Muonekano mpya wa Raymond wa wasafi!

Kazi ipo? naona katuonyesha na hereni kabisa, Naskia hizo hereni hua zina maana zake! Lord have mercy on us..
 
Vipi nguo za mitumba mpenzi utavaa? (Yeah) basi mohoroo

[emoji35] [emoji35] kijana kaharibuuu
 
Alivyorembua na lips zake alimanusura nimfikirie kiklauziklauzi.
 
Naona anajaribu kumbeep mlezi wao WCB mheshimiwa Makonda
 


Ben Pol anavaa heleni sana tu.

Wasanii wa bongo fleva wasiovaa heleni ni wa kuhesabu.

Siku hizi wanashindana kuvaa heleni. Mpaka Juma Nature kaanza kuvaa heleni siku hizi, hahahaa Juma kapoteza Nature.

Hovyoooo kabisa!

-Kaveli-
 
Tayariiii...tayarii...dar jamani....Mungu awasidiee vijana wetu
 
Duuuuh nimeona vigelegele nikadhani kuna mtu kaolewa...
Aiseeee [emoji134][emoji134][emoji134]
 
Huyu jamaa anawakilisha wanaume wa Dar....
Hadi JPM kaamua kuondoka Dar na kuhamishia serikali Dodoma. Ili awaachie jiji lenu lililoaaniwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kwanini hili pepo la 'kushikishwa UKUTA' linakuja kwa kasi sana Africa?

Hawa madogo hizi style zao za kutafuta 'kiki' walahi mwishoe wataanza kuvaa cheni guu la kushoto.

-Kaveni-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…