Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...
Huyu Ndiye Rais Magufuli aliyepoteza umaarufu kwenye Makaratasi ya Watafiti na Wanasiasa uchwara .... Na hii ndiyo Tanzania Mpya tunayoitaka.
Watapata tabu sana.
Najivunia
View attachment 813205
Kwa hiyo ukweli usisemwe?Kwani kuna tofauti gani hapo au kwa sababu hizo zimepishana? acha kudharau chako utakuwa mtumwa.
Kwakuwa watu wasioujulikana hawajagusa maisha yako wala ya ndugu zako.Halafu anakuja Mtu Mzima Na akili zake anasema Tangu uhuru Hakuna kulichofanyika
John Magufuli anahitajiwa Sana Tanzania Kuliko kipindi chochote Kile
Kwakuwa watu wasioujulikana hawajagusa maisha yako wala ya ndugu zako.
Huko Ethiopia waliokoandama kumtoa dikteta kuna ndege nyinyi tu na miuindombinu mizuri lakini havikupumbaza wananchi.
Acheni ushamba na kuwa wajinga!!
Hii ni sawa na mtu ambaye zamani hakuwa na uwezo hata wa kununua suruali. Baadaye akaweza akanunua suruali, anaenda anapiga kelele mtaa mzima kuwa amekuwa tajiri. Anaowapigia kelele, japo zamani walikuwa sawa, sasa wana nyumba za ghorofa.
Huko Ulaya na kwingineko wana miundombinu mizuri lakini kila siku waanandamana kudai ajira, nyongeza za mishahara,kupanda kwa gharama za maisha, n.kUmeongea kwa kufanya utafiti au chuki dhidi ya Serikali ya mheshimiwa JPM? Maana ungejua advantage za kujenga fly over usingukuja na blah blah.
Kwa kukusaidia tafuta hotuba ya Waziri kivuli wa mawasiliano na uchukuzi(MBATIA) kwa upande upinzani ya mwaka wa fedha 2016/2017 anaongelea umuhimu wa barabara za juu(fly over) tena ilikuwa inashauri serikali kwa ijenge barabara za juu ili ujue ina multi impact gani kwa maendeleo ya kiuchumi kama nchi na wananchi kiujumla.
Kama sikosei mradi huu ulianzishwa na kipindi cha awamu ya nne.........wamu ya tano wamemalizia mradi wenyewe....pongezi ziende kwao wote.TAZARA FLY OVER katika Muonekano Mpya ikiwa katika hatua za Mwisho kukamilika. ... Huyu Ndiye MAGUFULI anayechukiwa na kikosi cha Wapiga dili, Vibaka na Misheni town, wakwepa Kodi n.k ...
Huyu Ndiye Rais Magufuli aliyepoteza umaarufu kwenye Makaratasi ya Watafiti na Wanasiasa uchwara .... Na hii ndiyo Tanzania Mpya tunayoitaka.
Watapata tabu sana.
Najivunia
View attachment 813205
Mkuu kumbe unajua hata Ulaya kuna changamoto, kwani Tanzania nani isiwe na changamoto?Huko Ulaya na kwingineko wana miundombinu mizuri lakini kila siku waanandamana kudai ajira, nyongeza za mishahara,kupanda kwa gharama za maisha, n.k
Watu wanapunguzwa makazini, vijana wanamaliza vyuo hawana ajira, watumishi wanasahaulika, wavuvi wanalia, wakulima wanalia, n.k nyie mnaendekeza ushamba tu.
Endeleeni kupuuza maendeleo ya watu mtakuja kuona matokeo yake maana mnafikiri Tanzania ni kisiwa.
Waliandamana kwasababu waliochoka udikteta wake na kufanya nchi mali yake.Hata Libya watu waliandamana Sana Baada ya kuchoka Maisha mazuri Na Sasa hawaandamani Tena Kwa Kuwa Shida walizopigania wamezipata
Usikariri kila wakiandamana maana yake wana logic ya wanachopigania
Chakarika kijana, hutokosa doo, baki hapo ukilia liana wewe mpe tuzo ya fly over ili moyo wako utulie! Watu hatuna hela we unaleta mambo ya fly over, yaani ni kama watoto wa kota wanapoenda uswahilini na stori za isidingo! Leta uchumi mefukoni shubamitii..!