MarianaTrench
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,212
- 941
Eeeeh aisee! Hakika Kiingereza kina wenyewe. Lord Have Mercy.Hayo ndo mapozi gani tena?
Hadi kurembua na macho?
Lawwwd hammercy!
Mwanaume wa dar!!!!!Huu ndio muonekano mpya wa mtindo wa nywele wa kijana Raymond wa wasafi,kijana anaye hit kwa sasa na ngoma yake ya natafuta kiki kiukweli kwa muonekano huu wa mtindo wa nywele aliouweka naona hajapendeza kabisa ni bora angebaki na muonekano wa kawaida ulikuwa poa sana.View attachment 375670View attachment 375671View attachment 375672View attachment 375673
Hapo tunaenda sawa mkuuNimekuelewa vizuri sana mkuu, wasanii wengi wanakua na msingi mbovu, na kosa kubwa wanalofanya ni kufikiri Msanii lazima uwe na life style ya ajabuajabu, kama umenielewa vizuri sitetei huu upuuzi ila namsikitikia. Nimetumia hiyo lugha kufikisha ujumbe tu, hauoni mtu akishakua na longolongo nyingi anaitwa msaniiii?
Ajiangalie na hiyo "kiki" anayoitafuta asije akatokea upande wa pili.Huu ndio muonekano mpya wa mtindo wa nywele wa kijana Raymond wa wasafi,kijana anaye hit kwa sasa na ngoma yake ya natafuta kiki kiukweli kwa muonekano huu wa mtindo wa nywele aliouweka naona hajapendeza kabisa ni bora angebaki na muonekano wa kawaida ulikuwa poa sana.View attachment 375670View attachment 375671View attachment 375672View attachment 375673
Mlkuwa wote wkt anpga hizo pcha?Hizi picha alijipiga akiwa amelewa wala mwenyewe hakutegemea kama zingefika JF, kuna aliyemsaliti.