Wewe nawe kila kitu unaleta SIASA, Ushindwe.Akafute ule wimbo wake wa matusi kwa ukawa ndipo aje aombe msamaha
Akafute ule wimbo wake wa matusi kwa ukawa ndipo aje aombe msamaha[/Q
Aaanze Kubenea kwanza Kumuomba Msamaha Lowasa, amemuandika kwa miaka 8 kuwa yeye fisadi na kutuaminisha Watanzania kibao, na yeye kubenea ndo alichangia kwa kiasi kikubwa kupoteza ndoto za Loawasa, Aaanze yeye ndo aombe Chidi.
...Wasanii was bongo ni wanafiki tu..matusi alitukana akombe msamaha usitete ujinga na ww bendera nn..?Wewe nawe kila kitu unaleta SIASA, Ushindwe.
Kama nakumbuka ray c alitaka kumsaidia huyo jamaa but mshkaji alitaka kumpiga yaani jamaa ngumi mkononiMola anusuru kizazi chetu! Akina Ray C wanaweza kumsaidia Mwenzao kama walivyosaidiwa wao. Tujaribu kuvaa Ubinadamu fanya Chid ni sehemu ya Familia yako
Mjinga sana huyu, wacha "UNGA" umuue, hana faida yeyote kwa jamii. Kwanza ana laana ya kujipendekeza kwa MACCM.Vipi ile nyimbo yake ya kumtukana Lowasa kwamba ni Mgonjwa hawezi ikulu nayo ameomba msamaha
Gahahaha mkuu unakatisha tamaaWasanii wenzake hawamwoni! ya jana si ya leo! haitakaa itokee akarudi tena yule chini benz wa dar stand up! Labla umoja wa mataifa [UN] uingilie kati!
Yaan hawa wasanii cjui vipi niki mbishi sidhan kama atakuja tumia anajielewa ila kuna maneno ya mtaani na kutoka kwa wasanii young d yupo kwny ubora wake wa kutumia izo mambokedrick huyu jamaa namfananisha na marehemu Langa kuna wakat alisema kaacha ngada lakn nikamkuta kwa Mo milionea akisnifu mnachosha aseee. Kwanini hili suala la ngada halipo sana kwa wacheza movie na lipo kwa wanamuziki? Jiulize why sana Hip Hop n not other music? Mnachoshaaaa tatzo mnaiga Hip Hop mpaka tabia yao mnachoshaaaa, siwaombei ila nasubiria kusikia Akina kimbunga, nick mbishi darasa na dizaini ile cku c nyingi kusikia ni wateja, wapo wapi akina ferooz akina daz baba na wenzie, hivi domokaya hajaanza tu kula unga? Ushauri wangu ni kuwa unganeni kisha muende kwa wauzaji mkiwa na nzowa mfunge vijiwe. A.Y hivi huoni kua hip hop mnaiua au ndo mnamalizana ili mbaki wachache gemuni kama alivyosema chidi. Yangu ni hayo tu
Wewe nawe kila kitu unaleta SIASA, Ushindwe.