Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Unataka msaada gani zaidi ya wewe mwenyewe kuamua tu kuacha unga? Wewe ni mtu mzima na unatambua kilichokufanya uwe hivyo so achana nacho utarudi ktk hali yako maana ss hatuna uwezo wa kuingia kwenye kichwa chako tuki adjust kibadili mwelekeo.
 
huwa hawakubali mkuu! jaman chid benzi mweee nilivyokuwa na mfeeeliiii....chid badilika muda unaooo
 
Life begins from discipline and ends with discipline hapo awaambie waliomlipa pesa za kumtusi lowasa ndio amsaidie
 
jaman chid eeeee...siamini mm jaman natamani ngepata nauli nkamsalimie na kumuombea! chid niliekuwa nakupenda jaman chid sembe si nzuriii!
 
Maskini imebaki miwani
 
Hapana huyu atakuwa na HIV n addicted n unga tu mmmmh so kwa kukonda huko jaman
 
Dogo janja nae anakula Unga?
 
Mkuu hivi alikua ni TI au ni CASSIDY???
 
Hapana huyu atakuwa na HIV n addicted n unga tu mmmmh so kwa kukonda huko jaman
Sio HIV mkuu mi unga tuu, mbona hata Paul Gascoigne Gazza yy pombe tu zimemfanya hivi hivi kawa kama zombie??akina Lineker wamemsaidia hadi wamechoka wameamua kuacha meli izame tuu.
Too much of everything is Harmfull.. Dunia hii ni shule tosha alitakiwa aisome tu vizuri., aombewe tu ila kwahio picha ni kama jahazi linazama vile.. Tumuombee ndg yetu wajameni!
 
Kwani in lazima afanye mziki. Kama mlango mmoja umefungwa ajaribu mwingine au afungue dirishaa atajikwamuaa tuu
 
Nani anafuatia
1. TID
2. Lamar
3. Young D na demu wake Tunda
4. Ben Pol
5. ...., list iendeler
 
ama kweli maisha hayana formula
Hapana yana formula ambayo hupaswi kwenda nayo kinyume ni formula ya mizania ya haki hasa kwa wale wanaoonewa na wenye nguvu
Chid enzi zake alifanya kufuru nyingi...mojawapo ni kumnyanyasa sana binti aliyekuwa mpenzi wake ....kumbuka God is watching today n always....!!!
 
Safi sana mkuu, ndiyo maneno ya utu uzima. Sio kuonekana we mjanja wakati mwenzako ana shida.
Nishawaona watu wengi waliyowacheka watu ambao walikuwa wamejingiza ktk utumiaji wa madawa ambao na wako wakajikuta wameingia ktk utumiaji huko huo....kuna sababu nyingi ambazo humfanya mtu kujingiza ktk utumiaji wa madawa hayo...
Kikubwa chidy afahamu ya kuwa madawa yanaachika kila kitu kikubwaaa tu aache kwa kutoka moyoni mwake.....yeye kam yeye aamuee kuacha nishaona watu wwngi tu wameacha hi kitu....kitu kikubwa wanachokutana mayo hawa waathirika wa madawa ni kuvunjwa moto kutoka kwa jamii iliyowazunguka.....madawa unaweza acha bila hata kwenda kwenye methadone....ni kuvumiliaa maumivu tu ukatayokutana mayo Lindi unapokuwa ktk prices ya kuacha.....
Chidy na hao wengine wanachopitia nakielewa maana wengine tumekuliaa na tulizungukwa ktk mazingiriaa hayo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…