Muonekano wa Dudu Baya unasikitisha. Mliomtumia kumchafua Ruge mpeni msaada

Muonekano wa Dudu Baya unasikitisha. Mliomtumia kumchafua Ruge mpeni msaada

Amrudie Yesu atapendeza,...Kwa Yesu ni salama
Kwa Yesu mbona mbali sana huko, aende tu Baba shop ilio karibu yake na anyowee nywele zake kama mwanzo alivyo zooleka atapendeza tena!! Tatizo Dudu baya hajazoeleka na kua na nywele ndefu na madevu mengi!!
 
Kama mnavyomuona huyu mwamba, inaonekana ana hali mbaya sana, inamaana wale mliokua mnamtumia amchafue Ruge na Cloudz. Mmemtema au?

Usipojipenda huwezi kupendwa.. Charity begans at home.. Yeye akipata hata 5000 ni bar kulewa
Yaani mtu mzima aambiwe hata kuoga? Hata kunyoa? Hata kufua nguo zake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Yesu mbona mbali sana huko, aende tu Baba shop ilio karibu yake na anyowee nywele zake kama mwanzo alivyo zooleka atapendeza tena!! Tatizo Dudu baya hajazoeleka na kua na nywele ndefu na madevu mengi!!
🤣🤣🤣🤣Hii ni short kati ya haraka ya kupendeza
 
Amrudie Yesu atapendeza,...Kwa Yesu ni salama

1695871615640.png
 
Yupo kwenye hali ya kawaida kama wasanii wengine ni kwasababu tu ye katumia camera ya infinix, hata hao wasanii unaowaona wana rangi za peponi wakitumia camera za infinix utawaonea huruma
 
Back
Top Bottom