PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Huu ndio muonekano mpya wa mtindo wa nywele wa kijana Raymond wa wasafi,kijana anaye hit kwa sasa na ngoma yake ya natafuta kiki kiukweli kwa muonekano huu wa mtindo wa nywele aliouweka naona hajapendeza kabisa ni bora angebaki na muonekano wa kawaida ulikuwa poa sana.