Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

Akafute ule wimbo wake wa matusi kwa ukawa ndipo aje aombe msamaha[/Q

Aaanze Kubenea kwanza Kumuomba Msamaha Lowasa, amemuandika kwa miaka 8 kuwa yeye fisadi na kutuaminisha Watanzania kibao, na yeye kubenea ndo alichangia kwa kiasi kikubwa kupoteza ndoto za Loawasa, Aaanze yeye ndo aombe Chidi.
 
afu mbona ni kama bado anakaubishi flan mi sioni sababu ya yeye kuzunguka hivo na kuanza husisha na ushirikina akubali tu yeye ni mteja basi aangalie alipodondoka ajipange huo utetezi wote hapo anaoutoa ni upuuzi mtupu
 
R.I.P Chid Benz, sisi tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi.
 
Wasanii wenzake hawamwoni! ya jana si ya leo! haitakaa itokee akarudi tena yule chini benz wa dar stand up! Labla umoja wa mataifa [UN] uingilie kati!
 
Hajaamua naona bado anatupa lawama tu kwa wengine..

- anadai wapo wengine wanatumia unga lakini yeye anaonekana sababu amekonda sana na wapo wanapenda aendelee kuwa hivo..

☝️ kauli hiyo juu si ya mtu anayetaka msaada .. Mnawafahamu ndugu lawama? Ndio dizaini ya huyu jamaa!
 
Kuna video ya hiyo interview? Hii picha nina mashaka nayo.
 
Mola anusuru kizazi chetu! Akina Ray C wanaweza kumsaidia Mwenzao kama walivyosaidiwa wao. Tujaribu kuvaa Ubinadamu fanya Chid ni sehemu ya Familia yako
Kama nakumbuka ray c alitaka kumsaidia huyo jamaa but mshkaji alitaka kumpiga yaani jamaa ngumi mkononi
 
kedrick huyu jamaa namfananisha na marehemu Langa kuna wakat alisema kaacha ngada lakn nikamkuta kwa Mo milionea akisnifu mnachosha aseee. Kwanini hili suala la ngada halipo sana kwa wacheza movie na lipo kwa wanamuziki? Jiulize why sana Hip Hop n not other music? Mnachoshaaaa tatzo mnaiga Hip Hop mpaka tabia yao mnachoshaaaa, siwaombei ila nasubiria kusikia Akina kimbunga, nick mbishi darasa na dizaini ile cku c nyingi kusikia ni wateja, wapo wapi akina ferooz akina daz baba na wenzie, hivi domokaya hajaanza tu kula unga? Ushauri wangu ni kuwa unganeni kisha muende kwa wauzaji mkiwa na nzowa mfunge vijiwe. A.Y hivi huoni kua hip hop mnaiua au ndo mnamalizana ili mbaki wachache gemuni kama alivyosema chidi. Yangu ni hayo tu
 
Kubenea ameshaomba msamaha kupitia magazeti yake. Na ww kamwambie huyo mla unga aombe msamaha
 
Unga ale yeye halafu wengine wamsaidie pumbav zake si bora ukasaidie watoto yatima
 
kedrick huyu jamaa namfananisha na marehemu Langa kuna wakat alisema kaacha ngada lakn nikamkuta kwa Mo milionea akisnifu mnachosha aseee. Kwanini hili suala la ngada halipo sana kwa wacheza movie na lipo kwa wanamuziki? Jiulize why sana Hip Hop n not other music? Mnachoshaaaa tatzo mnaiga Hip Hop mpaka tabia yao mnachoshaaaa, siwaombei ila nasubiria kusikia Akina kimbunga, nick mbishi darasa na dizaini ile cku c nyingi kusikia ni wateja, wapo wapi akina ferooz akina daz baba na wenzie, hivi domokaya hajaanza tu kula unga? Ushauri wangu ni kuwa unganeni kisha muende kwa wauzaji mkiwa na nzowa mfunge vijiwe. A.Y hivi huoni kua hip hop mnaiua au ndo mnamalizana ili mbaki wachache gemuni kama alivyosema chidi. Yangu ni hayo tu
Yaan hawa wasanii cjui vipi niki mbishi sidhan kama atakuja tumia anajielewa ila kuna maneno ya mtaani na kutoka kwa wasanii young d yupo kwny ubora wake wa kutumia izo mambo
 
Back
Top Bottom