Kweli kila jambo na wakati wake,umri umekwenda sasa ,ameamua kupunguza mambo mengi.
View attachment 2279382
Huyu sio umri, ni athari za kutumia mkorogo.
Na huyo jamaa pembeni yake anatumia vipodozi pia. Pole zao.
Ushauri wa bure:
Kama unataka urembo wa kudumu ni raisi sana, na waweza kuwa na 65yrs na kuwa kama 29yrs. Ni rais sana.
Anza mapema kufanya haya:
1. Mazoezi
2. Kunywa maji mengi, more than 5ltr kwa siku ama zaidi.
3. Kula vyakula vyenye virutubisho vingi mno kama:
A. Spinach
B. Kale
C. Carrots
D. Pilipili Hoho Nyekundu na Njano
E. Viazi vitamu
F. Maboga
G. Broccoli
H. Nyanya nzima iliyochemshwa kiaina
I. Samaki aina ya Sardines kwa kiswahili Dagaa.
J. Avocado
4. Kunywa Chai ya Green tea.
5. Kula Limao moja daily
5. Lala masaa 8 daily.
Fanya hivi kila siku.
Usitumie vitu hivi often ikiwezekana acha kabisa:
1. Energy drink or kinywaji chenye caffeine
2. Soda
3. Sugar
4. Processed foods kama sausage
5. Pombe
6. Usitumie vipodozi vyovyote zaidi ya Vaseline mafuta, sio cream.
Try kwa wiki 3, and thank me later.