Muonekano mpya wa Raymond wa wasafi!

Huyu Dada Reynifrida Anajishughulisha Na Nini Mpaka Mwonekano Wake Mpya Unajadiliwa?
Naomba Picha Ya Mwonekano Wa Zamani Ili Nimwelewe Vema
 
Usikute watu wapo sokoni hapa sisi hatujui. Maana hii dunia imeshazidi yale ya sodoma na gomola aiseh.
Asomae afahamu!!
 
Mmm huyu tayari huyu asee kwisha habari yake mi nilisoma title anaitwa raymond kuja kwenye picha!!!! Dooo!! Alah akhibar
 
Angalia body language au we sio mzazi??? Huku kulegeeeea na kurembua macho na kujinyonya lips hata angekua mwanao anafanya hayo lazma alarm ilie.sio kawaida kwa mtoto wa kiume

Nimekuelewa vizuri sana mkuu, wasanii wengi wanakua na msingi mbovu, na kosa kubwa wanalofanya ni kufikiri Msanii lazima uwe na life style ya ajabuajabu, kama umenielewa vizuri sitetei huu upuuzi ila namsikitikia. Nimetumia hiyo lugha kufikisha ujumbe tu, hauoni mtu akishakua na longolongo nyingi anaitwa msaniiii?
 
Huyu jamaa anawakilisha wanaume wa Dar....


Hadi JPM kaamua kuondoka Dar na kuhamishia serikali Dodoma. Ili awaachie jiji lenu lililoaaniwa.
mbona dom ndo inafuatia kwa vilainishi baada ya dar
 
Vijana wanakuwaga wazuri wanapozaliwa
Ubaya wao unaanza pale wanapotaka kuwa kama kina fulani au kutaka jamii iwakubali kiasi fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…