Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

CCM ndio saratani inayoliangamiza taifa hili! Wao ndio wanaoipitisha madudu yote bungeni! Wao ndio wanaolinda nyoka! Wao ndio wanaogonga meza kwa nguvu bungeni mpaka misumari ya zile meza inaregea! Wao ndio wanateua majambazi sugu! Wao ndio wanaiba kura! Wao ndio wanauza nchi! Wao ndio kila kitu kinachotendeka katika taifa hili!

Bila kuitoa CCM kwenye kiti, basi milele ufisadi hautaisha nchi hii! Kila siku litaibuka jipya! Mtapiga kelele mpaka kutumia nanilii za chini ila saratani ni CCM.

Hio budget ya mabilioni ya kuwapeleka wabunge India na Dubai, si bora ingechukuliwa robo ya budget na ingetumika kulipa wanasheria 50 kama kina Adv Peter Kibatala wa Tanzania kuupitia mkataba huo wa bandari kwa umakini? Na robo tatu wangewapeleka wanafunzi vyuo vya nje kusomea degree ya maswala ya kuendesha bandari wakaja kuajiriwa bandarini!

Wanaenda kupeleka wabunge vilaza huko wasioelewa hata safari inahusu nini na kujifunza kuliuza taifa! Wameenda kupiga selfie!
Tatizo hakuna mpinzani Wa kusimama imara Kwa hoja na kuwachichea vijana mpaka wapate jazba dhidi ya majambazi kama enzi za Mrema na NCCR Mageuzi ,Lipumba na CuF Ngangari, Dr. Slaa na maandamano kule Arusha ,Mwanza ,Mbeya n.k.

Wapinzani eti ni Akina Zito,Mbowe, n.k.

Wapinzani Wajipange upya, CCM hii ni Nyepesi kuliko CCM yoyote Tangu kuzaliwa mwaka 1977.
 
Mkuu kuitoa CCM madarakani bila nguvu ya Mungu ni vigumu! Kwa sasa CCM inashikiliwa na Mafisadi,Mafisadi wanalindwa na Vyombo vya ulinzi na usalama,Tume Ya Uchaguzi ni yao,kila kitu ni chao! Utaanzia wapi?
 
Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika ukanda wa Afrika Mashariki niliamza kuogopo. Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la maslahi yake na ya Marekani.

Rostam ni king maker. Bila Rostam Jakaya na Dk. SheIn wasingekuwa viongozi Wakuu wa nchi. Ni historia ndefu kidogo. Bila Rostam Leo William Ruto asingekuwa Rais Kenya leo ambapo Sasa kutokana na biashara yake ya Taifa Gas inawagombanisha Rutto na Odinga baada ya Rutto kumpa zawadi ya kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya chini nchini Kenya Ili kuua biashara ya Raila ya Gesi nchini humo.

Wakati Rutto akiwa "vitani" na Raila Kenya, Rostam amepewa kandarasi ya kupambana na Jakaya & Comp kwa Tanzania kwa sababu Jakaya alimuunga mkono Raila last election kupitia kwa swahiba wake Uhuru Kenyatta. Usiniulize JK na RA si ni maswahiba? Hapana, linapokuja maslahi binafsi Rostam anakudampo kama used condom.

Rostam anajua kubadili upepo wa Hali ya mijadala ya kiuchumi kusaka fursa. Lakini pia hutumika na maspin doctoring ili kubadili mijadala hasa asiyo na maslahi nayo. Mjadala wa Ripoti ya CAG ilipotaka kuwasha moto na kubaini kuwa "vijana wake" ndani ya Baraza la Mawaziri wataumbuka na pengine hata kuishia jela au kutumbuliwa aliweka Kambi St. Gaspa Hotel Dodoma kwa siku kadhaa akifanya kila aliwezalo mjadala huo uepukwe. Akafanikiwa.

Lakini likaibuka DP. World ambayo anayo maslahi nayo makubwa katika usafirishaji wa mafuta na gesi ghafi kutoka Arabuni. Lakini mjadala umepamba moto wa chuma. Unafanyaje?

Watu wameshangaa Dk. Slaa ametokea wapi kujadili DP. World? Lakini baada ya Dk. Slaa kujitokeza na "kumgusa" Rostam, naye Mburushi akaibuka na kushambulia Slaa akihoji uzalendo wake tena akimtuhumu kuhongea hotelini Serena na kutimkia Canada.

Ndugu zangu huyo ndiye Rostam. Ni mipango waliyofanya na huyo huyo Dk. Slaa kihamisha reli. Sasa mtaacha kujadili ujambazi wa DP. World na mawakala wao wa hapa nchini wanaojichanganya kila uchao na badala yake mtaanza kujadili ugomvi wa kisiasa wa Rostam na Dr. Slaa. Mtaanza kujadili maisha ya kisiasa ya Dk. Slaa nk. Michezo hii aliifanya sana na Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila na kufanikiwa sana.

Kuweni MAKINI kuliko wakati mwingine. CAG report lazima ifike mwisho na DP. World lazima kieleweke. Mkataba wa kihuni na kiwizi haiwezekani hata kama maneno yatapakwa asali tamu ya nyuki wadogo.

Ahsanteni!
🤫
 
Sijui hii nchi itaendelea lini
 
Kwahiyo ni uongo Slaa hakuzingua kwa kuhongwa sababu ya matamaa yake ya madaraka?

Tokea huyu mzee atimkie CCM na kuukwaa ubalozi, hata sina hamu tena ya kumsikiliza. Hata ukiwa na njaa, lakini ile ilizidi. Press conf akafanya SERENA, ehhhh unajua bei ya ukumbi ule kwa saa?
Hiki kizee ni kichafu sana huku kikijifanya kuwa kisafi. Hapan, sio Slaa.
 
Rostam Ni agent wa Mossad, inawezekana na CIA kwani Malaya hachagui anayemkanyaga.
Jamaa anaijua Tanganyika inside out back to front. Mnakumbuka alishashika wadhifa mkubwa Sana CCM ?
Ukisikia CCM Ina wenyewe RA Ni Kati ya wale watano Bora.
Hivi udhibitisho wa hizi tuhuma japo kwa uchache zinaweza kuwepo
 
Back
Top Bottom