Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Safi sana mkuu, ndiyo maneno ya utu uzima. Sio kuonekana we mjanja wakati mwenzako ana shida.
Nishawaona watu wengi waliyowacheka watu ambao walikuwa wamejingiza ktk utumiaji wa madawa ambao na wako wakajikuta wameingia ktk utumiaji huko huo....kuna sababu nyingi ambazo humfanya mtu kujingiza ktk utumiaji wa madawa hayo...
Kikubwa chidy afahamu ya kuwa madawa yanaachika kila kitu kikubwaaa tu aache kwa kutoka moyoni mwake.....yeye kam yeye aamuee kuacha nishaona watu wwngi tu wameacha hi kitu....kitu kikubwa wanachokutana mayo hawa waathirika wa madawa ni kuvunjwa moto kutoka kwa jamii iliyowazunguka.....madawa unaweza acha bila hata kwenda kwenye methadone....ni kuvumiliaa maumivu tu ukatayokutana mayo Lindi unapokuwa ktk prices ya kuacha.....
Chidy na hao wengine wanachopitia nakielewa maana wengine tumekuliaa na tulizungukwa ktk mazingiriaa hayo.....
 
duuh kumbe poda a.k.a unga ni kama slim tea inasaidia kupunguza uzito
 
Lowasa kama unasoma post hii msaidie huyu kiumbe ili upate faraka duniani na mbinguni..ni hayo tu.

Sina comment zaidi...au km kuna mtu anafahamiana na lowasa amwombe kwamba kuna mtu jf anajiita wiseboy kakuomba umsaidie chid hela ya kula na matibabu
 
Mungu akubariki
 
Kila mtu atakufa na ujinga wake....
 
Sawa, lakini unawajua hawa na majibu yao wakiwa bado wana kijiafya ila madude wajayatumia..??

Angalia akina TID na wengine...

By the way kasema stress... umemsikia akitamka unga kwamba ndo umemuathili....??

Kweli ni vibaya kumsema sasa lakini ujuwe hujawahi kutana na Chid akiwa na afya yake Dar tena pale vijana kinondoni....

Hawa wasanii waone tu wakiwa wanaimba.. maisha yao halisi ni kuringa kujidai kudharau na kwa wakati wakiwa wazima huwa HAWASHAURIKI....

NA MBAYA ZAIDI WAKATI WAKIWA HAWASHAURIKI NI OMBAOMBA WA BIA ILE MBAYA.... nenda vijana ndo utanielewa..

Wapo wanajielewa lakini wachache sana na katika hao CHID HAYUMO...

wanakujaga kusumbua ndugu jamaa na marafiki wakifika hali kama hiyo...

MBAYA HAKUNA ANAYEKUBALI DIRECTLY KWAMBA WANABWIA UNGA..NI K
MPAKA WAKAMATIKE...

NA MOSTOF THEM BADO WANAISHI KWA NDUGU MARAFIKI NA WANA..

HUO NDO UKWELI KAMA HUAMINI FUATILIA
 
Akiri kwanza km anatumia madawa aache kuzungukazunguka et stress Mtu inaonyesha tu ni unga bado hakubali tuu
 
Unataka msaada gani zaidi ya wewe mwenyewe kuamua tu kuacha unga? Wewe ni mtu mzima na unatambua kilichokufanya uwe hivyo so achana nacho utarudi ktk hali yako maana ss hatuna uwezo wa kuingia kwenye kichwa chako tuki adjust kibadili mwelekeo.
We unadhania madawa wanaacha kama msosi ukiamua tu unaacha!! thubutuu hiyo kitu isikie tu usiombe ipenye kwenye mishipa ya damu
 
“Matatizo yangu na stress zangu ambazo niko nazo zinanisababishia mwili wangu unapungua kwasababu siko okay, siko poa, siko sawa yaani,” alisema.
Kwa maelezo yake tu inaonyesha hayuko tayari kusaidiwa uyu jamaa maana hataki kukubali kua bwimbwi ndio chanzo anakimbilia stress ajiweke huru yeye mwenyewe ili watu waweze kumsaidia na kwa nidhamu yake mafanikio ya akina Diamond atayaona kwenye video,hapa karibuni alikua mkali sana akiambiwa anabwia ngada akawapa wadau matusi na ngumi kisa kumsihi aache leo anaomba msaada eti stress looks like dogo ameamua kujichimbia kaburi.
 
Sita za kijinga ndo zimemfikisha hapa na kutojitambua. Ana umaarufu gani zaidi ya kina Nature, FA, AY, na wengineo. Mbona wenzie hawakutumia haya madudu?

Chizi tu huyu.
 
mmmh,kwa mpukutiko huo haiwezi kuwa ngada pekee,nadhani na papuchi zimechagiza mpukutiko wake,aweke wazi anataka tumsaidiaje wanaume tuingie kwenye media tu-raise funds
 
Bangi zimeongea kupitia mdomo wa juma nature
 
alikuwa kwenye kampeni za ccm mbona alikuwa vizuri...miezi mitano kashabadilika hivo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…