Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

Nachojiuliza suala la serikali na wananchi wake kuhusu baadhi ya vipengele tata ndani ya mkataba, sasa ROSTAM anajibu kama nani?
Katumwa na nani?

Kwanini anam attack Dr Slaa halafu yeye anajipa Ruksa ya kuongea?

Na hakuna sehemu kanyoshewa kidole kama mwana DP WORLD, ana washwa washwa na nini?
 
A
Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika ukanda wa Afrika Mashariki niliamza kuogopo. Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la maslahi yake na ya Marekani.

Rostam ni king maker. Bila Rostam Jakaya na Dk. SheIn wasingekuwa viongozi Wakuu wa nchi. Ni historia ndefu kidogo. Bila Rostam Leo William Ruto asingekuwa Rais Kenya leo ambapo Sasa kutokana na biashara yake ya Taifa Gas inawagombanisha Rutto na Odinga baada ya Rutto kumpa zawadi ya kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya chini nchini Kenya Ili kuua biashara ya Raila ya Gesi nchini humo.

Wakati Rutto akiwa "vitani" na Raila Kenya, Rostam amepewa kandarasi ya kupambana na Jakaya & Comp kwa Tanzania kwa sababu Jakaya alimuunga mkono Raila last election kupitia kwa swahiba wake Uhuru Kenyatta. Usiniulize JK na RA si ni maswahiba? Hapana, linapokuja maslahi binafsi Rostam anakudampo kama used condom.

Rostam anajua kubadili upepo wa Hali ya mijadala ya kiuchumi kusaka fursa. Lakini pia hutumika na maspin doctoring ili kubadili mijadala hasa asiyo na maslahi nayo. Mjadala wa Ripoti ya CAG ilipotaka kuwasha moto na kubaini kuwa "vijana wake" ndani ya Baraza la Mawaziri wataumbuka na pengine hata kuishia jela au kutumbuliwa aliweka Kambi St. Gaspa Hotel Dodoma kwa siku kadhaa akifanya kila aliwezalo mjadala huo uepukwe. Akafanikiwa.

Lakini likaibuka DP. World ambayo anayo maslahi nayo makubwa katika usafirishaji wa mafuta na gesi ghafi kutoka Arabuni. Lakini mjadala umepamba moto wa chuma. Unafanyaje?

Watu wameshangaa Dk. Slaa ametokea wapi kujadili DP. World? Lakini baada ya Dk. Slaa kujitokeza na "kumgusa" Rostam, naye Mburushi akaibuka na kushambulia Slaa akihoji uzalendo wake tena akimtuhumu kuhongea hotelini Serena na kutimkia Canada.

Ndugu zangu huyo ndiye Rostam. Ni mipango waliyofanya na huyo huyo Dk. Slaa kihamisha reli. Sasa mtaacha kujadili ujambazi wa DP. World na mawakala wao wa hapa nchini wanaojichanganya kila uchao na badala yake mtaanza kujadili ugomvi wa kisiasa wa Rostam na Dr. Slaa. Mtaanza kujadili maisha ya kisiasa ya Dk. Slaa nk. Michezo hii aliifanya sana na Marehemu Mchungaji Christopher Mtikila na kufanikiwa sana.

Kuweni MAKINI kuliko wakati mwingine. CAG report lazima ifike mwisho na DP. World lazima kieleweke. Mkataba wa kihuni na kiwizi haiwezekani hata kama maneno yatapakwa asali tamu ya nyuki wadogo.

Ahsanteni!
Acha porojo za kwenye vijiwe vya kahawa wewe tafuta pesa uwe kama ROSTAM AZIZ
 
Pu
Nachojiuliza suala la serikali na wananchi wake kuhusu baadhi ya vipengele tata ndani ya mkataba, sasa ROSTAM anajibu kama nani?
Katumwa na nani?

Kwanini anam attack Dr Slaa halafu yeye anajipa Ruksa ya kuongea?

Na hakuna sehemu kanyoshewa kidole kama mwana DP WORLD, ana washwa washwa na nini?
Punguza shobo mkuu
 
Usijali Tumia akili kesha aandika huko kwamba JAL 1 is done next is 2 and 3!

Hiyo ishu itazimwa tu ni swala la muda tu!!
FYI..

JAL ni failed mission tayari..

Wale wote waliokuwa wanaleta upatu wa njozi na hadithi wamepoteana maana binadamu ana panga na Muweza ya yote nae anapanga..

JAL.. aliwahi kuumwa akiwa nafasi fulani.. Alalazimishwa kufanya press akiwa na mitungi hewa..

Baadae akapata nafasi.. Okay... Yale matengenezo kwenye Bawa la ndege waliacha kitu.. Ndege ikianguka embe aokote dodo.. Hapo ni kuhusisha makundi na ushawishi ndani ya Chama..

Then what!? Franklin Delano....

Sasa hapo mmoja kawahi kabla ya muda N wakati... The game is back to the drawing table.

Adios
 
Wala JAL sio fdr,wala JAL sio tibazonkiza !

We huoni huyo unaemtaja alipigwa picha juzi na hao dp world!!!

Dp world ndio ita signal next stage ya operation husika!!

Kale ka uzi juzi jamaa kaibuka tena mi nilidhani ameshaaga KUMBE karudi tena sio!!!?
 
At the sideline of President Samia’s visit to the US, Rostam met with the President of the Africa Development Bank (AfDB), Mr Akimwumi Adesina. Rostam has urged the AfDB to shore up adequate financing to transform Tanzanians Tsh $12 billion agriculture sector.

Rostam’s request is intended to help Tanzania become a global food exporter and assist the world in meeting its food requirements. Mr Aziz and AfDB top convened at Washington DC.

Also, while in the US, Tycoon Rostam Aziz signed several investment agreements, including a $1 billion deal between Taifa Group and an American Investment Company, Northern Feed & Company, to produce wheat and Soya.
 
Dogo, sisi wengine ni watu wazima! Rostam na Dr Slaa kuwachanganya umevuruga habari yote. Danganya madogo ...
 
Wala JAL sio fdr,wala JAL sio tibazonkiza !

We huoni huyo unaemtaja alipigwa picha juzi na hao dp world!!!

Dp world ndio ita signal next stage ya operation husika!!

Kale ka uzi juzi jamaa kaibuka tena mi nilidhani ameshaaga KUMBE karudi tena sio!!!?
Ndio iko hivyo chief..

Plan imesha fail... Saiv uwanja wa fujo kupoteana tu
 
slaa ameingia choo cha kike mgefungua clips ya reginal mengi na rostam mengi alimsema rostam enzi za mkapa rostam alimpaka mavi mengi mpaka aibu
 
Yaani mzee wa icut ndio awe!!?haiwezekani mkuu!!

Fdr akaa 12 MIAKA madarakani,SASA huyo mbona HAWEZI kaa kwa muda huo wote!!!?

Kuna mtu ataingizwa ashike!!
Dodo ndio ilikuwa ashike nafasi baada ya JAL kupata hitilafu...

Ila Ndio ameondoka kabla...

Sasa nini hapo mzee?
 
Back
Top Bottom