Muonekano mpya wa Raymond wa wasafi!

Makonda akiziona picha hz lazma alie dogo anamuaibisha mlezi wao uyu
 
hawa mameneja wao wanafanya kazi gani! Huyu dogo ni handsome mrembomrembo, akizidisha mabazazi watamfatafata.
 
Kwel kabsa mbna ben paul yuko smart tu na anafanya poa
 
Makonda ndio promota mkubwa wa huu mchezo hapo jijini Dar. Watu walikuwa hawana habari yeye ndio kawapa kiki tu hawa.
 
kasahau kitu kimoja tu mchubuo wa usoni baaas! so aharakishe fasta ajichokoe usoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…