Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

2015 alikuwa ni team Lowasa nikashangaa baadaye Magufuli anampokea huyo jamaa moyoni sikuwa na amani nikasema huyu anakaribisha chatu,
Hivi hili jamaa wameshindwa kuliua?
Pamoja na uwekezaji alionao lkn ni jitu hatari sana, ningekuwa kwenye system hili ni la kuulia bali.
 
Mjadala wa mauzo ya Bandari hauwezi kuzimwa na Rostam , hana uwezo huo
 
Tatizo ni Ccm
 
Hata kama between lines kuna walakini ..ila rostam ni jangili .mwizi, si mtu wa kutegemea kusaidia mwananchi au nchi. Linajali tumbo lake nyonyaji tu

Ingalikuwa vizuri ukatuambia aliiba kitu gani kwa nani ? na wapi ?
 
Narudia, Rostam amekosea sana kumjibu mtu aliyeshindwa maisha na kukata tamaa; ona sasa maskini wenye njaa hawa wanavyomshambulia kijinga!! Wamechoka lakini hata hawajielewi!!
 
Mburushi ndiyo nani?
Rostam ana asili ya Iran (anaweza kuwa ni Baharani/Thenashiri sina uhakika).

Bulushi (huyo unayemwita Mburushi) anatokea Baluchistan (jimbo moja kutoka Pakistan au zamani ilikuwa sehemu ya India).
Pia Baluchistani ilikuwa sehemu ya Oman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…