Muonekano mpya wa Raymond wa wasafi!

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,518
Reaction score
13,144
Huu ndio muonekano mpya wa mtindo wa nywele wa kijana Raymond wa wasafi,kijana anaye hit kwa sasa na ngoma yake ya natafuta kiki kiukweli kwa muonekano huu wa mtindo wa nywele aliouweka naona hajapendeza kabisa ni bora angebaki na muonekano wa kawaida ulikuwa poa sana.
 
Hıvyo vırasta anataka kuvısuka kama nahreel nını?
 
Mh! Jamani mkisikia Msanii mnaelewa vipi?
Mmeshaambiwa "Anatafuta kiki" Wasanii wote wana mambo yasiyo ya kawaida, kujichora, kutoga miili, kusuka, kuweka meno ya bandia wakati ya asili wanayo na ni mazima. Kuwa na maisha feki feki..n.k usanii kazi sana.
 
Angalia body language au we sio mzazi??? Huku kulegeeeea na kurembua macho na kujinyonya lips hata angekua mwanao anafanya hayo lazma alarm ilie.sio kawaida kwa mtoto wa kiume
 
Raymond Mdogo wangu toka Mbeya umekuja kuwaje! Namjua huyu dogo toka kitambo kabla hajafahamika na kweli dogo ni muimbaji mzuri ila hiki nini sasa

Wasanii wa bongo ifike muda wajue usanii sio lazima ubadilishe muonekano ili kuonekana wewe ni msanii, fanya Kazi usanii wako utaonekana tu. Watu kama kina Ben Pol wanawika na nadhifu pasipo Kuweka hayo maheleni

Halafu naona sasa hoop earrings ndiyo mtindo mpya kwa wasanii wetu ili waonekane wamekubuhu kumbe ndiyo wanaonekana machoko zaidi. Smh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…