Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

Kwahiyo tumeamua kununua na kichwa used kabisa..daah hii nchi hii.

#MaendeleoHayanaChama
Mbona maelezo yako wazi kwenye hiyo video? hicho ni kichwa cha mkandarasi kwa ajili ya majaribio wala si cha Serikali! Wanakitumia kujaribia kazi yao km iko Sawa, no Sawa na fundi wiring baada ya kuingiza umeme ndani ya nyumba alete pasi yake kujaribu km umeme uko poa.
 
Du mmembiwa hicho ni cha mkandarasi kwa ajili ya testing na sio mali ya TRC
IMG_20220222_214937.jpg
 
Hizi ndio vichwa vya kisasa[emoji848] ?,waache utani aisee mbona ni mtumba og kabisa
 
Huu mtumba una sura mbaya kama kichwa cha panzi ndio mama kaamua kuuleta, aache utani na watanzania? Ama kuna asilimia yake hapo maana vichwa hivi si vya kisasa kabisa..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Walinda legasi mko hovesi
 
Sisi ni srepa tu ndo zakwetu kununua, tz hovyo sna
 
Afrika ilishakuwa dampo la vyuma chakavu haiwezekani serikali inayojinasibu ni safi iingie mkataba wa hovyo kiasi hiki kwa kutuletea vyuma chakavu kama hilo dubwashwa hapo juu..

Ukute limepigwa service ndio wakalisafirisha kuja huku kwetu, inasikitisha kwa kweli..
PPRA wanachekelea sanA wazee wa 10% kwa mgongo wa manunuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo gari moshi Mnapeleka wapi, hatuna kiongozi wa inchi, she is Kidding with Tanzanians, Mam your such an Idiot. Not acceptable, non sense
 
IMG_5020.jpg

Hapa angalau sio kwa zile Takataka, Asante msigwa kwa Postive Respond
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom