Na baadhi ya wanasiasa wa Wabongo hawana tofauti na hao wasanii, Ukianza na hao wachadema walituaminisha miaka 8 Lowasa fisadi, waambie wao waombe radhi wa Tanzania kabla ya chidi....Wasanii was bongo ni wanafiki tu..matusi alitukana akombe msamaha usitete ujinga na ww bendera nn..?
Asante kwa kunisoma.Siasa unazileta ww. Unga ale mwenyewe, matusi atoe yy halafu huruma uwe nayo ww. Unashangaza
ha ha ha ha Aibu kweli, Kumbe aliomba msamaha lo. Msamaha aombi na msimsaidie, kila jambo mnataka umaarufu lol.Kubenea ameshaomba msamaha kupitia magazeti yake. Na ww kamwambie huyo mla unga aombe msamaha
Na baadhi ya wanasiasa wa Wabongo hawana tofauti na hao wasanii, Ukianza na hao wachadema walituaminisha miaka 8 Lowasa fisadi, waambie wao waombe radhi wa Tanzania kabla ya chidi.
Blu kama anaimba hip hop atakua anatumia pia hapo cjamuulizia nyandu tozi lkn je mzee yusufu anatumia au, malikia wa nyuki je, haya masanii ya hip hop michosho tupu hakuna kuyasaidia ili yajue mazara ya ngada, kila siku kwa mo kununua crack tu pumbavu zao.Yaan hawa wasanii cjui vipi niki mbishi sidhan kama atakuja tumia anajielewa ila kuna maneno ya mtaani na kutoka kwa wasanii young d yupo kwny ubora wake wa kutumia izo mambo
Tatizo kuiga iga wenzetu mbele wanatumia ila kuna kiwango maalumuBlu kama anaimba hip hop atakua anatumia pia hapo cjamuulizia nyandu tozi lkn je mzee yusufu anatumia au, malikia wa nyuki je, haya masanii ya hip hop michosho tupu hakuna kuyasaidia ili yajue mazara ya ngada, kila siku kwa mo kununua crack tu pumbavu zao.
Kila mtu atakufa ila hii laana itaanza kwako halafu kwake.Hili teja lenu, halifai kuonea huruma, kwanza enzi za uzima wake lilikuwa halina adabu, kazi kuimba matusi tu!
Life tu ili lisiwafundishe vijana wengine tabia chafu!
Halafu we kwa kutetea mambo ya ngada hujambo, kuna mtu mmoja ambaye inasemekana ni muingizaji wa ngada, tena ni mtu mzito hapa nchini akiguswa unakuja juu kkama kifaru aliyekoswa risasiNa baadhi ya wanasiasa wa Wabongo hawana tofauti na hao wasanii, Ukianza na hao wachadema walituaminisha miaka 8 Lowasa fisadi, waambie wao waombe radhi wa Tanzania kabla ya chidi.
Halaf wewe umenifanya nimecheka kwa nguvu sana, Sijawahi tetea mtu wa Ngada na pia Sipendi kinachofanywa na hao watu wa NGADA Madhara yake nayajua, kama kuna mtu nimemtetea basi itakuwa alionewa, au wanapenda kumtia sana midomoni ukiacha na hayo huyu chidi sasa kosa lake nini?? kisa kawaimba ukawa ati asisaidiwe hivi Mungu angekuwa anahukumu kwa makosa yetu nani angebaki hapa duniani? yani hata chidi benz mnataka kupatia umaarufu kupitia janga lake??Halafu we kwa kutetea mambo ya ngada hujambo, kuna mtu mmoja ambaye inasemekana ni muingizaji wa ngada, tena ni mtu mzito hapa nchini akiguswa unakuja juu kkama kifaru aliyekoswa risasi