BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Hiki kichwa nafikiri kimeletwa kwa ajili ya ku compact reli siyo majaribio ya spidi nk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah!... Watanzania jifunzeni kupongeza mambo mazuri.
... Hongera TRC...
Kichwa cha treni cha reli ya kisasa - SGR chàwasili
Kichwa hiki cha Mkandarasi kinachotumia nishati ya umeme kimewasili bandarini jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuanza majaribio ya miundombinu ya umeme katika reli ya kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam - Morogoro.
Sijui kwa nini wanakimbia ukweli, Msigwa amesema kitatumika kwenye reli ya SGR Wala hakusema Cha majaribio. Baadae wanaanza kusema Cha majaribio.Daah Wakandarasi kiboko anakubali kumwagiwa tope zito kwenye hiyo ishu ila hapo mazingira ya kupigwa tuu kwa nini wasisubiri vichwa vyenyewe wanaleta hicho ili iweje...au kwa nini wasiagize kichwa cha ukweli kuliko kuleta huu uchakavu kwenye Reli mpya...
In short, watu washamchoka!Leo nimeamini kweli hauna tofauti na mdude... Taarifa inasema kichwa ni vha mkndarasi na kimeletwa kwa majaribio wewe unasema mama aache utani
Huna kitu wewe.Wewe unataka inayofanana na ya beberu?? unadhani watakubali uwe level moja na wao? ukitaka iwe hivyo hawakupi mkopo, Barabara ya rami, mwendo kasi hazitofanana na za kwao hata siku moja.Na barabara za mtumba zingekuwepo nazo zingeletwa hivyohivyo.
Ndege ni kitu kingine ndugu, wewe unasema ndege uwanja tu usipokuwa kwenye standard wanayotaka wao hawakupi kibali cha kuutumia, utautumia wewe tu na wananchi wako.Huna kitu wewe.
Mbona ndege mnanunua sawa na zao ?!.
Sema utashi haupo na % ni tatizo la nchi hii. Huwezi kuleta kichwa cha technology ya 1990's kije kifanye kazi ktk karne hii na technology ya sasa.
Hicho kilitumika kipindi cha vita ya pili ya Dunia.
Kichwa cha treni cha reli ya kisasa - SGR chàwasili
Kichwa hiki cha Mkandarasi kinachotumia nishati ya umeme kimewasili bandarini jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuanza majaribio ya miundombinu ya umeme katika reli ya kisasa - SGR kipande cha Dar es Salaam - Morogoro.
Hivi nafikiri vitabaki kwa kazi za shuntingHiki ni kichwa cha pili cha majaribio "cha mkandarasi" naomba kujua mkandarasi akishamaliza kazi yake ataondoka na vichwa vyake "vya majaribio"? au navyo vitavishwa mabehewa ili kazi iendelee?