Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Oooh Sasa mbona ametoroka tena zizini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh Sasa mbona ametoroka tena zizini?
Hajafika, amezaliwa 1979. Vilevi ndio pengine vinamzeesha.Yeah early 50..
''punch you thrice''''You punch me once i punch you triple''
Dudubaya alikuaga mbabe sana,Mr Nice alichezea mkono wa haja.
Ye si oil chafu, sasa oil chafu tangu lini ikawa na muonekano mzuriKama mnavyomuona huyu mwamba, inaonekana ana hali mbaya sana, inamaana wale mliokua mnamtumia amchafue Ruge na Cloudz. Mmemtema au?
Conc a.k.a konkiConcentrated.
Ila tunasinyaa mapema sana... miaka 50-60 unakuwa kama 70Kwel binadam ni maua muda wake wa kusinyaa Bado zam yetu
Mtu kama huyo ni wa kumkwepa.Kama mnavyomuona huyu mwamba, inaonekana ana hali mbaya sana, inamaana wale mliokua mnamtumia amchafue Ruge na Cloudz. Mmemtema au?