Muonekano wa Dudu Baya unasikitisha. Mliomtumia kumchafua Ruge mpeni msaada

Mtu anajiita dudu baya, oil chafu, mamba ulitegemea muonekano wake uwaje mkuu [emoji2]
 
Nikikumbuka enzi ya dude baya na Mr nice! Walikuwa mafahari wawili wasiokaa chungu kimoja! Kweli, zama, zinapita! Leo hii ni Mond na Kiba, na, wao watapita,
Alikuwepo Sinta na nature, Kanumba na Lulu!
Akaja Wema na Mond! Wema akatambaaaa na "documentary yake" In my shoes"Leo amekuwa zilipendwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…