujitokeza na "kumgusa" Rostam, naye Mburushi akaibuka na kushambulia Slaa akihoji uzalendo wake tena akimtuhumu kuhongea hotelini Serena na kutimkia Canada.
Ndugu zangu huyo ndiye Rostam. Ni mipango waliyofanya na huyo huyo Dk. Slaa kihamisha reli. Sasa mtaacha kujadili ujambazi wa DP. World na mawakala wao wa hapa nchini wanaojichanganya kila uchao na badala yake mtaanza kujadili ugomvi wa kisiasa wa Rostam na Dr. Slaa. Mtaanza kujadili maisha ya kisiasa ya Dk. Slaa nk. Michezo hii aliifanya sana na Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila na kufanikiwa sana.
Kuweni MAKINI kuliko wakati mwingine. CAG report lazima ifike mwisho na DP. World lazima kieleweke. Mkataba wa kihuni na kiwizi haiwezekani hata kama maneno yatapakwa asali tamu ya nyuki wadogo.
Ahsanteni!
Mjadala wa mauzo ya Bandari hauwezi kuzimwa na Rostam , hana uwezo huoTangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika ukanda wa Afrika Mashariki niliamza kuogopo. Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la maslahi yake na ya Marekani.
Rostam ni king maker. Bila Rostam Jakaya na Dk. SheIn wasingekuwa viongozi Wakuu wa nchi. Ni historia ndefu kidogo. Bila Rostam Leo William Ruto asingekuwa Rais Kenya leo ambapo Sasa kutokana na biashara yake ya Taifa Gas inawagombanisha Rutto na Odinga baada ya Rutto kumpa zawadi ya kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya chini nchini Kenya Ili kuua biashara ya Raila ya Gesi nchini humo.
Wakati Rutto akiwa "vitani" na Raila Kenya, Rostam amepewa kandarasi ya kupambana na Jakaya & Comp kwa Tanzania kwa sababu Jakaya alimuunga mkono Raila last election kupitia kwa swahiba wake Uhuru Kenyatta. Usiniulize JK na RA si ni maswahiba? Hapana, linapokuja maslahi binafsi Rostam anakudampo kama used condom.
Rostam anajua kubadili upepo wa Hali ya mijadala ya kiuchumi kusaka fursa. Lakini pia hutumika na maspin doctoring ili kubadili mijadala hasa asiyo na maslahi nayo. Mjadala wa Ripoti ya CAG ilipotaka kuwasha moto na kubaini kuwa "vijana wake" ndani ya Baraza la Mawaziri wataumbuka na pengine hata kuishia jela au kutumbuliwa aliweka Kambi St. Gaspa Hotel Dodoma kwa siku kadhaa akifanya kila aliwezalo mjadala huo uepukwe. Akafanikiwa.
Lakini likaibuka DP. World ambayo anayo maslahi nayo makubwa katika usafirishaji wa mafuta na gesi ghafi kutoka Arabuni. Lakini mjadala umepamba moto wa chuma. Unafanyaje?
Watu wameshangaa Dk. Slaa ametokea wapi kujadili DP. World? Lakini baada ya Dk. Slaa kujitokeza na "kumgusa" Rostam, naye Mburushi akaibuka na kushambulia Slaa akihoji uzalendo wake tena akimtuhumu kuhongea hotelini Serena na kutimkia Canada.
Ndugu zangu huyo ndiye Rostam. Ni mipango waliyofanya na huyo huyo Dk. Slaa kihamisha reli. Sasa mtaacha kujadili ujambazi wa DP. World na mawakala wao wa hapa nchini wanaojichanganya kila uchao na badala yake mtaanza kujadili ugomvi wa kisiasa wa Rostam na Dr. Slaa. Mtaanza kujadili maisha ya kisiasa ya Dk. Slaa nk. Michezo hii aliifanya sana na Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila na kufanikiwa sana.
Kuweni MAKINI kuliko wakati mwingine. CAG report lazima ifike mwisho na DP. World lazima kieleweke. Mkataba wa kihuni na kiwizi haiwezekani hata kama maneno yatapakwa asali tamu ya nyuki wadogo.
Ahsanteni!
Je ni kweli kwamba Bandari haijauzwa ?Kwahiyo ni uongo Slaa hakuzingua kwa kuhongwa sababu ya matamaa yake ya madaraka?
Mara ngapi ?Hii nchi sasa inataka kugeuzwa condom
Mburushi ndiyo nani?Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora)
😄😄😂😂Hawa ndio vilaza wanaookotezwa uvccm
Kuna tofauti gani kunya na kujamba? halafu vyote vinatokea Mkunduge. Na harufu ni sawa ama sio sawa?acha uongo raila hana kampuni ya kuuza gesi,kampuni ya raila inatengeneza mitungi ya gesi tu
Tatizo ni CcmTangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika ukanda wa Afrika Mashariki niliamza kuogopo. Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la maslahi yake na ya Marekani.
Rostam ni king maker. Bila Rostam Jakaya na Dk. SheIn wasingekuwa viongozi Wakuu wa nchi. Ni historia ndefu kidogo. Bila Rostam Leo William Ruto asingekuwa Rais Kenya leo ambapo Sasa kutokana na biashara yake ya Taifa Gas inawagombanisha Rutto na Odinga baada ya Rutto kumpa zawadi ya kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya chini nchini Kenya Ili kuua biashara ya Raila ya Gesi nchini humo.
Wakati Rutto akiwa "vitani" na Raila Kenya, Rostam amepewa kandarasi ya kupambana na Jakaya & Comp kwa Tanzania kwa sababu Jakaya alimuunga mkono Raila last election kupitia kwa swahiba wake Uhuru Kenyatta. Usiniulize JK na RA si ni maswahiba? Hapana, linapokuja maslahi binafsi Rostam anakudampo kama used condom.
Rostam anajua kubadili upepo wa Hali ya mijadala ya kiuchumi kusaka fursa. Lakini pia hutumika na maspin doctoring ili kubadili mijadala hasa asiyo na maslahi nayo. Mjadala wa Ripoti ya CAG ilipotaka kuwasha moto na kubaini kuwa "vijana wake" ndani ya Baraza la Mawaziri wataumbuka na pengine hata kuishia jela au kutumbuliwa aliweka Kambi St. Gaspa Hotel Dodoma kwa siku kadhaa akifanya kila aliwezalo mjadala huo uepukwe. Akafanikiwa.
Lakini likaibuka DP. World ambayo anayo maslahi nayo makubwa katika usafirishaji wa mafuta na gesi ghafi kutoka Arabuni. Lakini mjadala umepamba moto wa chuma. Unafanyaje?
Watu wameshangaa Dk. Slaa ametokea wapi kujadili DP. World? Lakini baada ya Dk. Slaa kujitokeza na "kumgusa" Rostam, naye Mburushi akaibuka na kushambulia Slaa akihoji uzalendo wake tena akimtuhumu kuhongea hotelini Serena na kutimkia Canada.
Ndugu zangu huyo ndiye Rostam. Ni mipango waliyofanya na huyo huyo Dk. Slaa kihamisha reli. Sasa mtaacha kujadili ujambazi wa DP. World na mawakala wao wa hapa nchini wanaojichanganya kila uchao na badala yake mtaanza kujadili ugomvi wa kisiasa wa Rostam na Dr. Slaa. Mtaanza kujadili maisha ya kisiasa ya Dk. Slaa nk. Michezo hii aliifanya sana na Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila na kufanikiwa sana.
Kuweni MAKINI kuliko wakati mwingine. CAG report lazima ifike mwisho na DP. World lazima kieleweke. Mkataba wa kihuni na kiwizi haiwezekani hata kama maneno yatapakwa asali tamu ya nyuki wadogo.
Ahsanteni!
Bila Rostam Nyerere urais angeusikia kwenye bombs. Kuweka rekodi sawa Raila hauzi gesi yoyote Kenya anauza/anatengeneza mitungi ya ges
Bila Rostam Nyerere urais angeusikia kwenye bombs. Kuweka rekodi sawa Raila hauzi gesi yoyote Kenya anauza/anatengeneza mitungi y
Rostam anaanza uzalishaji wa Mitungi ya Gesi kiwanda kipo maeneo ya Kibaha.Tofauti ni nn sasa kama hiyo mitungo isipopata soko 😅🤣🤣🤣🤣
Hata kama between lines kuna walakini ..ila rostam ni jangili .mwizi, si mtu wa kutegemea kusaidia mwananchi au nchi. Linajali tumbo lake nyonyaji tu
Pia Baluchistani ilikuwa sehemu ya OmanMburushi ndiyo nani?
Rostam ana asili ya Iran (anaweza kuwa ni Baharani/Thenashiri sina uhakika).
Bulushi (huyo unayemwita Mburushi) anatokea Baluchistan (jimbo moja kutoka Pakistan au zamani ilikuwa sehemu ya India).
Kuna watu wamepita kwenye hii comment bila kufungua codes. Hii ya JICHO LEGEVU nimeielewa.Kama ipo hivyo maana yake ali engineer RIP ya mzilankende ILI jicho legevu ashike hatam afanye yake haya tunayoona!!